kama URUSI itatumia Nuclear aisee dunia itakuwa kwenye wakati mgumu mno.. hakuna atakayekuwa salama sababu US wataingia, EU wataingia, NATO wataingia, UK itaingia - Vita itakuwa na pande mbili - of course North Korea na China watakuwa upande wa URUSI.Russia inapinga sana hili jambo la NATO kupeleka silaha Ukraine na kuwapa mafunzo.
Russia imeongea mara kwa mara, Russia imetoa onyo lakini NATO hawasikii.
Russia imesema zaidi ya mara moja kwamba kuna uwezekano kukawa na matumizi ya nuclear na wwIII kutokea any time kama NATO wakiendelea, jamani tusibeze hili, inaelekea kuna mtu atapigwa na kitu kizito kichwani aje alete fujo, Russia akili zao wanazijua wenyewe.
Mchini atainunua gasi yote ya Mrusi kwa rubles KISHA ataiuza ULAYA kwa USD - Mchina ni habari nyingine aisee.Payment by Poland and Bulgaria under gas contracts in the proper form will be the basis for the continuation of supplies, Peskov said.
He also noted that the requirement to pay for gas in is not blackmail, Russia remains a reliable supplier of energy resources.View attachment 2202260
HAKUNA NCHI YA ULAYA ITANUNUA GAS YA URUSI KWA RUBELS - MRUSI SAHAU MILELE.
Waache WAFESasa Kama Vita wanapigana ulaya.
Mbona unashangalia wewe mmakonde?
Acheni mzaha kwenye ROHO ZA WATU.
Kuna vitu vya kufanyia mzaha sio ROHO ZA WATU.
Elimika
Mkuu iweke sawa, hii si kwa sababu ya vita vinavyoendelea HAPANA, bali ni kufanya building capacity kwa Ukraine for future nation Security.
Huyu Mama alitoa lugha kali sana wakati denazification na demilitarization inaanza huko Ukraine. Baada ya operation kushika kasi amekuwa kimya sana. Nasubiri plan B yake ya kuikwamua EU.
najua wasiwasi wako upo kwenye chelsea tu, teh teh tehVita inapoelekea ni pabaya sana. UKRAINE anaendelea kupokea silaha za kisasa kwa wingi kutoka nchi za ulaya, nguvu yake ya kijeshi inazidi kuongezeka.
Huko mbeleni vita itamjeukia Russia na Russia hatakubali itampelekea kutumia silaha nzito zaidi kujihami zaidi. Anaweza kupiga nuclear kwenye nchi za wanachama wa NATO
Tujiandae kwa vita nyingine ya dunia.
Alosema RUSSIA yupo vitani nani!!?Ushabiki mwingine wa ajabu sana kwani Russia ameshinda vita, akili zako zinakutuma destruction ndio ushindi medani. Mashabiki mnapaswa angalau kutafuta logic kwanza ili wengine waelemike ndani yake
Hakutakuwa na vita ya dunia bali vita ya US na NATO yake dhidi ya Russia. Sisi Afrika hatumo kabisa labda Kenya mwenye 'mbio za kumsalimia' US.Tujiandae kwa vita nyingine ya dunia.
kujisalimisha kwa KAFILI ni dhambi kuwa, Bravo Zelenskyy.Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelens amesema kuwa Urusi inajaribu kuliharibu kabisa Jimbo la Mashariki la Donbas lakini ameahidi kwamba atalilinda.
Akizungumza kupitia ujumbe wake wa video wa Jumapili jioni Zelensky amesema vikosi vya Urusi vinajitayarisha kwa oparesheni kubwa Mashariki mwa nchi hiyo ambayo itaharibu kila kitu kwenye Jimbo la Donbas.
Hayo yameelezwa wakati Ukraine ikiapa kupambana hadi dakika ya mwisho katika mji uliozingirwa wa Mariupol baada ya kumalizika kwa muda uliowekwa na Urusi wa kuwataka wapiganaji wake kuweka chini silaha na kujisalimisha.
Waziri Mkuu wa Ukraine, Denys Shmyhal amesema saa kadhaa tayari zimepita tangu kumalizika kwa muda wa mwisho uliowekwa na Urusi na hadi sasa vikosi vya Ukraine havijasimu amri na vitaendelea kupambana.
Akizungumza na televisheni ya ABC Shmyhal amesema Mji wa Mariupol bado "haujaanguka" na vikosi vilivyozingirwa na jeshi la Urusi vitapigana hadi risasi ya mwisho.
Zelenskyy atishia kuvunja mazungumzo ya amani na Moscow
Mapema siku ya Jumapili rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine alisema mazungumzo ya amani kati ya nchi yake na Urusi yatasitishwa iwapo Moscow itawaua wanajeshi waliosalia kwenye mji wa Mariupol.
Jeshi la Urusi ambalo sasa limehamishia nguvu zake kwenye kuchukua udhbiti wa jimbo la Donbas limesema kuna wapiganaji wachache wa Ukraine waliobakia ndani ya mji wa Mariupol na jana iliwataka kujisalimisha kwa ahadi ya kutowashambulia.
Stori: DW
Hiyo yote ni kuogopa corona au kuna shida nyingineView attachment 2202248
ukizungumza na putin lazima sauti iwe kubwa, umesikia bwana Antnio Guterres
Watajua wao. Hawa wanasiasa wa aina ya ziliensky ndio wanaingiza nchi kwenye matatizo...
The main thing from the morning briefing of the Russian Ministry of Defense on the special operation:
- sea-based Kalibr missiles on the territory of the Zaporozhye aluminum plant destroyed hangars with a large batch of foreign weapons and ammunition supplied by the United States and European countries for the Armed Forces of Ukraine;
- The Russian Aerospace Forces hit 59 Ukrainian military facilities overnight.
Among them:
50 areas of concentration of manpower and Ukrainian military equipment;
four warehouses with weapons and ammunition in the areas of Chervonoy, Dolgenkiy, Pashkov and Vesyoliy;
SAM "Buk-M1" in the area of Slavyansk;
over 120 nationalists and 35 armored vehicles and vehicles were destroyed;
- rocket troops and artillery completed 573 fire missions overnight.
Affected:
432 areas of concentration of manpower and military equipment of the enemy;
67 artillery positions;
two MLRS batteries and seven ammunition depots;
- Russian air defense systems shot down 18 Ukrainian UAVs in the areas of the settlements of Aleksandrovka, Balakleya, Bryanka, Zaporozhye, Izyum, Kapitolovka, Peremoga, Petrovka, Popasnaya, Proletarskoye, Trudolyubovka;
two Bayraktar TB2s were shot down near Kolesnikovka and Krasny Liman;
A Ukrainian Tochka-U missile was shot down over Ilyichevka.View attachment 2202289
Sasa mtu mwenye akili fupi kama ww unaweza kujua mambo ya security kweli!!?Hiyo yote ni kuogopa corona au kuna shida nyingine
Russia is burning,Russia is burning[emoji16]. [emoji897]View attachment 2202123