Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huya anania ya kutufungia huu uzi wetu wala hana kingine.uwezi ukamuongelea vibaya kiongozi wa nchi unayoishi.nitashangaa sana kama hatopigwa ban jamii forrum maana hii sio sawa kabisa
Binafsi huwa nashangaa kwamba Ndugu zetu wa Aina hii huwa wanapata wapi ujasiri wa kumkashifu, kumkejeli, kumdhalilisha na kumtukana kiongozi wetu mkuu wa nchi?!?! Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, mkuu wa dola, kiongozi mkuu wa serikali na Commander in Chief of our armed forces...
Sijui bwana lakini ni hatari na siyo heshima hata kidogo kumkashifu Rais wetu ambaye ni kioo wa taifa letu..

Anyway tuendelee na mjadala wetu wa Russia-Ukraine crisis...
 
Hao ujue ni Wamarekani,sio Ukranians.We know that US forces are already in Ukraine.The Empire of lies must stop lying to the World.Hapo ujue wanatafuta sympathy ya Wamarekani for their stupid, imbecile and lunatic actions
Huwa nashangaa mtu mmoja yupo Chato ndani ndani kujifanya anaijua Marekani zaidi.
 
Sijui
 
hayo matukio nahisi Urusi anajishambulia ili kupata majority mercy ya warusi , sababu hao watu wanapitia wap na wanarudije Ukraine ?
 
The President of Belarus, Alexander Lukashenko, is one of Vladimir Putin's closest allies. He has long given his backing to Russia's invasion, allowing troops to advance from his country's border when it began.

But he has said he hadn't expected the operation to "drag on this way".

Pro Russia tunamaliza Mwezi 5 Bado phase 2 itakuwa pale pale
 
habari iliyotolewa ni kwambajamaa alijeruhiwa mguu akawachukuliwa kurudi rusia kwa helcopter ya kijeshi kwa matibabu, na ikasema kabisa majeraha hayakuwa makubwa.

kukanusha habari hii kwa umakini jamaa anatakiwa kutuonyesha miguu yake.

sawa?
Mkionyeshwa mguu mta taka aonyeshe na tako, habari unachakachua hata wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…