Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Which country exports the most nuclear reactors?


one country now dominates the market for design and export of nuclear plants: Russia.

A nuclear reactor, formerly known as an atomic pile, is a device used to initiate and control a fission nuclear chain reaction or nuclear fusion reactions. Nuclear reactors are used at nuclear power plants for electricity generation and in nuclear marine propulsion.
 
Sasa unanileta mchoro hauna hata heading. Source ya data hizo ni wapi!? Nani kazitunga!?

Russia hawajabadili price za bidhaa zao. Nyie na USA ndio mnahangaika.
 
Russia imemtia nguvuni raia wa Ungereza nchini Ukraine...

Ikumbukwe kuwa ndani ya siku chache zimepita Russia iliahidi kuwasaka wanajeshi wa SAS wa Uingereza waliopo vitani Ukraine.
Huyu aliyetiwa kwenye mikono salama na majeshi ya Russia, mabeberu yanasema ati ni mfanya kazi wa mashirika ya misaada ya kiutu...

 
Hivi mkuu,umewahi kumpeleka demu ghetto,alipofika,ukamwambia vua nguo,akasema sitaki,ulipomvua akakusaidia kuvua yy mwenyewe,huku anasema staki,alafu ukimvua pichu anasema kwa mahaba 'mi staki jomoniii' huku anakulegezea macho!?😆🤣🤣🤣 Yaani ndo mataifa ya magharibi yanachofanya mbele ya Urusi.
 
Sina lakuongeza MKUU umemaliza
 
RUSSIA hawajalazimisha RUBO bali walikua hawana OPTION nyengine sababu walizuiliwa kutumia dola pound na euro
Ama hapo wangefanya nini kwaunavyohisi wewe
Unadhani hizo kampuni zilizoondoka huko RUSSIA nazo zitakua salama kwakiasi gani!!?
Mwisho kabisa hayo majarida ya kuhusiana na RUSSIA kusema ukweli kwangu usiyalete hayo majarida sina imani nayo kabisa
Toka walipoitoa RUSSIA pale G7 sababu yakuikwapua CRIMEA halaf wakaja nahoja zao zakisiasa jamaa sina imani nao kabisa kabisa
AHSANTE
 

Russia's energy clout doesn't just come from oil and gas – it's also a key nuclear supplier​


As Western nations look for ways to reduce their reliance on Russian oil and gas, another aspect of the Ukraine crisis has received less attention: Most of the 32 countries that use nuclear power rely on Russia for some part of their nuclear fuel supply chain.
 
Kuhusu faida ya beteri ya umeme unasema kweli, hiyo inajulikana. Hapa kuna kitu kingine. Jinsi wanavyoongeza mitambo ya umemeupepo na sola, wanapata vipindi virefu ambako wanapaswa kuzima mitambo kwa sababu inazalisha umeme mwingi mno ambao huhitajiki wakati huu. Hapa kuna majadiliano kutumia umeme huo kwa elektrolisisi na uzalishaji wa hidrojeni, maana ni njia ya kuhifadhi nishati kwa umbo tofauti.
Mitambo hii yote iko katika mchakato wa mabadiliko ya haraka...
Kweli wa sasa beteri na sola iko mbele; lakini makampuni makubwa ya magari yanaendelea kufanyia hidrojeni kazi. Toyota, Hyundai, Honda na Renault wanauza magari ya hidrojeni.
 
Duuuh
RUSSIA kweli maskini
Pro NATO sijui hua wanashida gani hawa VIUMBE
 
Ahsante MKUU shukran
 
Tunaomba na takwimu za uzalishaji wa magari huko Ulaya. Hasa Ujerumani maana ndiye mtengenezaji pia mkubwa huko.
====
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…