Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwahio unataka kuniambia kulikua na nchi inayoitwa Ukraine?? Kwakweli angalia tena history vizuri kaka
Ndiyo, ninataka kukuambia hiyo.
Kuna historia ndefu iliyoanza zaidi ya miaka 1000 iliyopita. Miaka 700 maeneo yake yaligawiwa kati ya Poland-Lithuania na Urusi, baadaye kati ya Austria na Urusi.
Jamhuri ya Watu wa Ukraine iliundwa mwaka 1917. Iliona mapinduzi ikawa Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiukraine. Mwaka 1922 ikajiunga pamoja na Urusi, Belarus na Kaukazia katika Umoja wa Kisovyeti kama nchi mwanachama katika shirikisho . Mwaka 1991 Viongozi wa Urusi na Ukraine waliamua pamoja kuondoka katika Umoja wa Kisovyeti ili kila nchi iendelee peke yake.
 
Safi saana
 
Ukubwa wa mdomo wako unapita mara nyingi uelewa wako. Je katika nishati ya mlipuko wa 2 KT tunajadili bomu ya uzito gani?? Ndiyo nguvu yake unaongezeka kidogo wakati wa kugonga kitu kwa kasi kubwa, lakini nishati hii haina maana ukilinganisha na nishati ya mlipuko wa 2 KT.
Ukiwa na ingine, acha maneno, lete chanzo. na lete tarakimu.
 
Kuna swali umeuliza kuwa anaamin kuwa ukrain inalazimisha wananchi wake kuwatumia km ngao, swali kwako je, hujui km ukrain ilikataza wanaume kukimbia nje ya kuanzia miaka 18-60?
 
Dah!wee jamaa wewe!
 
Hii vita Mrusi inaifilisi USA ukitazama Kila ikichelewa Mrusi anazidi watia hasara. Mrusi hasara Hana zaidi ya wanajeshi wake tu. Silaha anazotumia zote zinalipwa na faida ya bei ya gas na oil sababu sa ivi mafuta na gas bei zipo juu.
Uma chekesha sana, Afghan US alikuwa anatumia zaidi ya 1bil usd kwa siku
Ukraine ametumia 3bil pekee kwa hizo siku zote
 
Ile landing ship iliyozamishwa na ile frigate zilikuwa na zaidi ya dollar milioni 700 hiyo ni zaidi ya tril 1.7
 
Ukraine na Russia wamesema raia wote hasa wazee na watoto waliokuwa kwenye handaki Mouriopol wameondolewa. Ninachofikiria huenda kukawa na makamanda wajanja wametumia hiyo furusa WAKAJIZEESHA NA KUJIPA ULEMAVU wakapitiamo humohumo. Nakumbuka tukiwa secondary School kuna jamaa alikuwa anafinya macho na sura inakuwa kama mzee kabisa.
 
Kuna swali umeuliza kuwa anaamin kuwa ukrain inalazimisha wananchi wake kuwatumia km ngao, swali kwako je, hujui km ukrain ilikataza wanaume kukimbia nje ya kuanzia miaka 18-60?
Siyo hii ni mambo mawili tofauti? Wana sheria inayounda huduma ya kitaifa katika jeshi kwa wanaume kati ya miaka 18 - 60.
Utaratibu huu upo katika nchi nyingi duniani. Angalia ramani chini (nyekundu, buluu nyeusi na kichungwa kuna sheria hizi zikitekelezwa tofauti, chanzo hapa).
Kwa hiyo wapi ngao katika mfano wako??? Kama wangelazimisha wakina mama na watoto kubaki... Lakini hiyo hawafanyi.


 
View attachment 2214430

🔥🔥🔥Alexandra Zelenskaya, Zelensky's daughter hates her father, calls him a people and a killer of the Ukrainian people🔥🔥🔥
Mbona unasambaza uwongo mtupu unaojulikana ni uwongo???
Huna akili ya kutosha kukagua mambo unayokuta kwenye intaneti ??? Basi okoa pumzi na pesa, zima!
Huyu si binti wa Zelensky
, katika video ambako picha imechukuliwa, huyu binti haongei kuhusu Zelensky lakini anamshtaki rafiki eti ni mwongo kwa sababu alimwahidi I-phone mpya lakini hajaleta.....
Aibu yako!! (nilihitaji sekunde 6 kupata factcheck hiyo hapa chini Fact check: Zelenskyy's daughter did not 'flee' to Poland | DW | 30.04.2022) - sasa usianze kulia ni de.com - ukitaka kupinga leta habari kamli na chanzo - lakini heri uzime usiongeze aibu yako.

Europe​

Fact check: Zelenskyy's daughter did not 'flee' to Poland​

Posts on social media had claimed that Oleksandra Zelenska, the daughter of President Volodymyr Zelenskyy, called her father a "Nazi" and "fled" Ukraine. DW fact-checked the posts and found them to be bogus.




Not the same: Crying woman at left, Oleksandra Zelenska (top) and family on the right
Even as manipulated videos known as deepfakes are increasingly produced to attribute statements to people who never made them, the old-fashioned art of fabrication still serves its purpose. That's the case with a photograph circulating online that claims to show the daughter of Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy.

Claim: Social media sites are currently spreading an image of a young crying woman, claiming in various languages that the president's 17-year-old daughter, Oleksandra Zelenska, "hates her father" and had called him a "Nazi" and "murderer of the Ukrainian people." Russian websites have also spread the claim.

Fact check: False

The pictured woman is not Zelenska, as a reverse image search shows. The photo was taken from a video that had appeared on the internet in 2017. Zelenskyy's daughter, born in 2004, was significantly younger than the woman in the video. For comparison, this video shows Zelenska at 11 years of age.

Russian-language iPhone conversation​


The pair in the video from which the image is taken speak Russian, not Ukrainian, and their conversation is not about Zelenskyy. The man who records the video — presumably, the woman's partner — addresses her as Nastya and tries to comfort her. She responds: "You promised me that iPhone five months ago and never bought it!"

The message, tagged "exclusive" and disseminated in Georgian, Spanish and German, among other languages, also claims that Zelenska had "fled to Poland." A billboard just visible behind the crying woman during the first seconds of the video, however, advertises a property for sale, and the phone number on display belongs to a real estate agent based in Sochi, Russia, which DW was able to ascertain on the basis of the person's WhatsApp and Instagram profiles. This means that the sequence shown in the video could have been filmed in the Black Sea coast area.

Disinformation about Zelenskyy​


Since Russia invaded Ukraine, the president has been the face of resistance — as well as the No. 1 target for Kremlin propaganda. At least one deepfake depicting him exists, and time and again it has been alleged that he'd clandestinely fled Ukraine. His family, too, has repeatedly been targeted by such campaigns. For example, propagandists and pro-Russia accounts published a photo that allegedly showed his wife, Olena Zelenska, in the French city of Nice. The president denied this, saying his wife remained with him in Ukraine. Zelenska and Zelenskyy also have a 9-year-old son. The president has repeatedly and verifiably appeared with heads of government and in front of international journalists in or near the capital, Kyiv.
 
Nafarijika sana kuona wengi tunazidi zifahamu PROPAGANDA zahao wapuuzi MSM
Vijana tumeelewa mambo watuache

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kwamba USA, EU na think tank wao woote wameamua kupoteza uchumi wa mataifa yao sababu ya jeuri, hii ndio hitimisho la kwann hawaachi iwapo mtego wa vikwazo na msaada kwa Ukraine umeback fire?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…