Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine huwabomoa kimya kimya, kati ya matukio makubwa ni kuwa juzi wamezamisha meli nyingine mbili huko Black sea na kuua General mmoja. Habari ndiyo hiyo mpaka Putin anapata kiwewe.

View attachment 2210341
Duh....Bado muda siyo mrefu huyo mbwia unga Zele atakuwa historia...habari zilizopo Russia imeanza kuelekeza makombora yake kwa decision makers wa Ukraine...tusubiri kidogo tutaona au kusikia mengi
 
According to reports Kiev's missile defence systems (which now are basically nonexistent as they have been almost entirely destroyed) have been able to intercept 7 out of 900 missiles launched by the Russian Aerospace Forces on "Ukrainian" territory. NATO weapons deliveries are just a charade, they won't thwart Russian victory.
 
Rudi darasani br, Rudi kwenye vyanzo mkuu.
 
Huyo jamaa Gerasmov aliponea chupuchupu, hakuuwawa, ikabidi akimbie mara moja kurudi Moscow. Ukraine ilisema aikuwa wounded, haikusema kauwawa. Aliyeuwawa ni Maj. Gen. Andrei Simonov. Mtafute

View attachment 2210242
Wounded mbona Ni ya Jana tu man. Ingia Google muulizie gerasmov. Watakwambia kwa mujibu wa souce za kyv mshua kadedi. Kumbe yupo anadunda
 
Huyu baba ni muongo sijapata kuona, last month alisema urusi imeishiwa bidhaa ndani ya supermarkets zao, na alidai yeye yupo Moscow anaona hali halisi. Kumbe ni "kanyaboya" yupo hapa hapa mwembe mdogo kigamboni.
Hahahaha 😂🤣😂🤣
Mkuu tuwekee ukweli wako basi tufanye comparison
 
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
We jamaa habari zako za kitapeli sijui unazitoa wapi na unapata faida gani mtu mzima kuwa unaongea mambo ya uongo uongo?
hata hujasoma umekimbilia kukomenti tu, hapa sio Facebook. Ikitajwa Russia kuna watu wanakasirika kama sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…