Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kaka unaendelea kuhubiri, huleti data wala chanzo . Je unajua chanzo ni nini? Lete au acha kusambaza madai yasiyo na msingi. Lete data za Aprili.
 
Nyie mmekuwa bully. Mnapiga tu. Mmeshindwa hata ktuma majasusi wakamwondoa raisi kisha mkaweka pandikizi la raisi mkawaacha raia waendelee na maisha yao mnalipua nchi ya wakulima wa watu wasiojua hata tafsiri halisi ya NATO ni nn[emoji3].
Hahahaa.....sisi hatuna haja na huyo rais kilaza kuwahi bk kutokea .duniani ..mtumwa wa marekani ...sisi tunachotaka ni kuweka mipango mikakati kiulinzi na kiuchumi kwenye ardhi ya ukrain rais ni wa kwao ...hatumtaki ......tunaigawa ukrain nusu ya kwetu nusu yao .....na kama mkitaka tusilipue wacheni kutuma viji silaha na mkubali kuwa mmeshindwa vita .....
 
The Polish prime minister said that Warsaw would ask the European Commission to impose duties on gas and oil imports from Russia in the amount of 25-35%.

View attachment 2202542

Tulikua tunasema Africa ina viongozi wa hovyo ila hawa wa EU ndo wamezid kama hawa wa Poland sasa hizo duties zikiongezwa atakaethirika si importer?? Anajua Economics vzr? Ukiongeza duties exporter anaongeza bei
 
K

Wanatunza huko mkuu inaenda kuzaa au kutunzwa? Ujue kwenye mapango hayo Kuna upotevu mkubwa wa gesi utatokea kwa nature ya gesi ilivyo. Usijifariji kwa kitu Cha mwenzio, Cha mtu mavi mkuu.
Nilitaja tekinolojia ya kutunza akiba za gesi jinsi ilivyo. Wanapendelea nafasi ambako gesi asilia ilikuwepo lakini imeshatolewa. Kabla ya kutoboa tabala la mwamba juu ya nafasi hiyo gesi ilikuwepo bila kupotea, hivyo nafasi hiyohiyo inaweza kutumiwa kuijaza tena.
Hapa ni kazi ya wataalamu wa jiolojia kutambua na kukagua aina za miamba.
Ukiwa na data za kinyume, lete. (data, si madai au maoni)
Jisomee hapa: The Basics of Underground Natural Gas Storage - U.S. Energy Information Administration
Ona:
 

Mtu asiye na ufaham na Economics hawezi elewa unachoelezea.
 
UKITAKA KUJUA WATANZANIA WENGI AKILI 0 NJOO FATILIA VITA VYA UKRAINE KWENYE HILI JUKWAA UNAEZA CHEKA...MAANA KUNA WATU WANALIJUA JESHI LA AMERICA KULIKO HATA AMERICA WENYEWE....KUNA WATU WANALIJUA JESHI LA RUSSIA KULIKO HATA PUTIN 🤣🤣

WENGI WAO HATA MANATI HAWAJAWAHI KUSHIKA🤣🤣
 
kwenye jukwaa hili mimi ndo najiona sina kitu kuliko wote, nimefuatilia thread hii toka mwanzo :
nilichogundua hapa nikuwa
Russia wanapoona silaha, za Ukraine zinaongeza makali nao wanaongeza kidogo nguvu,
kwa mtazamo wangu mimi Ukraine wangemaliza hii vita kidiplomasia
huko mbelee Russia watakaza zaidi alafu wanataiharibu nchi yote,,
ila nyuma ya hii op naona kuna kitu wengi huenda hatukijui au tunakijua ila hatukielew....
maana bwana zelewesky nashindwa kumuelew kitu kimojaa..."kwani kujiunga NATO na kutojiunga mkaishi na jirani yako kwa amani shidaa iko wapo?"
kwani NATO wana faida gani kubwa ambayo inaweza kureplace maisha ya watu na miundo mbinu inayoharibiwa kila uchwao ?
au mimi ndo sijui ?
faida gani member wa NATO wanapata kinacholingana na kila Ukraine inapoteza ?
na uchumi wa dunia unatatizika kiasi hiki ?
kila siku nasikia wataalamu mbalmbl wanasema Russia ili miscalculate resistance ya Ukraine, lakin mimi nahis USA ndo ili miscalculate response ya RUSSIA kwa Ukraine kujiunga NATO,,,,
ila kwa kutumia historia tu, mimi binafsi nafikiri Russia pia hajakurupuka kwenye hili,,,, huenda hii vita ikatufikisha mahali AMBAPO sis third world countries hatukutegemea..........
wengi tunafikiri RUSSIA kakosea sana,
lakin siku chache hizi nimeona china ikitaka kuweka millitary base solomon island USA NA Australia wamekuwa wakali sana na wamesem watarespond accordingly,
ndo najiuliza kwa nn wao Ukraine hawafeel the same taste ??
jaman sisi hapa jamiiforum nahis kuna vitu hatuvijui zaidi ya yale tusumayo Google huko....ila mataifa haya yanajuana.....
kwa kifupi tu niseme dunia inahitaji Russia yenye NGUVU kuliko yenyewe inavotuhitaji kwa sababu USA akiwa kiranja wa dunia ana misuse power yake..

nadhani temeshuhudia akitumia nguvu yale kunyanyasa mataifa mengi Libya, Iraq, etc
 
Ndo maana mnakuwa na sifa ya bullies.

Huwa naamini taifa kama USA na URUSI lina uwezo mkubwa wa kutetea maslahi yake bila kuingia nchi husika na kuiteka, ila ukiona kapeleka majeshi basi kuna rasilimali anataka kuzikwapua.
 
Utaahira Ni kipaji pia.
 
Ninavofahamu mm kuhusu comparative na absolute.advantage

Comparative advantage ni pale ambapo nchi fulani inauwezo wa kuzalisha bidhaa kwa low cost kuliko mshindani wake

Absolute advantage ni pale ambapo Nchi fulani inaweza kuzalisha bidhaa hiyo ndani ya nchi yke lkn kwa high cost kwaio huona bora kuagiza Nchi jirani kuliko kuzalisha yy

Mtoto wa nzi nimepatia apo au nimekosea?
 
Bajeti yetu ya mwaka wenzetu wanaingiza kwa mwezi tena kwa kuuza energy tu kwa unfriendly country. Hujagusa takataka zingine afu kuna boya anakwambia Russia maskini hii bongo ina comedian wengi sana
Pamoja na sanctions zote walizowekewa Russia kwny Hii quarter ya kwanza tu corporate tax wanapata zaidi ya $43bil.Hio Ni corporate tax tu bado makodi mengine kibao,Na wapuuzi wanakwambia hio Ni nchi maskini sana
 
Kaka asante kwa mawazo - ila Ukraine haikujiunga na NATO. Maana NATO hawakupokea Ukraine. Kama wangeipokea, Urusi isingeshambulia. Hakuna wanajeshi wa NATO huko Ukraine.
 
Hii articlers murua kabisa wale waabudu amerika a ulaya watakuja wakutukane matusi majubwa makubwa hawatakuelewa we subir ..............




Mkuu (.Tsh ) uku api em pitia hiyo articlers hapo juu....Afu leta hoja mezani
 
Matukio ya leo (Guardian UK)
1. Belgorod:
Explosions heard and an ammunition dump reportedly on fire near Russian city 40km outside the Ukrainian border
2. Eastern Ukraine: Ukrainian defence ministry said Russian forces had taken Velyka Komyshuvakha and Zavody, in the north-eastern Kharkiv region, and Zarichne and Novotoshkivske in Donetsk
3. Mariupol: Russian attacks continue against Ukrainian fighters holed up in the Azovstal steel plant
4. Zaporizhzhia: Russia’s defence ministry claims its missiles have struck a Ukrainian arms depot housing weapons from the US and Europe
5. Transnistria: Interior ministry of breakaway pro-Russia region claims Ukraine launched drones and fired shots overnight as fears continue that Moldova could be drawn into the war
 
Na wewe mwenye akili finyu umekuja fata nini huku ......ngedere wewe .....ungepita kushoto tu tuachie uzi kama ulivo
 
Na Kwa products zinazofanana .. !!! Unajua Marginal Cost of Production!!? Na .Je, Unajua Economies of scale!!?...
 
Upo mulemule... Ambacho ume ki-ngore ni MASOKO ... TANZANIA NA KENYA TUNAZALISHA CHAI ,NDIZI ,PAMBA,KATANI, PARETO ,KOROSHO NA KAHAWA ..KWA GHARAMA GANI!!? HAPO NDIPO UTAIPATA ABSOLUTE NA COMPERATIVE ADVANTAGE.... BIASHARA KUBWA YA KENYA NI IPI KATIKA MAZAO HAYA!!? NA TANZANIA NI YAPI!.... KARIBU
 
Mmoja wapo ni ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…