Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Russian Defense Ministry showed how Ka-52 Alligators destroy military facilities and equipment on the territory of Ukraine.

Your browser is not able to display this video.
 
Germany takes Italy to UN’s highest court

Germany is suing Italy in the top UN court in the latest round of long-standing dispute over Nazi compensation claims, the International Court of Justice (ICJ) revealed on Friday.

In its application Germany claims that Rome has continued to allow Nazi war crime victims to file requests for compensation from Berlin, even though in 2012 the ICJ ruled that it is illegal. In the claimant’s view, by doing so Italy “has violated, and continues to violate, its obligation to respect Germany’s sovereign immunity.”
 
Nikweli unachosema coz Russia ameshambulia mara nyingi tu mji wa kiv na meli zake ambazo ziko Black sea likini alishindwa ku take over na control. Vita huwa ni kanuni huwezi kufanya random offensive bila kuangalia shabaha licha ya kuwa na destructive weapon. Ingekuwa hivyo Putin asingekubali kupoteza askari hata mia tano kalibia battalion nzima. Kipindi cha vita ya kagera nyerere alikataa kutumia BM kwa sababu ya kuwa na madhara makubwa, kombola moja danger area ni one acre. In other side ukraine sio wazembe coz wametengeneza defence line ambayo imekuwa ngumu kuivunja, kuna video iko arjazeela nimeona vikosi vya russia vimepigwa counter attack askari ambao walikuwa wametekwa wakapigwa vyuma. In summary, kuvamia nchi ya watu jipange vinginevyo utapeleka kuzimu askali wako wengi tu kama jinsi pinzani likiamua kupambana kwelikweli.
 
Si ndio uzezeta huo na kuchelewa.Yaani vita viko karibu ya kwisha wewe ndio kwanza unaingia darasani kujifunza kutumia silaha ambazo pia hazijafika mjini.Kama zikipotea njiani si utakuwa umepoteza muda bure.
Wewe jamaa unaongea as if unajua kuliko wao, kujifunza kutumia mizinga kwa askali mzoeefu haichukui siku nyingi. Kipindi cha vita ya kegera kuna migambo walitumia mwezi mmoja kujifunza kupiga mizinga, shughuli yao baadae kwenye vita haikuwa ndogo. Ukiona wenzako ujue wamefanya reconnaissance ya kutosha taarifa zote ziko in disposal, unachekesha unavyobeza as if wewe ndio putin mwenyewe
 
Wameshaanza kutafunana hao.Hee! hata bado
 
Wewe na ngombe hamna tofauti, lengo langu nikuonyesha kwamba Urussi imekubali kulipa madeni kwa dollars na sio rubble. Nina mashaka na akili yako
Hivi wewe una akili kweli?


Ulitegemea ukope pesa ya Mtu au shirika hlf ukalipe kwa pesa yako wakati unadaiwa kwa pesa zake?


Yaani anakudai USD wewe ukalipe kwa Yuan au Tsh?
 
Na bado urusi imeteka Kherson, Mariupol,etc
Uwezi kuwapa watu uhuru kwa operation mbuzi sheria za kimataifa zipo.Nikama wewe uchukue shmba langu kwa nguvu au amini alivyotaka Mtukula na kuivamia Tz .Haijawahi kufanikiwa duniani
 
PUT IN wala hahitaji hilo nandio maana maeneo tele yanatambulika kama maeneo yake na atayasimamia kuhakikisha mengine yanakua na uhuru kamili kwa nguvu ama makubaliano
Nandio maana kwenye hayo makubaliano yake yakusitisha OP yake anasema UKRAINE iitambue CRIMEA kua ni sehem ya RF pia DPR na LPR ziwe kama mataifa kamili
MKUU nisuala la muda tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana kwenye hii post tulijarib kuona namna gani adui na rafiki kwa US anavyofanana... Na namna gani US anavyowafinya competitors wake kwa jina la democracy 🤗😂... Hii hapa chini list nyingine kutoka IMF, Hii ni avarage GDP by country kwa kila half decade hadi 2015 tangu IMF waanze kurecord hizo data.
Kwa walio bahatika kua na analysis skills kutoka kwenye hizo data mnaweza kupata majibu ya maswali yafuatayo...

💥 Nini hasa vugu vugu la Cold war lilikuwa lina maana kwa US... Na jibu utalipata kwa kuangalia data hizi kutoka 1960 hadi 1990.

💥 Pili, angalia ukuaji wa kiuchumi wa taifa la japan... Ulianza kukua kwa kasi mno ila ukapunguza mwendo baada ya kuvunjika kwa USSR kiasi kwamba ile Value recorded 1995 haina tofauti na hii GDP nominal waliyonayo hivi sasa 2021...

💥Kwenye hio point ya pili vile vile itakupa majibu ya kwanini Japan taifa kubwa hivyo kiuchumi wanaongoza kwa kua na deni kubwa kwa ratio ya GDP kuliko taifa lolote duniani... Na hapa kwa wale tu wenye uelewa wa namna gani Debtinaathiri uchumi ndio watanielewa...

Kwa kulinganisha haraka haraka ni kua Japan deni lake la taifa ni karib 286% of her GDP. Sie TZ ambao tunalalama kuhusu mikopo deni letu lipo around 34-39% hivi ka sikosei... So unaweza pima uzito ingekuaje ka nchi ingekuwa inadaiwa mara 2.86 zaidi ya pato la Taifa.

💥 Kupitia hizi hizi data tunaweza kupata majibu kwanini China nae akaja kuvaa viatu vya waliomtangulia wakijulikana kama "threat to national security kwa US"... Jibu hapa unaweza kulipata kwenye hizi data kuanzia mwaka 2000 hadi leo...

💥Baada ya kuvunjika kwa USSR, Ugonvi kati ya US na Russia ulipoa sana, kiasi cha mikataba mingi tu kusainiwa wakati huo... Na Russia alionekana si chochote... Na ni katika kipindi hicho Russia chini ya Yeltsin iliingia madeni mengi makubwa mno... (hapa narudia, hii point itaeleweka kwa wale wanaojua effect za madeni kwenye uchumi)

💥 Wakati Putin anaingia madarakani alijikita katika kuinua uchumi wa Russia uliokua umeporomoka... Ni katika kipindi ambacho Russia alijikita katika kulipa madeni ya nje hadi kufikia 2008 anatoka madarakani kumpisha Medvedev... Maelezo haya nitayasupport na Graph hapa chini tuone namna gani alivoitoa nchi yake kutoka kwenye mikono ya wakopeshaji na kuiweka huru... Mnaeza kuziona hizi data vizuri, nahisi mtanielewa nini namaanisha...

💥 Ni katika safari ya kulipunguza hili deni kutoka 100% hadi 6%... Coz He knows huezi kua huru ukiwa na madeni, kwasabab yale ni silaha ya kukuangamiza... Ka wasiojua kuhusu hili mnaeza enda kuchukua kilichotokea hapo SriLanka...

💥 Ni katika hiki kipindi Russia tena akageuka kua adui kwa US 😂🤗, So interesting indeed...

💥 Kwenye hizo data mnaeza kuona ujio wa Russia again kwenye top ten toka kuvunjika kwa USSR hapo 2010... Miaka mi4 baadae Russia anakuja kua second world most sanctioned country nyuma ya Iran...

💥Ni nchi hii ambayo ina uchumi mkubwa yet wako so powerful in military inakuwa chuki na threat kwa US... em fikiria nchi inatembea na vikwazo zaidi ya 2700 (wakati huo kabla ya ujio wa hii OP) na bado wanaendelea kua miongoni mwa largest economy dunian...(Kwa data za mwaka jana alikuwa wa 11).

Dunia ina mengi ila hayo mengi hayafahamiki kwa walio wengi na wengi katika sie sio wafatiliaji but tuko sharp and fast katika kutoa judgement za hapa na pale...

Kwa mtu asiyeijua Russia ana haki ya kuropoka lolote linalokuja akilin mwake, ila kwa tunaoifaham tunaelewa na tunakubaliana na kile Putin na Russia wakifanyacho... The Man is Smart and Genius, it take only kwa watu design yake kumuelewa...

Maelezo meeengi sana ngoja tuishie hapa... Kikubwa kwa wale wasojua wajue... Adui na Rafiki kwa US na WESTERN kwa ujumla ANAFANANAJE...

To keep it short, ni yule anayetii matakwa yao haijalish anafanya kizuri au kibaya... Na mbaya kwao ni yule walokosa Control juu yake.

Nawaacha na wazo la MeiMosi 😂

Pale Middle east kuna utawala kifalme, maamuzi yote ya nchi hizo hufanywa na familia inayoitwa "Royal Family"... Mbona hatujawah kuwasikia wakiingia pale kuhubiri democracy wanayoidai wanakazana na China na Russia wakidai kuna udikteta...?
 
Shida mnajitoa ufahamu kwamakusudi ama kwakutokujua
RUSSIA aliondoka KIEV baada ya mazungumzo yalokua yanaendelea ANKARA wala sivinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zumba umebadili ID, Ila Bora kujiliwaza hivyo ingawaje unajua kuuawa kwa hao watu hakuna impact yoyote katika vita hiyo kwani maeneo ya ukrein yanaendelea kutekwa.
 
Uwezi kuwapa watu uhuru kwa operation mbuzi sheria za kimataifa zipo.Nikama wewe uchukue shmba langu kwa nguvu au amini alivyotaka Mtukula na kuivamia Tz .Haijawahi kufanikiwa duniani
We huna akili kumbe,sehemu ya nchi yoyote ikipiga Kura kujitenga,inatambuliwa kama nchi huru,refer S.sudan. Hayo majimbo ndo yameenda Urusi na hayatarudi tena Ukraine.
 
Shida mnajitoa ufahamu kwamakusudi ama kwakutokujua
RUSSIA aliondoka KIEV baada ya mazungumzo yalokua yanaendelea ANKARA wala sivinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa vikosi vya russia vilizidiwa ndio maana vikarudi nyuma. Propaganda ndani ya uwanja wa medani ni lazima ziwepo ili kuframe ukweli unaoweza kuvunja morale ya askari walio ndani na nje ya uwanja wa vita. Kivy ndio main target ya Russia hilo liko wazi ndio maana sasa hivi inawekewa ulinzi mkubwa ili Russia akipiga changa la macho ashindwe kuadvance. Jiulize tu swali dogo tu, Russia with its military superioy anawezaje kupoteza askari miatano, kwa technology yake ameshindwa ku shut down mifumo ya ulinzi kisha kuteka miji bila upinzani wowote, ukiambiwa kuwa Russia inasonga mbele taratibu usikasilike maana Ukraine pia niwanaume wameamua kupambana sio kudharauliwa na Russia. Ukweli mchungu , Russia amecheza chini ya kiwango ameshindwa kumaliza mechi mapema
 
Nimesimo Tu point no.1 nikakudharau hata sijaendelea kusoma ujinga wako
 
Russia hajashindwa kuiteka Kyiv,Ila hakutaka kuuangamiza kwa makombora hatari,kumbuka Urusi ilisema Nia yao inamtaka Zelensky akiwa hai asaini makubaliano na Urusi.
 
Umechanganya makande, ugali na pilau kwenye sahani moja.
Hakuna kinachoeleweka hapa.
 
Unafikiri Zelenskyy au Putini wasipokuwepo hakutakuwa na wa kusaini makubaliano kwenye nchi zao? Kwamba saini zao zina miujiza??
Kwani anayesaini mikopo na mikataba ya nchi ya Tanzania sasa hivi ni nani na mwaka juzi alikuwa nani??
Russia hajashindwa kuiteka Kyiv,Ila hakutaka kuuangamiza kwa makombora hatari,kumbuka Urusi ilisema Nia yao inamtaka Zelensky akiwa hai asaini makubaliano na Urusi.
 
Dunia, ustaarabu wake, order na maslahi yake ni makubwa kuliko huyo kipenzi chako Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…