China muda wa kumtuliza Taiwan ndio huu. Wakati ambao US and West wanahangaika na urusi na yeye anawaongezea kibarua. Wamlinde Taiwan au wamlimde Zelensky!Taiwan anatakiwa kutia zake maji.
[emoji630]Beijing has instructed government agencies to conduct "stress testing" using simulations in the event of sanctions similar to those imposed on Russia, The Guardian reports, citing sources.
😂😂😂😂😀😃😃Hivi wale waganga waliokua wanaroga Putin waliishia wapi??[emoji3][emoji3]
wadandiaji wa matukio ndio hawa sasaAcha ujinga wewe wala huna hata huruma na kiongozi aliyekuwa anaipigania africa ijikwamue.walipeleka mpaka aircraft carrier ili wampige vizuri na ndege zao alafu unakuja kutuambia kuwa ni wa libya wenyewe.
habari iliyotolewa ni kwambajamaa alijeruhiwa mguu akawachukuliwa kurudi rusia kwa helcopter ya kijeshi kwa matibabu, na ikasema kabisa majeraha hayakuwa makubwa.View attachment 2211762View attachment 2211763
Fake: Valery Gerasimov, Chief of the General Staff of the RF Armed Forces, was wounded on the territory of Ukraine. Arsen Avakov, ex-Minister of the Ministry of Internal Affairs of Ukraine, reported about his injury.
Truth: Valery Gerasimov, First Deputy Minister of Defense of the Russian Federation, personally attended a conference call at the Russian National Defense Control Center in Moscow on May 4. The photos and broadcast from the meeting show that everything is in order with him.
A few days ago, information was spread in the Ukrainian media that Gerasimov secretly came to the front, where he was wounded.
This is not the first time that Ukrainian sources have been manipulating information about the health of Russian military leaders: previously, fakes were actively circulated that Russian Defense Minister Shoigu was in the hospital with a massive heart attack.
Wayahudi wakubwa wa Dunia?Acha kujifanya mjuaji wewe hilter kilicho mcosti alikosana na wayaudi wakubwa wa dunia ila huyu Putin kuna wayaudi wapowengi ndio wamemuweka na wanaisapoti Russia kwa technology ili kubalance power ya dunia
Hahahahabari iliyotolewa ni kwambajamaa alijeruhiwa mguu akawachukuliwa kurudi rusia kwa helcopter ya kijeshi kwa matibabu, na ikasema kabisa majeraha hayakuwa makubwa.
kukanusha habari hii kwa umakini jamaa anatakiwa kutuonyesha miguu yake.
sawa?
bosi, zizungumzii cage. that is another rusian military failure story. nazungumzia mbao literally.Vifaru kupigwa na zile British NLAW na American Javelin ni kwa kuwa zile anti tank missiles zina secondary explosion capabilities. Badala zikipiga kifaru zilipuke zenyewe kwanza zinapenya kwanza kisha fuse ya mlipuko inakuwa activated zikishaingia ndani. Hata uwe na explosive reactive armour blocks nazo hazisaidii.
Hiyo unayoita uchawi juu ya kifaru ni cage armour ambayo ipo kwa ajili ya kufanya missile ikipiga pale ilipukie nje hivyo armour ya kifaru izuie mlipuko. Hakuna uchawi wowote katika hilo ni idea ya ulinzi ambayo haifanyi kazi kwa modern anti tank missiles labda zingekuwa ni RPGs.
Umemaliza kufoka,basi naomba ufunge Novena ile ya mateso makali ya Bwana Yesu Kristo ili uombee Dunia na pia ujiombee mwenyewe uweze kupunguza hasira na kufokea watu usiowafahamu,ni nzuri kwa afya yako ya kimwili na roho [emoji4]Wakatoliki gani wa siku hizi mnashabiki Vita kuliko amani hovyo kabisa.Papa wenu yupo busy kutafuta amani wewe upo busy kufurahia Vita[emoji35]
#NENDA KAFUNGE NOVENA KUOMBEA AMANI DUNIANI KOTE VITA ZIKOME NA SIO KUSHABIKIA VITA[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni swala la muda tu,binafsi kipindi kile nimeona Russia wamesogea karibu na Kyiv nikajua Ukraine ndiyo basi tena,nilipokuja kuona wamekimbia wenyewe tena ndiyo niliamini hapa hii Vita kuna mtu mzima anakwenda kudharirika.Anguko la Mzee Putin litakuwa baya sana na la aibu.
Mwamaleki Root
Nyamizi
T14 Armata
Coco reborn
dudus
Frank Wanjiru
Sexer
Akitangaza Vita kamili Basi yule comedian ajiandae kupokea mizinga na kushuhudia majengo yakiporomoka ktk mji wa kievRussia Ana end a kushinda vita baada ya may 9 mark my words we are going to declare total war in ukraine
Hata Marekani amepiga marufuku uagizaji wa mafuta ya Urusi lakini bado ana yanunua, marufuku iko kwenye makatatasi tu.Imagine kichwa kimoja chini ya jangwa la sahara kimewaza tofauti against leaders of EU halafu kiwe sahihi.
Ulaya wakiwa wajinga yeye atakuwa mtu mwenye upeo mkubwa sana katika masuala ya diplomasia atastahili kuitwa Geneus. Ila Ulaya wasipokuwa wajinga atakuwa kilaza taburaza.
ebo, kumba na mijadala ya heshima unaiweza?Huna hoja!