Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine peke yake imewatoa kinyesi. Wakati marekani inapigana na Iraq, mwezi mmoja kazi imeisha. Wakati huo Iraq ilikua dola kubwa yenye uwezo wa kuvamia jirani zake kina Kuwait na Iran. Hizi losses marekani hajapata tangia ww2View attachment 2197367
Iraq ilivamiwa na mataifa zaidi ya 20 wakati yy akiwa peke yake bila msaada wowote kutoka nje.
Ukraine imevamiwa na taifa moja wakati yy anasaidiwa na mataifa 30.
Sasa hapo uoni utofati?
 
Umu unafiki umejaa alfu siku CCM wakiwaibia kura mnaomba hao hao marekani wawasaidie.

Ivi mtu anaweza kunitajia kiongozi ata mmoja wa Russian mwenye hasiri ya Afrika au mweusi

Wafrika kwa unafiki ndio mana atuenderei.
ivi putin anatofauti gani na mwenda zake .
alfu ukiwakuta kwenye nyuzi Za Siasa wanavyo bwabwaja kujifanya wanaijua Demokrasia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
WEWE JAMAA NI KICHWA KWELIKWELI
 
Photos from Mariupol. The men are alive and in good spirits.

Glory to #Ukraine 🇺🇦✊🏻 View attachment 2197354View attachment 2197356
Watoke sasa humo mashimoni kama panya, na vitochi vyao usoni kama wanachimba rubby humo na nashukuru kwa picha ya pili hapo kweli putin genious aliposema watajifia kwa njaa hilo sufuria linaonyesha hali halisi watatoka tu mikono kichwani na masheikh wa chechen wanawasubiri nje
 
Iraq ilivamiwa na mataifa zaidi ya 20 wakati yy akiwa peke yake bila msaada wowote kutoka nje.
Ukraine imevamiwa na taifa moja wakati yy anasaidiwa na mataifa 30.
Sasa hapo uoni utofati?

Urussi imejiabisha sana kijeshi, nchi jirani kama Ukraine yenye hata top 20 duniani kijeshi haipo imewakwamisha miezi miwili. Alafu silaha NATO imewapatia ni defensive wala sio offensive. Ila mkondo wa huu vita unaweza badilika endapo watazipokea
 
Hawa wengi walinyimwa visa za kwenda marekani kwahio wanatoa uchungu ila wanaipenda sana USA na EU. Mimi ndo maana sina kinyongo nao, wako JF inayofadhiliwa na EU, wamevaa mitumba ya marekani, Choo chao cha USAID, Bajeti ya nchi yao imejazwa na misaada ya hao hao. Kwa ufupi hawa sio haters ni fans in denial.
 
Hahahaha mmeishiwa content poleni Sana mzee wa juvenile leo wewe wa kupost ubalozi
 
Na ww unaweza kunitajia kiongozi yeyote ndani ya nchi yako mwenye asili ya kizungu?
 
Kama demokrasia hamuiwezi si muachane nayo
Mnatakiwa musaidiane wenyewe AFRIKA na VIONGOZI wenu kutegemea misada ndio maana mnalia lia kila leo
Acheni kulia lia nakupenda misaada ya watu
 
Waambie wafanye hivyo basi mkuu mbona wanalialia

Time will tell.
Mkuu umekosa habari mpya?! Naona umepungua Kama kilo kumi hivi😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…