Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Basi tuu mkuu kila mtu anasheherekea ushindi wa kile ambacho alikuwa anakishabikia[emoji3][emoji3][emoji3] .......ila pro NATO ni huzuni na kusaga meno...NYAMIZI wangu sijui umemse pesha wapi......kakimbia humu alafu akirudi humu ......utamtetea eti alikuwa bize na shughuli zake .....[emoji23][emoji23][emoji23]

....haingii akilini hata siku moja eti ukapigane na litaifa likubwa kama RUSSIA lenye kumiliki NUCKE'S ni ujinga usio na kipimo au tanzania ikapigane na marekani alafu unategemea kutoka kidedea ........wakati mwenzako anakaa angani anashusha vyuma vizito vinageuza ardhi juu chini bado unapiga kelele tutashindaaa ....labda muumba wa mbingu na nchi aingilie kati ......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Ripoti zinaonyesha mzee mfupi Putin alipatwa na stroke. Cheki alivyokamatia meza na mgongo ameumkwamisha kwa kiti.
 
Hahaha haya bana mkuu. Endeleeni na sherehe na wa kusaga meno tuyasage.
 
Afu hii ishu inatuhusu na sisi huku we huoni misosi imepanda bei petroli nayo juu mpaka wale wamiliki wa usafiri nao wanataka kupandisha NAULI za mabasi na daladala zao

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Wanajifariji mkuu, mdomo uliwaponza.. hawajiulizi kwann US amekimbia vita Syria baada ya urusi kuingia.
 
Afu hii ishu inatuhusu na sisi huku we huoni misosi imepanda bei petroli nayo juu mpaka wale wamiliki wa usafiri nao wanataka kupandisha NAULI za mabasi na daladala zao

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ni kweli. Hata mm hili la mafuta limenigusa moja kwa moja.
 
Ndo maana nataka afeli tu [emoji2] ila ndo hvyo..
[emoji1787][emoji1787] mkuu unachemka utapata ugonjwa wa moyo kitaalamu unaoitwa VLADMIRPUTIN au kwa jina lingine huu ugonjwa unaitwa... DIMITRI MEDVERDEV ....bure ukajifia [emoji18][emoji18][emoji18]..we kubali tu kuwa RUSSIA sio RWANDA .....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…