Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Umu wengi wamejaa unafiki alfu ukiwakuta mabandani wanavyo tumbua macho kuangaria league za England ambazo waziponda utasema sio waoHawa wengi walinyimwa visa za kwenda marekani kwahio wanatoa uchungu ila wanaipenda sana USA na EU. Mimi ndo maana sina kinyongo nao, wako JF inayofadhiliwa na EU, wamevaa mitumba ya marekani, Choo chao cha USAID, Bajeti ya nchi yao imejazwa na misaada ya hao hao. Kwa ufupi hawa sio haters ni fans in denial.
. Google Kama hujuiUrussi imejiabisha sana kijeshi, nchi jirani kama Ukraine yenye hata top 20 duniani kijeshi haipo imewakwamisha miezi miwili. Alafu silaha NATO imewapatia ni defensive wala sio offensive. Ila mkondo wa huu vita unaweza badilika endapo watazipokea
Then video iwe viral sio?Hata wewe ukiamua unaweza hata kuichoma
Wapo chini ya ukoloni ila hawataki kukubaliUmu wengi wamejaa unafiki alfu ukiwakuta mabandani wanavyo tumbua macho kuangaria league za England ambazo waziponda utasema sio wao
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Acha kujitoa akili , vipi hizo silaha za kujilinda anazo pewa Ukraine je angekuwa anapewa Iraq hali ingekuwaje kwenye uwanja wa vita Marekani angeweza kumaliza vita ndani ya muda huo ulio taja?Urussi imejiabisha sana kijeshi, nchi jirani kama Ukraine yenye hata top 20 duniani kijeshi haipo imewakwamisha miezi miwili. Alafu silaha NATO imewapatia ni defensive wala sio offensive. Ila mkondo wa huu vita unaweza badilika endapo watazipokea
Aise, mbona hata Mabeberu kila siku wanapora boti za kifahari , majumba ya kifahari na fedha za Warusi. Na Wala sisi Warusi hatupigi keleleWanajeshi wa Urusi wameanzanza kupora matrekta na combine Harvesters vijijni Ukraine na kuvipeleka kwao Urusi walipoulizwa wanavijiji kuwa wamejuaje viko urusi ? wakasema vimefungwa GPS location vinaonyesha Viko Urusi baada ya kuporwa
Source :CNN ikiwahoji wanachi viiijini Ukraine
Ndo mnapokaa kijiweni mnadanganyana ujingaSystem bado niile ya zamani, tunalipa na dola mnaigeuza wenyewe.
Kama ni Wanaume watoke huko shimoni.Photos from Mariupol. The men are alive and in good spirits.
Glory to #Ukraine 🇺🇦✊🏻 View attachment 2197354View attachment 2197356
Nchi za Magharibi zinachukua mali za watoa maamuzi ya vita Russia walioko serikalini na bungeni na washirika wao wagharimiaji sio maskini wakulima wa urusiAise, mbona hata Mabeberu kila siku wanapora boti za kifahari , majumba ya kifahari na fedha za Warusi. Na Wala sisi Warusi hatupigi kelele
Nyie tutreacta tu mnaanzisha uzi. Alaaa
Kwamba sisi hatulimi? Fala wewe libya alipovamiwa hakuwa sehemu ya africa? Hao mabwana zenu mwisho wao hujUmu unafiki umejaa alfu siku CCM wakiwaibia kura mnaomba hao hao marekani wawasaidie.
Ivi mtu anaweza kunitajia kiongozi ata mmoja wa Russian mwenye hasiri ya Afrika au mweusi
Wafrika kwa unafiki ndio mana atuenderei.
ivi putin anatofauti gani na mwenda zake .
alfu ukiwakuta kwenye nyuzi Za Siasa wanavyo bwabwaja kujifanya wanaijua Demokrasia
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wizi ni wizi mula. Haijalishi umemuibia naniNchi za Magharibi zinachukua mali za watoa maamuzi ya vita Russia walioko serikalini na bungeni na washirika wao wagharimiaji sio maskini wakulima wa urusi
Swala la kuangalia ligi na ishu iliyopo tofaut nyumbu weeeUmu wengi wamejaa unafiki alfu ukiwakuta mabandani wanavyo tumbua macho kuangaria league za England ambazo waziponda utasema sio wao
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app