Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Miaka 7 iliyopita sijawahi miss Victory Day Parade. Naona hakuna iliyokuwa nzuri kuzidi ya 2015
 
Missions zipo Nyingi.....
Kwa uono wangu, na kufuatilia ni kuwa Denazification ndio mission kubwa kwao ( au waliyopewa)......
Ukifuatilia taarifa zao na Bifu lao na Nazi utaelewa.
Denazification ni porojo tu. Azov battalion ambayo ndio ina neo-Nazis inakuwaa na members zaidi ya 2000 kwa wastani na wakati huo neo-Nazis hawazidi 20% ya wapiganaji wake. Sasa casualties zote za nini kupigana na ideology ya wahuni wasiozidi 200. Pale Mariupol Russia ana zaidi ya wapiganaji 14,000 wanasumbuana na Ukrainians wasiofika 5000 muda wote huu
 
Uliwahi kuwaona raia wa Bahrain au Saudi Arabia wanaandamana kama wale wa Libya, Tunisia na Syria kutaka madikteta wao waondoke mamlakani?
BAHRAIN wameandamana US na shost yake SAUDIA wakapeleka majeshi
Ila naomba nikuacje MKUU ahsante sanaaa!!!!!
 


πŸ‡¬πŸ‡§πŸ‡ΊπŸ‡¦ Briefing of the Russian Ministry of Defense (20.04.2022)

◽️ The Armed Forces of the Russian Federation continue a special military operation in Ukraine.

πŸ’₯ High-precision air-launched missiles of the Russian Aerospace Forces attacked 12 Ukrainian military facilities. Two command posts of Ukrainian troops in the settlements of Gusarovkka and Andreevka, three areas of concentration of manpower and Ukrainian military equipment in Arkhangelovka, Kramatorsk and Selydovo, as well as six strongholds of nationalist formations in the Popasna area were hit. As a result of the strikes, more than 150 nationalists, 5 multiple rocket launchers and eight armored vehicles were destroyed. Also, in the area of the village of Yazykovo, the Osa-AKM anti-aircraft missile system was destroyed.

πŸ’₯ Operational-tactical and army aviation of the Russian Aerospace Forces hit 73 military facilities of Ukraine during the day. Among them: two depots of rocket and artillery weapons and ammunition in the areas of the settlements of Shevchenko and Komar of the Donetsk People's Republic.
πŸ’₯ During the day, missile troops attacked 4 command posts, an ammunition depot and enemy manpower concentration sites in the Novaya Dmitrovka and Vysokiy areas.

πŸ’₯ Russian air defense systems shot down a Ukrainian Mi-8 helicopter near the village of KOROVIY YAR. Also, two Ukrainian unmanned aerial vehicles were shot down over the settlements of Izyum and Novobogdanivka.

πŸ“Š In total, since the beginning of the special military operation, the following have been destroyed: 140 aircraft, 106 helicopters, 498 unmanned aerial vehicles, 254 anti-aircraft missile systems, 2397 tanks and other armored combat vehicles, 261 installations of multiple launch rocket systems, 1038 field artillery guns and mortars, as well as 2244 units of special military vehicles.

#Ministry of Defense #Russia #Ukraine @mod_russia
 
Yaani hapo uko unamueleza Chizi wa mirembe mkuu.
 
Mtu akiona hii essay anawezasema umeandika vitu vya maana kumbe upupu mtupu.

"however, say despite their reputation as fierce fighters, Chechen forces sent to Ukraine have not played a significant role on the battlefield. Their presence has been perceived as a public relations exercise"
~ Aljazeera wakimnukuu mtaalam mmoja wa maswala haya ya kimapgano.

"...despite their reputation as fierce fighters...," alaf ww hapa unasema jamaa si wapiganaj wzuri

"that they are among the world's most effective and deadly guerrilla forces."
~ Washington post, 'Chechen deadly swagger'

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wapiganay Gani!!? Natives au Mercinery!!! Unajua Azov battalion stretch yake kutoka makao makuu!!? Kikosi ambacho hakikuwa na Nazis ni Ukranian Territory Defense...!! Ukraine ana vikosi vingapi!!? Nakua uko vizuri ... Chukua muda wako kunijibu
 
Sasa kama ni Aljazeera ulitegemea waseme nini??!! Hicho ni chombo cha kipropaganda cha nchi za magharibi...Na kama hufahamu Aljazeera ni chombo kilichoanzishwa na CIA..umesikia Ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…