Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiv unajua jews wako wengi urusi tena waliomzunguka Putin uongozin ni jews. Ni kama iran vile
 
Kweli kabisa, taifa la Mungu Yehova libarikiwe.
 
vipi ushawahi kununua bangi kwenye hiyo mitaa
Maadili hayaniruhusu socially & religiously.
Ila naifahamu kwa harufu, kwa macho nimeiona siku moja tu kwa Askari Polisi mmoja nilikuwa ninaishi nae aliikamata wakati anatoka lindo. Badala ya kuipeleka kituoni yeye alikuja nayo nyumbani kwa sababu watuhumiwa hakufanikiwa kuwakamata walikimbia.
 
Hata Mimi Nina wasiwasi huenda kukatokea shambulio la kigaidi toka kwa wa Ukraine kwa ufadhiri wa USA
Ni jambo gumu sana, na kama ikitokea hakika jua Ukraine inaenda kuwa majivu yote, yaani maghara yataisha mabomu kwa tukio hilo ni sawa kumshika makalio putin alafu unajimwamba fai πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii itakua Vita kamili. Na hata nuclear huenda ikatumika.
 
Jiongopee soma hapa[emoji116][emoji116]



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…