Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Amana zipi mzee. Hapa tunaongelea issue ya Security. Ni NATO pamoja na Russia.

Nakusihi utafute hii uisome

Founding Act
on Mutual Relations, Cooperation and Security between NATO and the Russian Federation signed in Paris, France
27 May. 1997
Summary ya Founding Act ni hii hapa. full ducument nimeiweka kwenye attachment. Onyesha pale ambapo inazuia kuwa NATO isipanuke. Kati ya mambo makubwa yaliyomo ni pamoja na hili:


kwamba hakuna uadui baina yao, kwa hiyo Putin kulilia uslama wakti ni kuchukulia kuwa makubaliano hayo hayapo. Lingine ni hili


Kwamba upande mmoja usiingilie upande mwingine kwenye maamuzi yake. Kwa hiyo NATO ikitaka kuongeza wanachama Urusi haiwezi kuiingilia, ni kama ambavyo Urusi ilivyoamua kuishambulia Ukraine, NATO hawakuingilia, ila wanabaki na rights zao za kuamua kuisaidia Ukraine.

NATO-Russia Founding Act​


Fact sheet released by the White House, Office of the Press Secretary, Washington, DC, May 15, 1997



On May 14, NATO Secretary General Solana and Russian Foreign Minister Primakov announced agreement on the text of the "Founding Act on Mutual Relations, Cooperation and Security between NATO and the Russian Federation," creating a new relationship between the Alliance and Russia. The Act has been referred to NATO countries and PresidentYeltsin for approval.

The Clinton Administration has made building a more stable, secure, and undivided Europe one of its key foreign policy priorities. At the Helsinki summit in March, Presidents Clinton and Yeltsin agreed on the importance of crafting a cooperative relationship between NATO and Russia. The Act provides the basis for an enduring and robust partnership between the Alliance and Russia, one that can make an important contribution to Europe's security architecture in the 21st century.

Under the terms of the Act, NATO and Russia will consult and coordinate regularly and, where possible and appropriate, act jointly--as they are doing in Bosnia now. The Act has five principal sections:

The preamble notes that NATO and Russia do not consider one another adversaries and cites the sweeping transformations in NATO and Russia that make possible this new relationship.

Section I lays out the principles governing the relationship, e.g., restatement of the norms of international conduct in the UN Charter and OSCE Helsinki Final Act and explicit commitments, such as respecting the sovereignty, independence and territorial integrity of states and settling disputes peacefully.

Section II creates a new forum called the NATO-Russia Permanent Joint Council for NATO-Russia meetings and describes how this Council will function.

Section III describes a range of issues that NATO and Russia will discuss, including conflict prevention, peacekeeping, prevention of the proliferation of weapons of mass destruction and exchange of information on security policies and defense forces.

Section IV describes the military dimensions of the relationship. Among the key provisions:

Reiteration by NATO of aspects of its current defense policy and strategy, including the December 1996 statement that it has "no intention, no plan and no reason" to deploy nuclear weapons on the territory of new members including nuclear weapons storage sites.

Reference to NATO's March 14, 1997 statement that in the current and foreseeable security environment, NATO will carry out its collective defense and other missions through interoperability, integration and capability for reinforcement rather than by additional permanent stationing of substantial combat forces on the territory of new members.

Recognition that NATO will require adequate infrastructure on new members' territories commensurate with NATO's collective defense and other missions.

Commitment by NATO and Russia to work for prompt adaptation of the Conventional Armed Forces in Europe (CFE) Treaty to reflect the changed security environment since CFE was completed in 1990.

Section IV also provides mechanisms to foster closer military-to-military cooperation between NATO and Russian militaries, including by creating military liaison missions in respective NATO and Russian military headquarters.

NATO retains its full prerogatives. While Russia will work closely with NATO, it will not work within NATO. The Act makes clear that Russia has no veto over alliance decisions and NATO retains the right to act independently when it so chooses.

The Act has no impact on NATO enlargement. That process is proceeding on schedule; NATO leaders at the Madrid summit in July will extend invitations to the first countries to begin accession talks. Those countries admitted will have the full rights and responsibilities of Alliance membership, and the door to membership will remain open to all emerging European democracies.
 

Attachments

Records ziliandikwa na Nani? Na West si ndiyo?
 

Aisee! Nimecheka sana hii comment yako.
 
wewe za kwako zimeandikwa na nani ambaye si binadamu aliyehudhuria makubaliano hayo
Records zinaandikwa ninavyotaka Mimi...West nao wanaandika records wanavyotaka wao...That is why in regards to the defeat of Germany in WWII the West will swear according to their 'records' that they are the ones who destroyed Hitler and not the Russians or rather Soviet Union....But records by Russians reflect a different story...
 
haya ni mbaguzi ya kutupwa wanawabagua mpaka watoto waliokaa na Waafrika kama boateng anaitwa nyani
 
Vifaru kupigwa na zile British NLAW na American Javelin ni kwa kuwa zile anti tank missiles zina secondary explosion capabilities. Badala zikipiga kifaru zilipuke zenyewe kwanza zinapenya kwanza kisha fuse ya mlipuko inakuwa activated zikishaingia ndani. Hata uwe na explosive reactive armour blocks nazo hazisaidii.

Hiyo unayoita uchawi juu ya kifaru ni cage armour ambayo ipo kwa ajili ya kufanya missile ikipiga pale ilipukie nje hivyo armour ya kifaru izuie mlipuko. Hakuna uchawi wowote katika hilo ni idea ya ulinzi ambayo haifanyi kazi kwa modern anti tank missiles labda zingekuwa ni RPGs.
 
Nimekisoma sana. Kwa umakini mno hoja zako zimejaa uongo mwingi.
Unajua kwanini ilianzishwa OSCE!?

Na vilevile lengo malengo ya NATO yalikuwa matatu.
1. Kumzuia Ujerumani
2. Kumuingiza USA
3. Kutokukuingiza Russia

Halafu unaongea uongo kwa kusema Ukraine ndiyo ilikuwa na mitambo pekee ya Nuclear.
Kuna makampuni yafuatayo
-Atommash lipo Volgodonsk lilianzishwa 1970s
- Atomstroyexport lipo Moscow lilianzishwa 1973
-OKBM Afrikantov lipo Nizhny Novgorod nimeanzishwa 1945

- OKB Gidropress lipo Podolsk limeanzishwa 1946.
 
It is either a true a record or a propaganda. A true record is written by all attending parties while a propaganda is written by one party only. If what I have was agreed by both Yelstin and Clinton, then anything coming from Moscow different from my record is just propaganda!
 
Duh...kwa kiwango kikubwa huu ni upotoshaji...nilipoona umeandika maroketi hayo yapo Tajistan baadala ya Kazhastan nimefadhaika aisee😀😀
 
Wanasema yupo mtu mshauriwake mkuu ikitokea huyo jamaa akachukuwa ubitozo, wanasema ni mbaya marambili kuliko Putin.
 
Unafananisha 2000_ na 2008 man? Mi mwenyewe uso wangu umebadilika Sana mwaka 2000 nilikua na 30 leo nna 50+. Na Bado nabadilika.
Kwa kila mtu ukuaji hubadili a uso na muonekano vile muda uendavyo
Kwahiyo mwaka 2000 ulikuwa na sura imechoka kisha 2008 ikarudi ujana? Unajua kwanini nimesisitiza alikuwa na lifestyle nzuri tiyari, achana na picha za Diamond au Joti na Mpoki wakiwa wamechoka hawana hela na sasa wakiwa na hela hapo lazima warudi kwenye ujana. Putin kawa naibu meya wa Moscow, mkuu wa KGB, Waziri Mkuu kisha Urais akaukaimu kwenye mwaka mpya 2000. Kabla ya 2000 alishakuwa na maisha mazuri ya kuwa na sura constant.

Picha ya kwanza mwaka 2007 akiwa na George Bush. Picha ya pili akiwa na waziri wa ulinzi Sergei Shoigu na mkuu wa jeshi la maji Admiral Nikolai Yevmenov hapo ilikuwa sherehe za Navy Day kama sikosei mwaka jana
 
Unasoma ukiwa na mindest fulani ndiyo maana unadhani kuwa asiyeripoti mindset yako ni "mwongo"; mimi nimesema Ukraine ilikuwa ni makombora mengi ya Nyuklia, sikusema ndiyo iliyokuwa nayo pekee. In fact ilikuwa ya tatu kwa wingi wa makombora ya Nyklia. Ulishasoma hiyo Budapest Agreement?

Unajua jamaa hawa ni nani na wanasaini kitu gani

 
[emoji3][emoji3]
 
Duh...kwa kiwango kikubwa huu ni upotoshaji...nilipoona umeandika maroketi hayo yapo Tajistan baadala ya Kazhastan nimefadhaika aisee😀😀
Kukosea jina siyo uwongo iwapo ni kweli kuwa nchi hiyo ilirithi madeck ya maroket na leo hii inabidi urusi iwalipe ili kuyatumia. Majina ya nchi hizo za Tajikistani, Khazkistani, Krygistani uzbekistani na mengine kama hayo yanachanganya kidogo kwa watu kama mimi lakini hayabadili ukweli kuwa kila nchi ilirithi mali na madeni yaliyokuwa kwenye ardhi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…