Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

If, of course, the position itself remains....

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa Africa kuna Algeria, Nigeria na Mozambique. Ngoja tuone wanatakaje. Watakuja kunyang'anya ua itakuwaje. Maana tayari huko Mozambique chokochoko za ugaidi zinaendelea.

Wanaanzisha vita ili wachukue bure.
Wanaanzisha migogoro af wanakuja wanajifanya wanaleta amani... ilhali wanaiba, na kabla ya kuondoka wanampachika wanaemtaka kukamilisha mambo yao. Waende na huko Ukraine basi [emoji23]

Nyongeza kidogo, Pale Equatorial Guinea ambayo ni nchi ya hovyo sana barani Afrika, Teodoro Obiang anatawala kimabavu mno. Na ndie the second-longest consecutively serving current non-royal national leader in the world baada ya Cameroon's Paul Biya. Piga hesab toka 1979 hadi leo, ni miaka 43 ka sikosei.

Wananchi wa wa EG wana maisha ya hovyo ajab, ila familia ya bwana mkubwa wanafanya anasa kupindukia na wametawanya mali zao kwenye mataifa hayo hasa France na US...

Mwanae ambae hivi sasa ni makamu wake na yasemekana ana mpango wa kumrithisha URAISI huko Instagram anajulikana kama "Insta Play boy"...

EG wana utajiri wa mafuta na ukifatilia ni nani anayechimba hayo mafuta utakuta ni "United State" kupitia ExxonMobil, Marathon Oil, Kosmos Energy na Noble Energy that's why huezi sikia hiyo nchi ikitajwa tajwa hovyo coz teari iko ndani ya Interest za Mmarekani...

Sasa wajiuliza if truly US ni muumini wa democracy wanayoidai kuitetea kwa nguvu zote hapo Equatorial Guinea wanakovuna mafuta kuna nini?

Utarudi pale pale, kwao the real meaning of Democracy ni kutii matakwa and not otherwise...

Nawasilisha kwa jina la United "Shit" of Ameee... Kwa hisani ya No Action Talk Only.
 
Tatizo wengi wa watetezi wa Ukraine wanatumia bendera ya mashoga. Wasiotumia labda hawa washabiki wa NATO kutoka Tanzania maeneo ya Buza

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Wanaotumia nao wanakuwa mafala tu. Katika kila tatizo kuna kundi huwa linaibuka kama fursa. Kama yale ambayo yaliibuka kumtetea Tundulisu, kwani TL ni shoga?. Hata humu kuna yanayojifanya yanapinga ila ndo yale yale.

Unajua Usione tunapinga kulipuliwa Ukraine, kuna watanzania wana ndugu na marafiki huko, kuna kusoma huko na kuacha uzao huko. Sasa ndo kila anayetakia mema Ukraine ahusishwe na ushoga?
 
Kuna habari huko nimeiona inasema ikiwa odessa nayo itapitiwa na RUSSIA jamaa wakapigwa block uwanda huo wabahari itabidi mapato yooote ya nafaka na vitu vyengine yatakua ya RUSSIA hvyo UKRAINE itabakia kama MOROGORO
RUSSIA malengo yake yanaenda vyema sana asee sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu Kuviamini vyombo vya habari vya kule WEST inatakiwa kwnza ujitoe akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue ni mafuta na gas. Hakuna kingine. Ukraine walitakiwa kuwa nutral na wangekuka mema ya nchi kilaini. Sasa kihere here chao ndicho kimewaponza. Ukraine itabaki landlocked.
Au pengine ni mpango wa kutaka kuiingiza Ukraine ndani ya NATO kisheria?
Kwamba kama Ukraine ikiungana na mwanachama wa NATO Poland ,basi maana yake automatic Ukraine itakua mwanachama wa NATO kupitia muungano wa nchi mbili hizo?
 
Tunayaheshimu mawazo yako MKUU ila kutokuona mafanikio ya RUSSIA kwenye hii OP nikujitoa ufahamu kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁😂😂🤣🤣🤣Dah...you have made me a day....huyu jamaa ni Mrusi halisi...you remember aliwahi kuwa Rais wa Russia na walikuwa wanabadilishana na Putin..
 
Hapa kidogo ndiyo nimepata mwanga, nilikuwa najiuliza hivi ni kitu gani kinachowafanya NATO na USA kung'ang'ania Ukraine sasa nimepata majibu
 
Yaani hii vita US anafaidika nayo kwa kuuza silaha na RUSSIA anafaidika kwa kuuza nishati
Hawa wakubwa hawa ila basi acha waendelee kufa UKRAINE maana hawana adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…