Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wapi umeambiwa Russia analalamika kichwa cha habari kinasema urussi achunguza kweli waswahili wape kichwa cha habari tu maneno wanayoo asee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchunguza jambo nikupata uwakika baada ya hofu (wasiwasi ) kukujaa nafsini
Hofu ni uwoga
Maana unashangaa adui wako anapataje nguvu wakati unajua Ana nguvu ya kukupiga
Alafu mkuu hipo hivi sisi watu tumetofautiana upeo wa kifikra (akili ) ndio maana unaambiwa kuna wachambuzi . Mjomba acha ushabiki urusi akishanda ukrain akishinda hakuna faida yeyote tukayopata . Mfano Uganda aje tena kuja kuchukua kagera au Malawi atake ziwa Nyasa lote au msumbiji achukue mtwara au Kenya achukue moshi yote na Arusha serikali yako itakubari au muungano uvunjwe tutakubri
 
Brother naona kama unaongea kitu usichokijua.mzigo unaorushwa kwenye Silo ni balaa japo zote ni launch facilities.Marekani yeye anatumia underground silo na submarine kurusha ICBM, Urusi yeye anatumia silo,submarine,Mobile launch na train spesho kwa kurushia ICBM.
 
FT: “Vladimir Putin has lost interest in diplomatic efforts to end the war with Ukraine and instead appears determined to seize as much Ukrainian territory as possible, according to three people briefed on conversations with the Russian president.

“Putin truly believes in the crap he hears on [Russian] TV and he wants to win big,” said a person briefed on the talks.

🤦🤦🤦🤦🤦
 
Nawasalimu... Nilikuwa porini nikitekeleza majukumu yangu ...ya utumishi wa umma.... Mbarikiwe sana ... Page ni nyingi.... Ila sijaona taarifa nzuri za Wayukraine wa Namvua.... Imebidi nije mwisho.... Kuwasalimu.... nawasalimu Kwa jina la Urusi....
Daaah wa Ukreine wa Msungua
 
We ndo zero kapuku. Tunaongelea sarmat hapa, zaidi ya kuwa na range kubwa, hamna tofauti yoyote na SLBM za Ohio class submarines ambazo zipo kitambo. Unafikiri anti missile ni fool proof? Jidanganye na hizo Sarmat hizo anti missile zako zitashambuliwa na ECM na kuwa useless. Then sarmat inabutuliwa hapo chini.
 
sawa injinia kutoka uyolee
 
Range ya elfu Saba na 35 elf ipi Kali mkuu
 
Range ya elfu Saba na 35 elf ipi Kali mkuu
It all depends target yako ipo wapi. Juwa kuwa hizi ni SLBM haziwi launched from the silo kama hizo sarmat. US submarines zinaweza kuwa chini ya maji kwenye mediterannean sea na ingine bahari ya Japan zikaachia makombora yake toka chini ya maji na range ina cover virually all of Russia. Wamarekani nuclear missile zao nyingi ni submarine launched. "Today, the United States deploys most of its nuclear weapons—some 900—on highly accurate SLBMs. By contrast, less than half of those—400—are on siloed ICBMs." Kutoka https://www.ucsusa.org/sites/default/files/2020-06/rethinking-land-based-nuclear-missiles.pdf

Ukisoma hii paper ya Marekani, kutengeneza new ICBMs inaonekana ni outdated approach.

 
Mzee USA kwa Russia ni mchumba tu. Unapoteza muda wako kijana.
 
Compare hapa mwanangu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…