Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe umewahi kupigania nini maishani mwako hadi uweze kuwafundisha Ukraine nini cha kupigania?
Wasiojulikana wakiamua kukunyang'anya demu wako bar jioni ya leo unaweza hata kujitetea?
Wenzako wamekuwa wanapambana na Warusi tangu karne na karne. Dikteta mwingine wa Russia aitwaye Stalin amewahi kuwauwa milioni 3 na bado hawakusalimu amri.
Huwezi kuujua ujasiri ukiuona.
Issue sio kupigana, Issue ni Unapigana na nani
 
Kama hutaki nuna

Rosatom, also known as Rosatom State Nuclear Energy Corporation, the State Atomic Energy Corporation Rosatom or Rosatom State Corporation, is a Russian state corporation headquartered in Moscow that specializes in nuclear energy, nuclear non-energy goods and high-tech products.
 
Lakini watu wameandamana sana Pakistan, Imran alikuwa mzalendo.
 
Hahahahaaa,hahahaaa,anaelialia ni urussi au Ukraine?,wajinga ni wengi sana hapa duniani,
Mkuu usijichekeshe kama Malaya kaona pesa kwa bwana wake mimi hayo ni maoni yangu sipo upande wowote urusi wala ukrain sipendi vita alafu mkuu mtu anaposema fulani anasidiwa na fulani ili wanichangie wanipige maana yake na yeye anatafuta huruma kwa marafiki zake wamsaidie kama Adui yake anavyosaidiwa .wapigane vizuri
 
Hii missile ni Noma mkuu
-linasafiri 35,000km.
-linabeba nuclear warheads 15.
-Halidunguliwi
-Linapiga sehemu paisipotarajiwa.
-Halionekani kwenye radar.
Inshort,hakuna kombora kama Hilo duniani.
Hiyo missile inarushwa kutoka kwenye silo ni kiasi cha kuwahiwa tu wanaipiga mabomu kabla ya kurushwa. Wamarekani mabomu yao mengi ya nuclear ni submarine based na submarine moja inachukua ballistic missile 24 na kila moja ina maximum ya nuclear warheads 15 na range ya km 7,000. Hiyo sarmart ni cha mtoto.
 
Wewe kijana wa Nangurukulu issue za missile wapi na wapi!? Nenda kavue dagaa au ukakusanye chumvi baharini.

WEWE NI MWEUPE.
 
Mara ya mwisho nimeingia hapa kijiweni Urusi ilikuwa imeshashinda, Rubble inatumika Ulaya kununua gesi, Ukraine ni majivu.
Aisee......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so unasubiria hili jiwe ulilorusha litampata nani........alafu baada ya hapo unakufa na mtu ......
 
Reactions: Tsh
Yaani ipigwe kabla haijarushwa?!! Nisije kuwa najadiliana na form four failure,yaani urusi haina anti-missile system?
Hivi unajua ballistic unayozungumzia ni ipi ww,amabyo urusi Hana?
Hivi unajua hypersonic missile na traditional missile zina utafauti Sana we,au unaweka. Ujinga wako humu!🚮
 
Wapi umeambiwa Russia analalamika kichwa cha habari kinasema urussi achunguza kweli waswahili wape kichwa cha habari tu maneno wanayoo asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hilo bwabwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…