Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
USA ana hali mbaya sana.Mkuu umefafanua vzr ngoja nijazie kuna kitu US mpaka sasa hajiamini hajui maadui zake hata hao ambao wapo NATO ikianza WW3 wapo watakao mgeuka wengi wapo kimaslahi pale.
Ná Marekani anajua kuwa kuna kundi kubwa halimsapoti, hivi unafikir Japan hakumbuki machungu ya hiroshima?? Anajikaza tu
Kumbuka kuna kundi kubwa la nchi za Asia zitakua pamoja na Russia kuna china, NK, india brazili hao ni moja ya partner wa Russia. WW3 ikitokea Europe ndo watakaoumia zaid manake vita itapigwa hapo Europe.
May be for Boers in South Africa
Eti MAKUNIWEWE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ahya bn bnafsi sijaona kitu kabisa... Nakusalim kwa jina la Samart Missile [emoji847]Wahenga walisema MAKUNIWEWE.
Mkuu nakusisitizia kila siku mapato ya nishati ya Urusi hayajapungua bali yameongezeka ila unajifanya huelewi kabisa.Kwa nini wengine hawafuati mfano wa Urusi? Kwa sababu ni hatari kuchezea thamani ya pesa ambayo ni picha ya nguvu ya uchumi.
Urusi inajaribu kusukuma thamani ya pesa yake juu zaidi , maana wasingechukua hatua walizochukua, rubel ingeshuka kabisa na baadaye hakuna duniani anayetaka kuigusa.
Kwa mbinu wanazotumia (kulazimisha makampuni yao ya gesi/mafuta kupeleka $€ zote benki kuu na kununua rubel, kuzuia $€ zisitolewe nje, kuzuia wawekezaji kuuza hisia na kurudisha pesa nyumbani) , wamefaulu kutetea thamani ya ruble sokoni; ila hii inategemea kabisa mapato ya kuuza gesi/mafuta na mauzo hayo yanazidi kupungua. (itachukua miaka hadi kupata njia mbadala kwa wateja wengine - kama wapo)
Kwa upande mwingine nguvu halisi ya uchumi unazidi kushuka; hawawezi kupata tena vipuli vingi (uzalishaji wa magari katika viwanda vya Urusi ulishuka vikali tangu Machi, ona Russian car market has decreased by 63% in March 2022 | RusAuto.News) , makampuni mengi ya kimagharibi yaliyozalisha magari na mashine yanaondoka.
Urusi inahitaji kutafuta njia mpya za kupata vipuli . Maana kabla ya vita asilimia 40 za bidhaa zilizonunuliwa na Urusi nje zilitoka Eu na Marekani. sehemu kubwa ya bidhaa hizo hazipatikani tena kutokana na vikwazo.
Ona hii
Russia’s main imports are machinery, chemicals, and other manufacturing goods, and that Russia depends on the rest of the world for the supply of many complex products. One factor explaining Russia’s sectoral trade profile and dependency is its poor labour productivity. Russian labour productivity in the industrial sector is 21 percent of US and 36 percent of EU’s labour productivity. In other words, the Russian economy needs five workers to do the job of one US factory worker. chanzo: Russia Import Dependency Problem |
Hata katika sekta ya silaha inayotajwa hapa mara kwa mara, udhaifu wa uchumi wa Urusi unaonekana: wana mahandisi wazuri waliobuni silaha bora (au: zinazoaminiwa kuwa bora maana hazikufika vitani bado) kama kifaru T-14 na ndegevita SU-57 lakini silaha hizo hazikufika kwenye jeshi bado kwa sababu hadi sasa tasnia ilishindwa kuzitengeneza mbali na mashine chache za majaribio na uchumi kwa jumla haikuwa na nguvu kuzalisha mapato ya kutosha kulipa gharama za mitambo hii. Hapo sababu kwamba wala T-14 wala SU-57 haikuonekana bado katika vita hii, na hazitaonekana.
Kwamba "Willy Joseph Cancel" has been Cancelled by RFA.... Aseee Wamem-cancel ka jina lake shenzi kabisa. Unaacha familia ako unaenda pigania hizo punguani za Neo-Nazi...Putin kapeleka msiba mzito Marekani...
Majeshi ya Russia yamemdedisha mwanajeshi wa Jeshi la Marekani (US Marine) aliyeenda Ukraine kupigana dhidi ya majeshi ya Russia....kaacha mjane (mke mbichii) na mtoto yatima
Asante sana Putin kwa kupeleka msiba Marekani, kutengeneza mayatima marekani na kuunda wajane marekani...kila mtu ajishindie mechi zake
View attachment 2205138View attachment 2205137
Kama Urusi amepoteza wanajeshi 23000 yeye atakuwa amepoteza 83000
$46,300,000,000 ni sawa na Tsh 107,645,786,900,000.02Mkuu nakusisitizia kila siku mapato ya nishati ya Urusi hayajapungua bali yameongezeka ila unajifanya huelewi kabisa.View attachment 2205167
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Na hiyo ni kwenye nishati iliyo uzwa ulaya tu bado ile inayo uzwa Asia, America ya kusin,Afrika.$46,300,000,000 ni sawa na Tsh 107,645,786,900,000.02
Yaani Tsh Trillion 107.6
Gharama ya SGR Dar mpaka mwanza ni around Tsh 12 Trillion.
Kwa pesa hiyo ya mwezi mmoja na sehemu iliyopata Russia. Tunaweza kujenga SGR 9 zenye urefu wa Dar mpaka mwenza.
Russia wapo vizuri sana. Ngoja nitafute Revenue yao katiba bidhaa mbalimbali kuanziawezi wa pili tarehe 24 mpaka sasa.Na hiyo ni kwenye nishati iliyo uzwa ulaya tu bado ile inayo uzwa Asia, America ya kusin,Afrika.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Hakika,atabakia tu kama biological father,lakini sitamtambua.Utamtosaje? Utamfanya asiwe baba yako?
Aaaaah happana, kwenye issue za kivita sio mjuzi kiiivo, Huwa sio kipaumbele changu kuyachimba deep...Hehe sawa ngoja tumngojee ila MKUU Galip QiL tutolee mwanga kidogo kama linafahamika
Panya road wanaamsha mbaya! In short wameshindikana.Mpaka sasa sijajua kama wamefikia hatua gani ila ngoja sisi tuendeleee kukomaa na mabadiliko ya bei na mfumo wa maisha
Dadeki, Oyaaa bibingi unaona wafuasi wa Putin walivyo Smart [emoji847][emoji847][emoji847] Unasoma mwisho wa maelezo unaishia kutabasam tu...Ulichokiandika %kubwa ndo uhalisia
Kwa kuongezea hapo, Russia kwasasa anatumia wapiganaji wa majimbo yaliyo jitenga na Ukraine kupigana na majeshi ya Ukraine huku small scale ya Russian army kama wanchenchen wakishambulia kama back up tu na siyo frontlines. Ndo maana husikii hawa jamaa wakifa au kukamatwa hovyo hovyo zaidi ya kuwaona wakipiga self na mazoezi nchini Ukraine.
Pia inaonekana wanajeshi aliopeleka urusi kwenye operation hii ni wale wa kiwango cha kawaida kabisa size ya jeshi la Ukraine.
Halafu wale high trained military personnels wamebaki urusi kwajili ya kujipanga na vita kamili endapo kama hii operation ikigeuka kuwa vita baada ya NATO kujiingiza moja kwa moja.
Kwanini nadhani hivo?; ukiangalia picha za wanajeshi wa urusi walio tekwa au kuuawa wengi wao ni vijana wadogo sana aged kati ya 17 to 24 yani kibongo bongo unaweza kusema ni wale service men(kuruti walio iva) walio rundikana makambini wakisubiri ajira za mama za JWTZ.
Ukitaka kuona kuwa urusi haijatumia hata 10% ya jeshi lake halisi kwenye hii operation subiri gwaride la siku ya ushindi(victory day) on 9/5/2022 hapo ndo utajua Russia alijua na anajua anachokifanya.
Tatizo watu mnakosea sana kulinganisha maamuzi ya kijeshi au operation ya nchi kubwa kama Russia au USA na operation za polisi wenu wa kibongo za kupambana na vibaka pamoja na wezi wa pikipiki Hapo DSM.
Urusi siyo Zaire na Putin siyo IGP Siro.
Nalog off.