ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Zele ni kibaraka tu pale vita ni NATO na Russia....Embu tuachane na ushoga.
Zele sidhani kama yeye ndo mastarmind, hii kwa sasa ni vita ya NATO na URUSI.
Huyu General mamluki wa Canada ameshapelekwa Moscow akapakwe mafuta na Sergei Shoigu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]View attachment 2209609
Hao jamaa warembo sana.Mwaka 2018 niliingia Transnitria nikaa siku 2 Mwonekano wao ni slava yaan wana Ngozi nyeupe Sana Na wana nywele Nyeusi si kama za Warusi zina u uweupe fulani , miaka hiyo kulikuwa kuna zoezi linaendelea kuhamasisha kufunguka zaidi kimataifa na kujipanua zaidi kidunia.
Zoezi lilihusishwa Pia kupata passport za mataifa ya Romania, Moldova na Ukraine, nimeona Putin anaanza kushinikiza wakazi wa kule kuungana Naye kimtizamo kuweza kuwawapiga Moldova na Ukraine Jambo ambalo ni risk kwa Urusi maana wengi wana uraia pacha na passport za Moldova na Ukraine maana ndo walichagua Sana kwa asilimia kubwa 88 % walijiunga Moldova na Ukraine..
Huyu Mzee Putin naona ameanza sasa kapoteza meuelekeo
Russia ni wazuri lakini ile domination ya mtu mmoja over everything ndiyo inawadhoofisha. Hata Marekani leo hii, wakiongozwa kwa style ya Russia, ni lazima watayumba, watadhoofu na kubaki historia.
Cha kujifunza ni kwamba, ni muhimu sana kuwa na strong Institutions kuliko kuacha mtu mmoja ndiye awe kila kutu katika nchi. Wale wa Katiba Mpya bongo mtapata point hapa.
View attachment 2209569
Britanicca 03:05:2022—10:32
😂 karibu tule maembe basiHuyu baba ni muongo sijapata kuona, last month alisema urusi imeishiwa bidhaa ndani ya supermarkets zao, na alidai yeye yupo Moscow anaona hali halisi. Kumbe ni "kanyaboya" yupo hapa hapa mwembe mdogo kigamboni.
Dah,unanitamanisha nije huko aisee...Ni rahis kama unaishi huku ila si vema kuoa warusi ni wapenda ngono sana ndo maana wengi walilia kufungwa na Instagram na pornhub Lakin siyo Uber wala benk [emoji23]
Ila ukiwa huku interaction ni kubwa kupata mtu wa mataifa unayotaka, japo nimeona m Swedish ila napenda kukushauri Oa bongo
Britanicca
Kivipiwewe hautaki vita
Kiburi cha mbwia unga Zelensky ndicho kimemualika huyo Russia....Au unasemaje mwenzetu....yeye Zelensky amekazana kubwia unga tu na ambao unamfanya aamini kuwa askari wake wanashinda vita kumbe ni kinyume chake....a very stupid president....Askari wake wanakufa kwa maelfu lakini yeye anadhani wanashinda vita... hivi sasa askari wake huko Eastern Ukraine wameshazungukwa na Warusi na hawana pa kutokea...NATO haina ubavu wa kupambana na Russia...USA nayo mpaka awe na washirtika ndipo apambane na Russia...Uingereza ni makelele tu yaliyobaki baada ya kupoteza makoloni yote anadhani kwa makelele yake yatamfanya atambulike umuhimu wake duniani....Russia inaweza kuifuta Uingereza kwa dakika moja tu kwa makombora mawili au matatu...stupid west...Amealikwa na nani Ukraine.
Yes inaitwa special provinceMji wao Mkuu unaitwa traspol hao walijitenga tokea 92 sema bado hawajatambuliwa kimataifa
Huyu General mamluki wa Canada ameshapelekwa Moscow akapakwe mafuta na Sergei Shoigu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]View attachment 2209609
Mtu mweupe sio sawa na mwarabu they're so clean alafu hawana habari za u-dominant wa mwanaume kama Africa na waarabu walivyo.Kupata mke huko ni rahisi?
Atalazimishwa tu. Hamna namna...Hii vita ni ngumu kuisha maana Zele amekataa kabisa kutoa kipande chochote kwenye ardhi yake
HahahaMtu mweupe sio sawa na mwarabu they're so clean alafu hawana habari za u-dominant wa mwanaume kama Africa na waarabu walivyo.
Vyombo utaosha naye ataosha, kupika utapika naye atapika na vyote ambavyo wewe unaona huwezi kufanya ukiwa na mke utavifanya.
Hadi hapa umeshakosa mke kaoe kwa maarabu
Mtu mweupe sio sawa na mwarabu they're so clean alafu hawana habari za u-dominant wa mwanaume kama Africa na waarabu walivyo.
Vyombo utaosha naye ataosha, kupika utapika naye atapika na vyote ambavyo wewe unaona huwezi kufanya ukiwa na mke utavifanya.
Hadi hapa umeshakosa mke kaoe kwa maarabu