Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii thread nimeifatilia mwanzo mwisho, lakini sijawahi comment na Mimi pia nimiongoni mwa watu ambao natamani MALCOM LUMUMBA na Chige nisome uchambuzi wao juu ya hii OPERATION. Ndugu yangu MALCOM LUMUMBA tunaomba kama utapata muda utachambulie juu ya hiki kinachoendelea bila kumsahau brother Chige tutafarijika sana kusoma uchambuzi wenu.
 
Hio iko kwa Wazungu wote
 
Hii chini post kutoka MoD Russia...

[emoji95] Russian MoD β€œHigh-precision strike carried out by Onyx missiles was launched at the Odessa region, targeting a military airfield. As a result, the Russian Armed Forces destroyed a hangar with weapons and ammunition received from the United States and European countries.”

Hivi na nyie huwa mnawaza ka mie hali za wananchi kutoka mataifa hayo zilivyo huku wakitizama kodi zao zikiteketezwa kizembe kwenye mgogoro ambao hao wachochea kuni wanaweza kukaa chini kuumaliza kwa mazungumzo? Badala ya hizo gharama wanazotumia kuharibika kua majivu ndani ya mda mfupi.
 
Pumba tupu
 
Alishindwa taarifa umezipata wapi!!?
Kumaliza OP ndani ya muda mfupi huo muda mfupi upoje !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ukikosa point, unabaki kubwabaja tu. Russia sio mama yako wala baba yako na wala warusi sio special race kwamba hawawezi kushindwa lolote. Walioko mstari we mbele wa mapambano niwadamu sio malaika kwa hiyo kushindwa kupo. Operation yoyote ya kijeshi ikichukua muda hata week moja ndani ya nchi watu bila kuvunja kabisa nguvu ya ulinzi wa adui yako lazima mtapoteza tu askari. Hata marekani aje kwetu asipoharibu miundombinu yote ya kijeshi lazima atatoka kamasi maana atajibiwa mapigo. Tatizo lako unawaona warusi kama malaika operation ina miezi miwili sasa mapigano yanaendelea. Unafikili askari wa urusi walioko mstari wa mbele wana hali gani, regiment ya vifaru inavyohenyeshwa na St jevelin unafikili mchezo. Kama kweli Russia wako vizuri kwenye medani wameshindwa nini kulinda vikosi vyao mpaka kupoteza askari miatano, meli yao ambayo ndio nembo ya taifa imezamishwaje na jeshi la wakulima. Punguza mapenzi kwa warusi kwani wao pia binadamu wanamokosa ambayo wanaweza kupay price kama beberu mkuu alivyopay price Vietnam
 
View attachment 2207227
Launch of Onyx high-precision missiles during a special operation of the Russian Armed Forces in Ukraine.
Angalia kombora linavyofuata amri hapo.Yaani utaona kama linapingana na mwendo wa kimaumbile.Lilipofika masafa fulani angani limekatisha mwelekeo ghafla kuelekea lilikokusudiwa.Hilo ilikuwa haiwezekani kupata target wakati liko ardhini.Kule kichwani lina viroketi vidogo vinavyojiwasha kimahesabu ili kutafuta mwelekeo. Mrusi ndio maana amempa chumba USA katika international space station.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ aisee kweli usishindane na mcheza chess, lazima akupige kidole tu.
 
Ukraine kakopa. Atalipa
 

Mrussi anawapa maisha afu wanavimba shenzi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…