Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umeongea ushuzi wa bata
 
Mbona unapenda kujiaibisha hivi? Wewe umeletwa na shetani kwa kusudi lisilo maalum? Acha ujinga pario wewe
Sikiliza kitambi wewe.
Mimi nimeletwa na Mungu kabisa lakini huwezi kufananisha kazi zangu na kazi za Nyerere,Mandela Nkurumah na waafrika wengine.

Mungu kamjaalia Putin mambo makubwa ambayo Mimi Sina na wala Sina kitu Cha maana ninachomzidi Putin.

Kama hupendi Mimi hayanihusu.
 
Naunga hoja mkono,USA Ni Taifa ovu kabisa duniani.
 
Halafu huyo papa hatambuliki kama supreme leader kule Orthodox Catholic Church au kifupi eastern church.

Wao Wana wakwao.
 

Mods watutolee bangi hzi,
 
Anamuogopa Nani? Naona anataka kuwa politically correct muda wote wakati yeye si mwanasiaasa mwambieni achague upande.
 
Urusi kwa sasa malengo yake yamehamia huko Ukraine mashariki (Putin alibadili gia angani), ila hata huko akikaa vibaya ataangukia pua.
dudus Frank Wanjiru
Mwamaleki
Bwana Utam
Paula Paul
wa kupuliza
T14 Armata
STRUGGLE MAN
lee van cliff
Unajua Proved unanivunja moyo sana,mie hua nakuona muelewa sana,lkn kumbe hauko hivyo.
Hivi kweli hujui kubadili mbinu vitani ni sehemu ya vita?

Unajua sio dhambi?

Ningeandika mengi ila nachoka sana.
Kwa kifupi ni kwamba Ukraine ilishashindwa vita siku nyingi .
Sasa hivi Putin anapigana nanNato
 
Nakubaliana na wewe Ukraine Alisha malizwa zamanii yeye kabaki kama uwanja tu wanautumia NATO na USA
 

Mkuu nakuheshimu sana ila huku unakoelekea unapoteza kila kitu. Inamaana wewe huoni nini kinaendelea ukraine mpaka sasa umeshindwa juaa???.

Umeshapiga safari nini??
 
Kwa hiyo Mabeyo wetu hapa TZ unaweza ukamuona mitaani Dar au Dodoma...
Duh..
 
UKRAINE wanaupiga mwingi[emoji4][emoji4][emoji4][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…