Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin ni mtu mzuri sana, ni kiongozi wa kuigwa kwa dunia ya sasa, nyinyi hamumpendi kwa sababu mnasuport marekani ambao wao wanadamu za binaadamu wengi, wao ni chanzo cha migogoro yote duniani, sisi wenye akili tunawapongeza sana kwa kufyeka magaidi
kaka heri usimwige mtu anayesababisha fujo la aina hiyo. Anatuma jeshi dhidi ya jirani mdogo na baada ya miezi zaidi ya miwili bado mafanikio?? Pamoja na kubomoa uchumi wa taifa?? Kiongozi wa kuigwa kweli???
 
Imani ni faraja kubwa. Penye imani kali hali halisi haidhuru. Hongera!
 
The Ukrainian Air Force is still active on the Eastern front - this Su-25 jet with interesting weaponry was captured flying over somewhere in the East recently.
Ni kweli hadi sasa Urusi imeshindwa kuangamiza jeshi la anga la Ukraine na utetezi wake wa anga. Hivyo hadi leo jeshi la anga la Urusi linaogopa kuingia kati katika mapigano kwenye ardhi. Wanarusha roketi kutoka umbali mkubwa, basi.
 
Putin anasemekana anahitaji kitu cha kutangaza kwa sherehe yake ya 9 Mei. Kiwanda cha Feleji cha Azov Steel inamsumbua. Baada ya miezi 2 bado hakufaulu kumaliza upinzani huko Mariupol.
(Binafsi ninashangaa, sikutegemea wanaendelea hadi leo)
Anataka kweli kutuma vijana wake kupigania kwenye vilindi chini ya kiwanda hicho??? Wafe ili apate kitu cha kujivunia?
Jamani.
Kwa nini asiwaache huko chini na kuridhika alikamata Mariupol asilimia 90 tu??
 
Hichi kiswahili mbona ni kama Roboti, wewe ni mbongo kweli mkuu?
Ni kama google translate, mkuu nihibitishie wewe ni mbongo.
 
Kama alivyowashindia Watanzania tarehe 17/03
 
Ndo Vizur hivyo,
Azov nationalist Watachagua wanaweka silaha chini au tuwazike humo humo na makombora[emoji16]
 
Aisee,
Hiki Kichapo cha leo kimetia fora[emoji26]
 
kaka heri usimwige mtu anayesababisha fujo la aina hiyo. Anatuma jeshi dhidi ya jirani mdogo na baada ya miezi zaidi ya miwili bado mafanikio?? Pamoja na kubomoa uchumi wa taifa?? Kiongozi wa kuigwa kweli???
Angetaka kuwa aggressive angewatia mabomu 5 tu ya saturn kisha shughuli ingeisha akiwa kaua 98% ya population. Hakushindwa hilo ila tu ametumia busara kuwa evacuate wananchi na kuwahamishia Russia kisha ndio analipua hilo eneo sababu mwanzo wanajeshi wa Ukraine walikuwa wanashikilia wananchi wenzao kama ngao kisha mrusi anashindwa kuwashambulia ila baada ya kuwahamishia raia ng'ambo tumeweza kuyafahamu mabomu ya hypersonic yana ufanisi gani😅😅😅 katika maangamizi.
 
Mbona kakimbia mapema wkt Vita haijaisha aisee? [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…