Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Yah marekani wamemponza mwanzao, ona sasa anachapika kweli kweli yani
 
Tuletee uzi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Baada ya wamagharibi kuisingizia china kuwa Ina ipa msaada wa kijeshi Urusi lakini watu wakashutukia kuwa ni propaganda, sasa hivi wameanza kuisingizia Iran eti inaipa Urusi msaada wa makombora ya kuharibu vifaru na mifumo ya ulinzi.
Hii level ya kuchanganyikiwa waliyofikia wamagharibi sio ya kawaida. Yaani Russia aombe msaada Iran😀😀
 
Mkuu mbona siku hizi utuletei picha za vifaru vya Urusi vilivyo haribiwa na kutekwa?
 
Ni ngumu kuwa mzalendo kwenye taifa la kifisadi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tunasubiri mkuu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Vijana wa US wanajua dunia ni America tu hawaijui historia ya Russia vzr na wengi wanajulia kupitia huu uzi. Tuendelee kuwapa elim vijana wetu watakaa sawa.

Tunataka kwenda kwenye Multipolar
 
Nikizungumza kwa dhati kwa maoni yangu na unyenyekevu bila kuwa na hisia binafsi,bila shaka na bila kumuudhi mtu yeyote ambaye anafikiria tofauti na maoni yangu lakini baada ya kuangalia suala hili zito kwa tofauti na mtazamo wangu na bila kupinga maoni ya mtu yeyote, kwa uaminifu nadhani na kuamini kuwa sina chochote cha kusema.
Asanteni
 
Mmejitahidi!
 
Ni kweli kabisa mkuu na Sasa hivi Ukraine inakaribia kuiteka Moscow,bado Kama KM 2 tu watakua mitaa ya St.Petersberg, Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…