Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Jomba swali lako gumu hatari...Ni kweli kwamba hata maeneo hayatarudi Ukraine mkuu?
Hehe poleni MKUUKuanzia leo supermarkets za [emoji636] wamesema tutanunua mafuta ya kupikia yasizidi madumu 3 kwa kila mteja hii ni kwa sababu mafuta ya Alizeti yanatoka Ukraine na vita imetuvuruga
Hivi hatuwezi kupata toka home badala ya Tour ikawa Mafuta aupige mwingi?
Shayiri nn hiki MKUUWadau mkizitizama hizi picha kadhaa hapa chini nahisi linaweza toa sababu za kwanini Russia kajikita huu upande wa Mashariki na kusini mwa Ukraine...
Hii ya kwanza ni Millet (Mtama) Production,
View attachment 2197631
Hii ya pili ni Barley (Shayiri) production View attachment 2197634Na hii ya tatu ni Wheat (Ngano) production View attachment 2197637
Kwa hali inavoelekea, Ukraine huenda ikaja kua land locked country [emoji847]
Ukiifata hiyo post, kwenye comment section wadau wanatema shit mbovuuu [emoji23]Hawa jamaa hata wangepigwa vipi hawakosi kitu cha kujifariji nacho[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
BIIBIISII wamepoteza sana hawa KENGEHahah bahati mbaya wananchi walishawashtukia BBC na vyombo vya mabeberu,cheki wanavyowachana ukweli.View attachment 2197729View attachment 2197731View attachment 2197733View attachment 2197734View attachment 2197735View attachment 2197736View attachment 2197737
Wheat barleyShayiri nn hiki MKUU
The European Commission allowed payment for Russian gas in rubles, said Deputy Chairman of the Security Council Dmitry Medvedev.
"We appreciate the consistency and integrity of our European partners. Especially considering that, according to the latest data from the International Monetary Fund, Europe will be able to do without our gas for no more than 6 months. But seriously, it won't even last a week," Medvedev said.
Tafsiri MKUUWheat barley
We mzeee kibao hakigeuki kinabadilishwa rangi tu.... Wamevunja Monument ya Great Khan.. wamevunja Monuments za Majenerali waliookoa nchi yao pale Poland na wanaendelea...tutalinda urithi na historia Kwa nguvu zote .... Kwa Ukraine haya ni makofi ya kawaida... Maldova, Swedish, Finish na polish tutawapiga kelbu za maaan wakijichanganya.... Sasa tofautissha Kofi na kelbu... Kelbu inakuwamba kulia linapoishia linarudi upya Kwa upande wa pili wa mkono ambao ni mgumu zaidi.... acha waNeng'eneke tu.😂😂😁😁😂😁 Nyie ma-ant Ameicans na ant-NATO mna maneno Sana..Mambo yanaweza kubadilika kwa comedian kugeuza kibao😂😂
Au kapichaWheat barley
Hehe poleni MKUU
Ila UKRAINE wanashinda hii OP mambo yataenda sawa !!!!!
Shayiri ni nafaka tu kama nafaka zingine, ina matumizi kiasi kikubwa kama ngano tu ilivo ingawa zinapishana faida kiafya...Shayiri nn hiki MKUU
Ok Mimi najua ni jamii ya ngano....ingawa ipo tofauti..Tafsiri MKUU
Medvedev ni zao la Putin...japo anamzidi Umri.... Alipopewa nchi na Boris Yeltsin ..alikataa karibu mara tatu.... Mara ya mwisho anaitwa ..Boris alimpisha Kiti akakataaa ...Baraza likamkubalia kuwa Interim President... Na mtu wa kwanza kumchagua alikuwa Medvedev... Hivyo VICHWA ni noma ... Lavrove Shoigu wakasome ...ingawa ndio wanaandaa kichwa ingine Hawa wamezeeeka.. ..hamkijui tu ...kaeni Kwa utulivu...Baada ya 2025 kufika 2030 mwaka wa mwisho wa Putin mtamjua.Sema medvedev anakauli zakishujaa sana huyu mwamba
Ukimfatilia huyu hata PUT IN anangojea mbali sanaa
Kwasasa RUSSIA yenye vikwazo zaidi ya 7000+ RAIA wake wanaishi kwausalama na amani zaidi ya US na EU wote
People are flooded with these BBCUkiifata hiyo post, kwenye comment section wadau wanatema shit mbovuuu [emoji23]View attachment 2197761
Vijana wa zelensky mna uongo sana kama jamaa yenuRipoti zinaonyesha mzee mfupi Putin alipatwa na stroke. Cheki alivyokamatia meza na mgongo ameumkwamisha kwa kiti.View attachment 2197560
Russia sign military deal with Cameroon
Cameroon signs Russian military deal | Africanews
Joseph Beti Assomo, Cameroon’s defence minister, made a discreet but remarkable visit to Moscow to sign a new military cooperation agreement between the two countries. This symbolic trip comes at a time when the Kremlin has relaunched its offensive in Ukraine.www.africanews.com