Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We huna akili kumbe,sehemu ya nchi yoyote ikipiga Kura kujitenga,inatambuliwa kama nchi huru,refer S.sudan. Hayo majimbo ndo yameenda Urusi na hayatarudi tena Ukraine.
Hayatarudi kweli.Ni ngawira muhimu sana ile kwa Urusi kuteka roho ya Ukraine.Ukanda wa bahari alikokuwa akisafirishia ngano na vyuma ukishaingia mikononi mwa Urusi hata nyuklia atatumia usirudi tena mikononi mwa NATO.Na Ukraine haitaendelea kuwepo.
 
🇷🇺🇨🇳The export of Russian gas to China through the Power of Siberia gas pipeline has increased by almost 60% in January-April compared to the same period last year, Gazprom says.
Iwapo taifa dogo kama Iran na Marekani ameshindwa ujanja kulizuia lisiuze mafuta yake itakuwaje kwa Urusi. Wale wamepeleka mafuta Venezuela kwa meli na wamefanikiwa itakuwa gesi ya Urusi ambayo iko kwenye mabomba kupitia nchi mbali mbali.Hadi utumia satelite ndio ujuwe kuwa yanatiririka au yamesimama.
 
Uwezi kuwapa watu uhuru kwa operation mbuzi sheria za kimataifa zipo.Nikama wewe uchukue shmba langu kwa nguvu au amini alivyotaka Mtukula na kuivamia Tz .Haijawahi kufanikiwa duniani

Sheria za kimataifa zinawork kwa nchi maskini kwa nchi yenye nguvu hazina nguvu. Ni marangapi US amevunja sheria?? ni hatua zipi zilichukuliwa??. Huo ukanda wote utabebwa na hakuna watakachofanya kwanza wameanza kupiga kura kujitoa na Ukraine una hio habari dada
 
Hiyo ni safi sana.Yaani silaha nzito wanazozisifia Marekani na UK ambazo ni kodi za walalahoi wao zinaishia kuwa majivu kabla hazijafika mikononi mwa Ukraine.Uwanja wa Donetsk haufai tena.
 
Hii Post ya kushushia maji kabisa [emoji23]
 
Kwa akili yako ndogo juu ya mambo ya kivita ndo unaona kama haiwezekani NATO kurusha makombora kutoka poland hadi Russia au Russia kurusha makombora hadi UK. Ila wenye uelewa na mambo ya vita hasa kwa ulimwengu wasasa haoni kama haiwezekani Russia kurusha kombora hadi UK na kinyume chake.

Halafu hiki kinachoendelea Ukraine ukiita ni vita nikuendelea kuonesha jinsi gani ulivyo mweupe juu ya mambo ya haya, hakuna vita inayopigwana kilele mama vile kwa kutoa msaada wa chakula na dawa kwa adui unayepigana nae.

Hii ni operation tu, full scale war ya kisasa hasa kwa nchi za ulaya siyo hata ya kuombea itokee maana madhara yake yatakukuta hadi huko kwenu Uvinza kigoma.
 
Alishindwa taarifa umezipata wapi!!?
Kumaliza OP ndani ya muda mfupi huo muda mfupi upoje !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo uvinza kigoma wasipapige makombora nina demu wangu mmoja hapo ana viuno hatari
 
Duuuh
Safi sana hii[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo unakuja kujua Russia ilivyo na vichwa smart, yani wazungu wameshikwa pabaya mno na Russia kuliko walivyoishika wao.

Hapo anasubiri tu watikise makalio wazipige mnada reserves zake nayeye azipige mnada reserves zao.

EU bila USA anaiogopa mno Urusi na USA bila NATO anaigopa mno Urusi.

Urusi imekuja kutufunulia mambo mengi sana sisi wamakonde wa nchi za dunia ya tatu hadi leo tumejua kuwa zaidi ya 60% ya uchumi wa nchi za EU upo mikononi mwa Mrusi.

Hakika Urusi siyo Zimbabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…