Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Safi saana dunia ilikuwa imezubaa saana kama huyu kilaza wetu Samiaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bosi, zizungumzii cage. that is another rusian military failure story. nazungumzia mbao literally.
Hizo mbao idea ni ileile. Na mara nyingi ziliwekwa kwenye magari hasa ya mizigo upande wa madereva na mbele. Gari ukiliongezea mavyuma unapunguza kutembea na hayo magogo walikuwa wanayaweka madereva wenyewe sio order kutoka juu. Zile ni desperate attempts
 
Muda si mrefu umesikika milipuko ya mfululizo huku Russia eneo la Kursk

Hivyo kupelekea kuungua Kwa store nyingine ya zana za kivita za Urusi ,

Inasemekana wanajeshi wa jeshi linalosaidia Upande wa UKRAINE wakiwa wamevalia nguo zisizo za Jeshi la Ukriane wametelekeza mashambulizi hayo!

Camera za cctv baadae zilionesha tulio lilivyoanza halafu na watekelezaji Upande walipo!!!

Your browser is not able to display this video.


Britanicca
 
Aiseee endelea kutupa mambo maana warusi wa Tandale walikuwa wanatupiga Kamba akiwepo Yule wa Mbutu
 
Matako!!
 
Hata mapunk walisema hivi hivi wakati wa mgogoro wake na Trump.

Kuna wengine walisema yupo kwemye coma etc lakini bado yupo anakagua makombora yake kama kawa.

Hivyo hivyo propaganda dhidi ya Putin zitakuwa nyingi sana
 
Pro NATO hawana tofauti na Hashim rungwe kwenye uchaguz wa tanzania [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…