Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Swali lako zuri, sijuwi how much uko detailed kwenye hizi issue za nje...Okey mkuu, umekuja kiutofauti kabisa na umeonyesha uhalisia wa tatizo kuwa ni USA na si Ukraine na Ukraine si adui kwa Urusi bali nia ya USA ni kupigana na Urusi nje ya ardhi yake.
Swali: Kama upo sahihi( Na mm naamini USA anataka vita iendelee kwa sababu anachokifanya ni kusaidia vita iendelee) Je, unakubali kuwa urusi asipotangaza vita vya moja kwa moja na USA atakuwa ni mshirika wake katika kutafuta eneo la kupigana nje ya ardhi yake?
Kwamba USA na Urusi huenda hawana tofauti bali ni bullies tu wanaoangalia namna ya kugawana keki ya dunia kwa kuwaaminisha wanadunia wengine kuwa wao ni maadui?
Kama sivyo, ni kwann ampe USA jambo analotaka? Vita vya muda mrefu ndani ya ardhi ya Ukraine nchi ambayo si adui kwake?
Au na yeye ni dhaifu kwa kiwango cha USA kumzidi akili kwa kumbananisha kwenye sehemu ambayo hana ujanja ni lazima acheze ngoma USA anayoipiga ndani ya ardhi ya Ukraine?
Okey maelezo yako yako wazi na yanaeleweka sana, lakini kila unaponielewesha napata swali lingine:Swali lako zuri, sijuwi how much uko detailed kwenye hizi issue za nje...
Kama uko deep utakubaliana na mie kua Western Empires is Falling, tena wanadondoka kwa speed ya 5G.
Western wamepunic tena sana, na njia ya pekee ya kumdhibiti Russia katika kulinda Hegemony yao labda ni kwa kuingia Third World War wapigane Nukes kieleweke [emoji23]
Lile jaribio la wao kuiporomosha Russia kiuchumi hivo kivita lime'fail pakubwa mno.
Sio maneno yangu bali maneno ya wachambuzi wasioshikana upande wowote wanakueleza hivi kua "US na team yake walitegemea kuuvunja vunja uchumi wa Russia, hivo kuleta punic kwa wananchi... then kuzuke chaos washinikize kumuondoa Putin madarakani, then katika Transition ya Power waweze kueka kiongozi wanaemtaka kama walivyofanya kwa Yeltisn miaka hiyo"
Katika kitu ambacho hawakukitarajia ni hiyo counter attack waliyopewa na Russia, Russia imeweza kuresist Economical Shock na wataenda kua Strong zaidi ya walivyo.
Pia naweza kataa maneno yako kua Russia hakuwa weak kuingia kwenye mtego wao... Kwa wenye uelewa juu ya hili jambo na wanao litizama nje ya kile kilichopo Ukraine tunaamink kua Russia na team yake nyuma ya Pazia hapa na maana ya (China na India hasa hasa China) katumia bait aliyowekewa kuiteketeza hii Western Empires...
Hii ipo kama mvuvi aliyetega ndoano kuvua Nyangumi baharini ajabu akavutwa na huyo Nyangumi kwenye maji kupitia ndoano yake.
Ukitaka kuelewa hili na how...
Tizama uchumi wa US unavoporomoka huku wa China ukikua kwa Speed hasa ndani ya hii quarter ya kwanza.
Tizama Ushawishi wa US unavofifia duniani kote day hadi day...
Angalia sarafu ya dollar inavozidi shika speed kwenye mteremko...tena hapa nasikia Uko Iran na Indonesia wamekubaliana kufanya biashara zao kwa their national currency... na Hii trend inaonesha itaendelea kwenye mataifa mengi zaidi.
Mambo mengi mda mchache ila ndio nakwambia hivo jamaa angu Western is Falling no way... Na Western is being trapped kwenye mtego walioutengeneza wenyewe...
Unaweza rudi juu huko sikumbuki ni post ya ngapi nilitoa maoni yangu ya kwanini nahisi hii OP Russia nae azidi kuichelewesha.
ndugu una kweli dhana za kitoto vile?? Yale unayotaja ni silaha za nyuklia. Hujui kweli kwamba hatazitumia?? Maana anajua hana njia za kusimamisha majibu. Na pia hana nia ya kurithi ardhi inayojaa mnururisho hata kuwa hatari kwa maeneo ya Urusi ??Angetaka kuwa aggressive angewatia mabomu 5 tu ya saturn kisha shughuli ingeisha akiwa kaua 98% ya population. Hakushindwa hilo ila tu ametumia busara kuwa evacuate wananchi na kuwahamishia Russia kisha ndio analipua hilo eneo sababu mwanzo wanajeshi wa Ukraine walikuwa wanashikilia wananchi wenzao kama ngao kisha mrusi anashindwa kuwashambulia ila baada ya kuwahamishia raia ng'ambo tumeweza kuyafahamu mabomu ya hypersonic yana ufanisi ganiπ π π katika maangamizi.
Kaka siwezi kufurahia kama Warusi nchini Ukraine wanashambuliwa. Wanashambuliwa na jeshi la Putin. Hujajiuliza kwa nini miji ambayo ni Kirusi kiutamaduni na kilugha inajitetea kwa nguvu vile dhidi ya jeshi la Putin? Kwa nini maeneo hayo yote (isipokuwa labda Krim) yalipigia kura uhuru wa Ukraine, Zelensky kama rais na kutoshikamana na Putin??Mafanikio huwezi kuyaona humu jf kaka[emoji16], hasa ukiwa na ushabiki wa UNato, mnasema jirani mdogo ila mko taari kuona ni taifa linalotumikiwa na nchi za Nato kuidhuru Urusi, mlikua mnafurahi leo warusi wa Crimea kushambuliwa au warusi wanaishi nchini Ukraine kushambuliwa?? Ktk operations inayoendelea Urusi analinda usalama wake, Operations itaendeleaView attachment 2216247
Hiyo ya 'kata funua' hata Mimi kwa kweli nimechekaππππmkuu nimecheka Sana mkuu * kata funua*
Hakuna vita duniani haina hasara acha ushabiki wa kijinga na wakitandale wewe be a MANHii vita Mrusi inaifilisi USA ukitazama Kila ikichelewa Mrusi anazidi watia hasara. Mrusi hasara Hana zaidi ya wanajeshi wake tu. Silaha anazotumia zote zinalipwa na faida ya bei ya gas na oil sababu sa ivi mafuta na gas bei zipo juu.
Na unasema una mtoto Urusi aseee .... Jaribu kuficha upumbavu wako kidogo ....Hana uwo uwezo wewe hata yeye uchumi anapigika my son yuko anasoma Urusi wanakosa mkate sasa madukani mpaka mline up na hela uwezi kumtumia na kutoa bank ni kama 10,000 ya Tz tu kwa siku unaruhusiwa so what is the point ya yeye kupigana muda mrefu so rubbish
Kisanga kilianza pale Yule aliekua rais wa Ukraine kupinduliwa na mamluki wa Nato, Urusi kitu kile hakukubaliana nacho, tusisahau Urusi kivyovyote ktk history ya Ukraine anahusika pakubwa, tena yeye ndie alieijenga UkraineKaka siwezi kufurahia kama Warusi nchini Ukraine wanashambuliwa. Wanashambuliwa na jeshi la Putin. Hujajiuliza kwa nini miji ambayo ni Kirusi kiutamaduni na kilugha inajitetea kwa nguvu vile dhidi ya jeshi la Putin? Kwa nini maeneo hayo yote (isipokuwa labda Krim) yalipigia kura uhuru wa Ukraine, Zelensky kama rais na kutoshikamana na Putin??
Ukraine ina 1/4 raia ambao lugha ya kwanza ni Kirusi, tena idadi kubwa wanaojua lugha zote mbili. Ila wanaona ni Waukraine Warusi, si Wanarossiya.
SI wampe Ukraine.... Mambo yasiwe mengi . .
ππππ Unakili kweli Ndugu yangu?Hii vita Mrusi inaifilisi USA ukitazama Kila ikichelewa Mrusi anazidi watia hasara. Mrusi hasara Hana zaidi ya wanajeshi wake tu. Silaha anazotumia zote zinalipwa na faida ya bei ya gas na oil sababu sa ivi mafuta na gas bei zipo juu.
Ndugu yangu you are misinformed ...Ni kweli wapo Warusi ambao ni Waukraine na ambao wako upande wa Zelensky..lakini siyo wengi...eneo Hilo la majimbo mawili ya Donetsk na Luhansk ambalo ndilo la Warusi ndani ya Ukraine lilikuwa linanyanyaswa na wale Azov waliopiga kambi huko for almost eight years...Na tayari Zelensky alishaamua kuwa kuwa maeneo yaliyokuwa yanashikiliwa na 'wapigania uhuru' wa majimbo hayo Ni lazima 'yakombolewe' na kuwateketeza 'wapigania uhuru' hao na kuendeleza mapambano na 'kuikomboa' Crimea...lakini kabla ya mpango huo kutekelezwa Russia ikawawahi...Kaka siwezi kufurahia kama Warusi nchini Ukraine wanashambuliwa. Wanashambuliwa na jeshi la Putin. Hujajiuliza kwa nini miji ambayo ni Kirusi kiutamaduni na kilugha inajitetea kwa nguvu vile dhidi ya jeshi la Putin? Kwa nini maeneo hayo yote (isipokuwa labda Krim) yalipigia kura uhuru wa Ukraine, Zelensky kama rais na kutoshikamana na Putin??
Ukraine ina 1/4 raia ambao lugha ya kwanza ni Kirusi, tena idadi kubwa wanaojua lugha zote mbili. Ila wanaona ni Waukraine Warusi, si Wanarossiya.
Acha blaa blaaHalafu acha mambo hayo ya "hypersonic". Huelewi maana yake? Kama roketi inaitwa hypersonic, haina maana kwamba inaleta uharibifu mkubwa kuliko roketi ya subsonic. Bomu la 2 KT ni bomu la 2 KT, kama unaifikisha kwa hypersonic au kwa tolori. "Hypersonic" inahusu tu kasi ya chombo.
Kaka hujui kwamba rais wa Ukraine aliondolewa na bunge la Ukraine tarehe 22 Februari 2014 ?? Mamluki gani?? Wabunge 328 walipiga Ndiyo, hakuna aliyepinga kuondolewa kwa rais.Kisanga kilianza pale Yule aliekua rais wa Ukraine kupinduliwa na mamluki wa Nato, Urusi kitu kile hakukubaliana nacho, tusisahau Urusi kivyovyote ktk history ya Ukraine anahusika pakubwa, tena yeye ndie alieijenga Ukraine
Sikubaliani na lugha unayoitumia kwenye andiko lako la kuhoji akili ya mwenzako anapotoa au kuwasilisha hoja...unataka kutuaminisha kuwa kwa hoja yako wewe kwamba eti Russia imeingia Ukraine kuwalinda watu wanaoongea kirusi ndiyo kusema wewe una akili zaidi?! Russia imeingia Ukraine kwa sababu nyingi...mojawapo ni hiyo ya kuwalinda Warusi wa huko...lakini nyingine ni strategic kiulinzi kwa Russia....ππππ Unakili kweli Ndugu yangu?
Kifaru kimoja tu unavokiona ni Karibu na zaidi ya Billion 14 ya Tanzania na vingine ni Zaid hata mara 5.
Unaiona Ile Meli iliyozama?, Ni zaidi ya Billion 100 ya Tanzania...
Unaona yale makombora yote yanayotumika ni mamia ya mamilioni yanateketea Kila saa...
Zile Ndege zinazongushwa ni mamia ya Mabilioni ya fedha, Kila inarushwa kwenda Kufanya mashambulizi inatumia mamilioni ya Mafuta.
Mwaka 2014 jeshi la Tanzania lilitumia 20K kwa Kila Kuruta kwa Kila Siku ya Mungu, now fikiria mwaka 2022 Russia itatumia kiasi gani kwa Askari kamili?
Asilimia 40-60 ya gesi na Mafuta ya Urusi yanauzwa Ulaya ambayo inataka kuondokana na Utegemezi wake mwisho wa mwaka huu kwa zaidi ya 80%
India na China ndio watumiaji wengine wakubwa wa Fossil fuels lakini India anunua only less than 5% ya Mafuta ya Russia....
Please mkiwa mnatoa hoja muwege na some common senses, hakuna faida ya Kutumia pesa nyingi kupigana vita visivyo vya maana ukasema unapata Hasara ndogo uta recover...
Yaani una akili timamu Karne ya 21 unaenda kuvamia nchi unasema unaenda kuwalinda watu wanaongea Lugha Yako
Kwanza tunaibomoa alaf tutampaSI wampe Ukraine.... Mambo yasiwe mengi . .
1. Russia ni taifa kubwa kuliko Ukraine, kiuchumi, kijeshi hata na kiushawishi.. so Russia by default anauwezo wa kuishambulia Ukraine kuliko yeye kushambuliwa.Mimi sina knowledge ya masuala ya kivita. Ila nimepata elimu kubwa sana kwa kupitia mabandiko ya wajuvi wa haya mambo humu ndani.
Kuhusu hii vita kwa muono wangu naona yanayozungumzwa humu is like Russia nao wanahali ngumu. Ila kila nikisikiliza vyombo vya habari km Aljazeera inaonesh Uclain wanapata shida sana. Vifaa vita vinakuwa destroyed massively. Habari ya leo naona wanasema pamoja na kudestroy alot of missels wame destroy warships 2 za uclain na wamerusha makombora mandari huko Odesa.
View attachment 2216901
Ndugu kama huelewi unachonakili heri uombe msaada. Tabia ianyotafutwa katika roketi hizo ni uwezo wa kubadilisha njia (cruise missile) kwa kasi juu ya mach 5. Hii inaleta ugumu kwa mifumo ya kuzuia roketi kuzitambua mapema na kuziharibu.
[emoji23][emoji23] Hatari...Okey maelezo yako yako wazi na yanaeleweka sana, lakini kila unaponielewesha napata swali lingine:
Kama USA na West wameingia choo cha kike na mtego wao unawatafuna wenyewe, ni kwanini hawaachi kufanya wanachokifanya? Kwann wanaendelea kutoa msaada kwa Ukraine? Kwann hawasitishi vikwazo vyote walivyompa Urusi na kujipanga upya ili kusitisha madhara yanayowarudia? Kwa kawaida ukimpiga mtu na fimbo ya mkono halafu mkono wako ndio ukavunjika badala ya mkono wake, huwezi endelea kuupiga ule mkono. Utaacha kupiga na utajiuliza ni nn kimetokea?[emoji15]
Nikiri, sipo deep na haya masuala, natumia tu logic ya binadamu ambaye ana avarge IQ.