Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona hujui hata unachosimamia, huko mwanzo ulisema Urusi ameshindwa vita vya ardhini amebaki tu kurusha makombora kutoka ardhini mwake, nimekupa facts kwa kuangalia dunia tulipofika juu ya tekinolojia ya kisasa kuwa mtu anaweza kukupiga akiwa ndani anakunywa chai, umegeuka nakusema sijui hayo ni mambo ya kwenye Movie.

Kwahiyo kwako Russia anavyo bonyeza vitufe vya hypersonic missiles akiwa urusi na kwenda kusambaratisha military bases za Ukraine kwako ndo movie siyo?

Tatizo lako bado una akili za kijima na ndo maana hata vita vya kisasa unataka vipiganwe kwa mbinu za kijima.

Watu wanamiliki mabomu ambayo yanaweza kuiteketeza DSM yote kwa bomu moja tu halafu unataka wapoteze muda na nguvu kushambuliana ardhini kwa bastora na bunduki za AKA47 kweli?

Majeshi ya ardhini kwa zama hizi yapo kufanya tu clearance baada ya Air forces na missiles kuharibu hali ya hewa.

Thing you have to note is "Majeshi ya ulaya siyo kama majeshi yenu ya jadi"

Na ukiona Urusi anamshambulia Ukraine kutoka Urusi basi tambua kuwa Ukraine kazidiwa kwa hilo na wala hana huo uwezo wa kuishambulia urusi kutokea ardhini kwake. Ndo maana kila siku mnaambiwa kuwa URUSI SIYO VISIWA VYA USHERISHERI bado hamuelewi.
Sawa endeleeni kukaza hayo mafuvu yenu wakati Ukraine inaendelea kubaki majivu siku hadi siku.
 
Russia hajashindwa kuiteka Kyiv,Ila hakutaka kuuangamiza kwa makombora hatari,kumbuka Urusi ilisema Nia yao inamtaka Zelensky akiwa hai asaini makubaliano na Urusi.
Unafikili nirahisi kufanya maanganizi miwe mnakaa chini kwanza kujifunza maana ya vita in its technical sense. Russia has a boasting military power anashindwaje kuiteka kivy. Ameshindwa kuvunja ngome za ulinzi na kufanya jeshi la ukraine wajisalimishe bila upinzani wowote. Una umri gani kijana, unafikili Russia anaweza kufanya random offensive bila kujali Raia, jiulize kwanini Ukraine wameamua kujilinda unafikili hawana uwezo wa kufanya hivyo. Yaani nchi ndogo tu ya wakulima wa ngano lanini Russia amepoteza askari wengi na yeye mwenyewe kakiri angekua amevamia Poland ingekuaje. Kuwa na jeshi kubwa haimaanishi unaweza kushinda kirahisi kama uliona Russia anaweza kufanya hivyo ona Sasa kinachotokea.
 
🇬🇧🇺🇦 Briefing of the Russian Ministry of Defense (01.05.2022)

▫️ The Armed Forces of the Russian Federation continue a special military operation in Ukraine.

💥 Onyx high-precision missiles near Odessa at a military airfield destroyed a hangar with weapons and ammunition received from the United States and European countries, and also destroyed the runway.

💥 High-precision air-based missiles of the Russian Aerospace Forces hit seven military facilities in Ukraine. Among them: four areas of concentration of manpower and military equipment, as well as three depots of rocket and artillery weapons and ammunition in the areas of the settlements of Berezovoe of the Donetsk People's Republic, Slatino and Barvenkovo, Kharkiv region.
💥 Operational-tactical and army aviation of the Russian Aerospace Forces destroyed two Ukrainian S-300 anti-aircraft missile systems in the areas of the settlements of Zaporozhye and Artemovsk. Two depots of ammunition and fuel were hit in the areas of the settlements of Privolnoe and Shevchenko in the Zaporozhye region, as well as fifteen strongholds and areas of concentration of manpower and equipment. As a result of the strikes, up to 140 personnel and 19 armored vehicles of the Armed Forces of Ukraine were destroyed.

💥 During the day, missile forces and artillery hit 786 areas of concentration of manpower and military equipment of the Armed Forces of Ukraine, 24 command posts and three depots of rocket and artillery weapons and ammunition in the Grushevakha area. Up to 200 personnel, a battery of multiple rocket launchers and up to 20 units of military equipment were destroyed.
💥 Russian air defense systems shot down two Su-24M bombers of the Ukrainian Air Force in the Petrivske area of the Kharkiv region. Also during the night, 12 Ukrainian unmanned aerial vehicles were destroyed in the areas of the settlements of Mezhevaya, Novobogdanivka, Mirograd, Shirokaya Balka, Priyutnoye, Torskoye, Staromikhaylovskaya, Balakleya and Khartsizsk. Two Ukrainian Tochka-U ballistic missiles were shot down over the settlement of Tokmak, Zaporozhye region. Also, two Ukrainian rockets of the Smerch multiple launch rocket system were destroyed over the settlement of Semyonovka, Kharkiv region.

📊 In total, since the beginning of the special military operation, the following have been destroyed: 145 aircraft, 112 helicopters, 672 unmanned aerial vehicles, 281 anti-aircraft missile systems, 2703 tanks and other armored combat vehicles, 312 multiple rocket launchers, 1203 field artillery guns and mortars, as well as 2514 units of special military vehicles.

#Ministry of Defense #Russia #Ukraine @mod_russia
 
Umeandika kama mwakilishi wa BBC, Aljazeera, CNN, au Skynews....pole na hongera kwa pamoja..
 
The Ministry of Defense of Poland announced the start of the exercises: “From May 1 to May 27 of this year, the Defender Europe 2022 and Swift Response 2022 exercises will be held with the participation of Polish soldiers. A total of 18,000 soldiers from more than 20 countries will take part in the exercises, which will take place on the territory of Poland and eight other states, including about 7,000 military personnel and 3,000 pieces of equipment on Polish territory.
 
Hua nasikia raha sana nikisikia makombora yenye shabaha
Hua nasjisikiaga raha sana nikisikia habari kia makombora ya Urusi yenye shabaha Kali sana pamoja na madhara mengine lakini ni pale yanapokua yameangamiza silaha Zulizotolewa na USA na EU kuisaidia Ukraine.

Onyx high-precision missiles near Odessa at a military airfield destroyed a hangar with weapons and ammunition received from the United States and European countries, and also destroyed the runw
 
KAZI IENDELEE MPAKA WANYOOSHE MIKONO
Your browser is not able to display this video.


⚡Guaranteed Destruction: Russian "Hurricane" sweeps away the defense of the Armed Forces of Ukraine

Combat work of the "UAV - MLRS" strike-reconnaissance contour near Izyum during the offensive from the Kharkiv region to the Donbass.

A reconnaissance drone reveals the positions of the Armed Forces of Ukraine, and the powerful Uragan multiple launch rocket system destroys them. The effective operation of this system ensures the advancement of the Russian army during the offensive in the Izyum direction.
 
Hahah NATO kwa kufanya mazoezi ndio wenyewe,wameanza kufanya mazoezi kabla Russia haijaivamia Ukraine mpk leo Ukraine inapewa Kichapo bado wanafanya mazoezi tu.
 
Battle field. KAZI KAZI TU
Your browser is not able to display this video.

⚡FSVNG servicemen in the Chechen Republic communicate with the enemy during the battle

“We will have mercy on you, we treat prisoners well”

“Raise your head! I'll blow your head off"
 
Unawachanganya wenzako wanaosema Russia imeivamia Ukraine kwa sababu ilikuwa na mpango wa kujiunga na NATO na hivyo ingehatarisha usalama wake.
Kama vita unaweza kupigana kwa kufyatua vitufe tu basi NATO inaweza kufyatua makombora kutoka Poland, Ujerumani, Lithunia na Alaska.
Huelewei kuhusu vita dogo, unafikiri ni kama movies ulizozoea.
 
[emoji635][emoji631][emoji298]Volodin stated that up to $500 billion worth of Western assets were blocked on the territory of the Russian Federation, which counterbalances the $300 billion of Russian reserves blocked in the West.

In the event of the confiscation of the property of Russian oligarchs in the West, Russia will begin to confiscate the property of Western businesses in Russia.
 

Kama russia wamekufa hao 20,000 tupe ya ukraine na Nato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…