Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Msimamo wake ni West...halafu Kuna mkono wa CIA pale....
Wangekua na msimamo wa west wasingekuwa wakosoaji wakubwa wa Israel, Fuatilia makala za Aljazeera kuhusu mgogoro wa mashariki ya kati utaona hili.

Kumbuka Aljazeera iliwahi kupigwa marufuku huko Misri na waandishi wake kukamatwa na kufungwa na utawala wa Alsisi, hata Saudia waliwahi kulipiga marufuku hili shirika huko kufanya shughuli kwenye nchi yao.

Hili shirika linafanya kazi ya kueneza ushawishi wa Qatar.
 
Jeshi linalopeka interns na vifaa chakavu vitani ni jeshi la hovyo. Wanajeshi 20,000 walioko futi sita chini sasa hivi wametolewa kafara na Putin.Inasikitisha kutojali maisha ya raia kwa kiwango kikubwa hivyo.
 
Majeshi ya Russia jana jumamosi yametumia makombora yenye shabaha kali kuupelekea moto mkali uwanja wa ndege wa kijeshi wa Odesa nchini Ukraine, na hatimae kuteketeza shehena kubwa ya silaha za kivita zilizotumwa na Marekani na nchi za Ulaya

Pia mashambulizi ya majeshi ya Russia ya jana yameua takribani wanajeshi 200 wa Ukraine na kuteketeza magarivita zaidi ya 30.

 
Hivi sisi si ni nchi isiyofungamana na upande wote, kwa nini tusinunue mafuta ya bei Rahisi Russia?
Russia wanauza Crude oil sie tunanunua finished product.

Kingine ni kuwa hata kama tungekuwa na plant za kuchujia wese sidhani kama walafi wa CCM wangekubali kukosa vile vibunda vya IMF na World Bank vinavyotolewa mara kwa mara ku boost uendeshaji wa serikali.
 
Jeshi linalopeka interns na vifaa chakavu vitani ni jeshi la hovyo. Wanajeshi 20,000 walioko futi sita chini sasa hivi wametolewa kafara na Putin.Inasikitisha kutojali maisha ya raia kwa kiwango kikubwa hivyo.
Vipi kuhusu mrembo wenu Zelensky aliekabidhi wananchi mitutu ili wapigane bila kuwa na background ya mapigano kwa 100%?
Yeye amejali maisha ya raia kwa kiwango gani?
 
UONGO.

Taja silaha wanazotengeneza Ukraine.

Mwaka jana waliuza silaha zenye thamani ya kiasi gani na kwenye nchi zipi?
The defense industry of Ukraine is a strategically important sector and a large employer in Ukraine. After working for several decades mostly for the arms export markets, in 2014 it has moved significantly into increased Ukrainian military procurement since the start of the war in Donbas.


Ukroboronprom is a state association of major defense conglomerates in Ukraine.
Prior to 2014, Ukraine's export-oriented arms industry had reached the status of world's 4th largest arms exporter in 2012.[1] Since the start of the War in Donbas, Ukraine's military industry has focused more on its internal arms market and as a result slipped to the 9th spot among top global arms exporters by 2015,[2] 11th spot by 2018[3] and the 12th spot among global arms exporters by 2019.[4]

In 2019 the main importers of Ukrainian weapons were India, Saudi Arabia and Turkey.[5]

​

HistoryEdit​


Soviet R-9 Desna ICBM and T-34 tank on display at the Central Armed Forces Museum (Russia), both where designed and manufactured in current Ukraine
Ukraine's defense industry was a major part of the Soviet defense industry, responsible for 30% of Soviet defense production and 40% of its scientific research.[6] Most Soviet ICBMs were actually built at the Yuzhmash plant in the Ukrainian city of Dnipro.[7] Russia's only aircraft carrier was also built in the Ukrainian SSR, as well as a number of other Russian military ships.

At the time Ukraine declared independence in 1991, the country had 1,840 defense enterprises and research centers that employed close to 2.7 million people.[6] A number of facilities had unique capabilities such as shipbuilding and missile production.[6] But it was not a cohesive defense industry, but rather fragments of the defense industry of the Soviet Union.[6]

From 1992 to 1996 113 Ukrainian enterprises were engaged in dual-use goods, including weapons.[5] The lack of clear legislation resulted in an arms market where everyone earned what he could and how he could, including in semi-illegal schemes.[5] The state took control of Ukraine's defense industry in October 1996, creating the concern Ukrspetsexport.[5]

Kwa hiyo nakukusisistizia kua Ukraine sio sawa na Iraq kabisa kijeshi,
Ukraine ilimzidi mbali Sana kijeshi na kiviwanda Iraq ya Sadam huseini.
Hivyo Marekani na washirika wake walipigana na nchi dhaifu sana ya Iraq tofauti na Urusi peke yake inapigana na nchi yenye Nguvu sana kijeshi Ukraine Huku ikisaidiwa na nchi zote zenye nguvu ya kijeshi duniani .all military global powers
 
Hayo mahaba yako kwa marekani usitake kila mtu awe nayo ukiipenda wewe inatosha.
 
Acha uongo hakuna mtumba wa USA wa ulaya bongo hii wote mnavaa mtumba wa mchina. Halafu mambo ya Visa sijui vyoo ni upuuzi mtupu hii mikopo inayotolewa kwa masharti ya kujenga vyoo nayo utajisifia ni misaada? Heri anaekufundisha kuvua kuliko anaekupa samaki msiwe mapherller
 
Jambazi akikuvamia nyumbani kwako hutapambana naye kwa sababu huna mafunzo ya polisi?
Vipi kuhusu mrembo wenu Zelensky aliekabidhi wananchi mitutu ili wapigane bila kuwa na background ya mapigano kwa 100%?
Yeye amejali maisha ya raia kwa kiwango gani?
 
Umu wengi wamejaa unafiki alfu ukiwakuta mabandani wanavyo tumbua macho kuangaria league za England ambazo waziponda utasema sio wao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
We jamaa Fala sana sasa Ligi hiyo tunaangalia bure? Halafu vina uhusiano gani mbona hata Russia wanacheza uefa na kichapo kipo palepale ?
 
France is holding the second round of presidential elections today. The main thing:

- the current leader Emmanuel Macron and the right-wing candidate Marine Le Pen are fighting for the post;

- according to the results of the first round, Macron won 27.84% of the vote, and Le Pen - 23.15%;

- Le Monde polls predict Macron's victory - 56.5% to 43.5%, but a number of experts believe that the situation may change;

- the current president plans to raise the retirement age and completely abandon coal, oil and gas from Russia;

- Le Pen, on the contrary, does not agree with the proposals to impose an embargo on Russian energy resources and advocates a rapprochement between the West and the Russian Federation;

- the final results of the second round will be officially announced by the Constitutional Council in the middle of the week.
 
Top news for the day:

- Russian President Vladimir Putin attended the Easter service in the Cathedral of Christ the Savior on the night of April 24;

- the introduction of an embargo on gas from Russia would be a disaster for Germany, said Martin Wansleben, director general of the Association of German Chambers of Commerce and Industry;

- The Russian Ministry of Internal Affairs proposes to extend the rules for issuing a certificate of the state program to assist the voluntary resettlement of compatriots who arrived in Russia from Ukraine to immigrants from the DPR and LPR.
 
Joe Biden "absolutely doesn't understand what the hell is going on," Trump said.

The former US president reminded the Democrat of the Easter bunny incident and handshakes with air, and also said that such a leader "leads the country to hell":

“He shakes hands with the air. I'll tell you, it's not good to follow the Easter Bunny's orders."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…