Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo unataka kusemaje!!!? .Hao wote hivyo Mmoja mmoja hawawezi battle na Urusi !!??
 
Cheguve alikuja Tz mara 4 kwa siri before
 
Kwa mfano ikatokea baba yako, mjomba wako, shangazi yako au mtoto wako akiwa shoga utafanyaje?
Mkuu kati ya wengi wanaochangia humu we ni kati ya wachache wanaochangia ki-hekima,naomba nikuulize kidogo.

Wewe kama wewe unaweza kujenga urafiki na mtu shoga?
 
Bila nyukilia Putin hawezi kuishinda ulaya na Marekani,sahauni
Mi nawashangaa watu kama nyie ....asa unaposema bila nyuklia putin hawezi kitu .....huo ni upopoma

the same hata marekani bila nyuklia asingeipiga japan enzi hizo na hata sasa maana alizidiwa na japann nyuklia ndo ilimsaidia na hata sasa bila hiyo nguvu ya nukes marekni asingemtishia mtu ....

Tukiambiwa urusi ina nguvu au marekani ina nguvu nguvu zenyewe ndo hizo yaani unakuwa umeji EXTRA ..maana kwamba una silaha ya ziada ambayo maadui zako wanakuogopa kwayo ......ndo maana marekani mpaka leo hajamvamia kiduku au irani ....
 
Hivi unatuchukuliaje mkuu ?
 

Vita vya Ukraine: Makombora yapiga Kyiv, Umoja wa Mataifa wakiri kushindwa​

Saa 6 zilizopita


Makombora yamepiga Kyiv wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini humo, ambapo alikosoa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Antonio Guterres amesema baraza hilo limeshindwa kuzuia au kumaliza vita nchini Ukraine.
Hiki kilikuwa "chanzo cha kukatishwa tamaa sana, kufadhaika na hasira," alisema.
"Niseme wazi kabisa: [ilishindwa] kufanya kila kitu katika uwezo wake kuzuia na kumaliza vita hivi,"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…