Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Unaijua CAR, au Niger hizi nchi mbili pekee zina Uranium ya kutosha kuuzia Dunia nzima... Na tofauti ya Uranium na fossils fuels, you only need 1Gram to produce 1MegaWatts so usitarajie Russia kumtisha mtu yoyote na Uranium yake
Tanzania silaha tunazonunua Russia most of them ni Soviet error ambazo zinatosha kutulinda tu na Nchi kama Kenya, Malawi na Uganda,% kubwa Tanzania inapata mafunzo ya kijeshi kutoka Urusi,90% ya silaha eg bunduki za JWTZ na polisi, yaani AKA 47,zinatoks urusi. Tanzania kupiga Kura ya kutokuunga mkono upande wowote sio wajinga
Hii ni list ya Largest reserve Hadi hapa umeona Kuna Niger, nishawambi kuwa Niger ndio Source kubwa ya Uranium inayotumika France, pili ukiangalia list uliyoleta hapa, ni Taifa moja tu China ndio mshirika wa Russia na Kwa namna yoyote hawezi kuiitegemea Russia kwenye Uranium...Endelea kukaza Fuvu hiloView attachment 2204466
Kwa hiyo umekubali kwamba hawa jamaa ni wezi? Na kushindwa kwao kuletea ubabe Russia kwenye rasilimali zake ndio kisa cha kumchukia na kumpiga vita?France sehemu kubwa ya Uranium yake inatoka Africa Magharibi ndio maana France Wana Majeshi Baadhi ya Nchi
One of the rockets that struck Kyiv on Thursday landed near the hotel where the visiting UN secretary general is staying, according to his spokesman.
The rocket hit barely an hour after Antonio Guterres held a news conference with Ukrainian President Volodymyr Zelensky.
Guterres and his team are safe, his spokesman Stéphane Dujarric told CBS News, the BBC's partner in the US.
Russia wako desperate sana, kama Kuku aliyekatwa kichwa
Kwani mkuu ulitaka tuwe na silaha za kupambana na Russia?Tanzania silaha tunazonunua Russia most of them ni Soviet error ambazo zinatosha kutulinda tu na Nchi kama Kenya, Malawi na Uganda,
Pili jeshi la Tanzania linatumia SMG kama Standard ya Silaha zake na Si AK-47, ukiona AK-47 kwa Askari wa Tanzania hiyo ni special case, pia Hizi Silaha tunanua China.
Ndege nyingi zilizopo kwenye Air force yetu ni msaada au zinatoka China, binafsi sijawahi kuona Russian planes kwenye Jeshi letu, kama umewahi kuziona unaweza kupiga picha...
Pili zile Helicopters za Jeshi unazozionaga zinatoka France, kama umewahi kuona zinatoka Russia ungeweka na reference.
Pia ingekuwa vizuri kama ungeelezea 90% imefikaje
PropogandaOne of the rockets that struck Kyiv on Thursday landed near the hotel where the visiting UN secretary general is staying, according to his spokesman.
The rocket hit barely an hour after Antonio Guterres held a news conference with Ukrainian President Volodymyr Zelensky.
Guterres and his team are safe, his spokesman Stéphane Dujarric told CBS News, the BBC's partner in the US.
Russia wako desperate sana, kama Kuku aliyekatwa kichwa
Hii propaganda nadhani niliimaliza kumbe bado ipo, China ndo inaongoza kwa kuwauzia silaha, urussi imeshindwa mpaka na Israel. Hapa Africa Nchi zinazopewa mafunzo ya kijeshi na Urussi ni chache mno kutokana na bajeti yao ndogo. Marekani / china/Uingereza wanaongozaa kwa mafunzo na misaada Tanzania.% kubwa Tanzania inapata mafunzo ya kijeshi kutoka Urusi,90% ya silaha eg bunduki za JWTZ na polisi, yaani AKA 47,zinatoks urusi. Tanzania kupiga Kura ya kutokuunga mkono upande wowote sio wajinga
😂😂😂😂Kwa hiyo umekubali kwamba hawa jamaa ni wezi? Na kushindwa kwao kuletea ubabe Russia kwenye rasilimali zake ndio kisa cha kumchukia na kumpiga vita?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Amekurupuka huyo.Tanzania silaha tunazonunua Russia most of them ni Soviet error ambazo zinatosha kutulinda tu na Nchi kama Kenya, Malawi na Uganda,
Pili jeshi la Tanzania linatumia SMG kama Standard ya Silaha zake na Si AK-47, ukiona AK-47 kwa Askari wa Tanzania hiyo ni special case, pia Hizi Silaha tunanua China.
Ndege nyingi zilizopo kwenye Air force yetu ni msaada au zinatoka China, binafsi sijawahi kuona Russian planes kwenye Jeshi letu, kama umewahi kuziona unaweza kupiga picha...
Pili zile Helicopters za Jeshi unazozionaga zinatoka France, kama umewahi kuona zinatoka Russia ungeweka na reference.
Pia ingekuwa vizuri kama ungeelezea 90% imefikaje
😂😂😂 Unaongea Nini ndugu....Kwani mkuu ulitaka tuwe na silaha za kupambana na Russia?
Sisi sio wapumbavu kama Ukraine, tugeuze vimiji vyetu kuwa magofu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Sio rahisi, nadhani itachukua hata mwaka kukamilisha malengo yake. Hata USA kapambana na Taleban kwa miaka 20 ila mwisho wa siku Taleban bado wako madarakaniShida Putin hajaamini 72hrs imechukua more than 60days hajaweza ku achieve chochote ikiwepo kuindoa serikali madarakani.
Bila nyukilia Putin hawezi kuishinda ulaya na Marekani,sahaunimrusi ashushe satan 3 tu hapo ukraine kazi iishe halafu atokee kihere here mwengine wa kupambana tuone!
Asante sana kwa jibu.Uongo!
ProNato mnachekesha kwa kweli[emoji1787]. Kwa comment yako hii inatia wasiwasi kuamini lolote linalotoka kwako. Unashindwa kuwa 'objective' hata kwa dk moja, mahaba!!! Silaha za urusi sio za kisasa!?
- Tuambie ni mfumo upi wa ulinzi wa anga unaotoka nje ya Russia ambao ni bora kuliko s400. Hapo Bado kuna s500 na s550
- Tuambie ni mfumo gani wa makombora 'missile' ulio bora kuliko samart!? Unayesema ana silaha sio za kisasa amesharusha Hypersonic missile wakati mwenye silaha za kisasa hata kutest bado. Bwahahaaha
- ukiachana na f35 kuna dege lolote linalweza kupambana na su57? AH64 apache guardian mwenzake si k52 hokum ya Russia au kwenye bombers, Grumanns B2-Spirit mwenzake Tupolev Tu160 ya urusi. Kila alipo mmarekani na mrusi naye yupo.
- unazungumzia vifaru!? Alaf unataja T72/80/90 kwa zarau. Mbn hukutaja T14Armata!? Au sio ya kisasa
- ak47 vs m16!?
Mkuu nomba uniambie hiki kisa Cha nege ya Japan kuzuiwa na India,kama hutajali.Shida kila siku wanatuonyesha wanapakia mara vifaru,mara mizinga ila cha kushangaza hazifiki.bora hata japan tuliona ametuma ndege ila ikazuiwa na India
Hebu onesha niliposema hivyo. Umeanza kuchanganyikiwa!?[emoji23][emoji23][emoji23] Unaongea Nini ndugu....
Umesema tunaitegemea Russia kwa Silaha kwa 90%, mbona Uganda wanamiliki zile ndege za Su-?? 3rd generation, so wanataka kupigana na Russia?
Alafu unataka kusema Tukifanya tofauti na Russia, atatuvamia, je Hana Akili?