Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Kwa Russia sio hasara sababu malighafi zote za kuzalishia anazo na viwanda vyake angekua ananunua ndo ingekua hasara. Hizo silaha zenyew anatumia za kipind cha soviet ni kama anasafisha ghala uchafu.
 
Hujaelewa bado KT si masi?? KT ni kifupi cha kiloton kwa maana: mlipuko wa bomu la nyuklia unalingana na mlipuko wa tani 1,000 za baruti kali ya TNT. Kwa hiyo ni kizio cha nishati ya 4.184 terajoules. Si masi !!!
Haya chukua uzito wa kinzhal ambao ni 4300 kg yenye speed ya 10 Mach, halafu onesha kuwa nguvu (momentum) inayochangiwa na speed hiyo ni kidogo tu kama ulivyoropoka huko mwanzo

 

Hivi bado unaamini Russia anapambana na Ukraine?? Sio NATO??

Hizo propaganda za vifaru kurud nyuma sio kweli achana na propaganda dogo huko field Ukraine ana hali mbaya.

Ukraine ameilindaje nchi yake wakati kila siku Russia wanachukua miji huko upo serious kweli?? Na kumbuka Russia kasema hio miji haiji rudi ukraine ndo kwaheri nyie endeleni na propaganda sisi ni kazi tu.
 

Kwa kuongezea hapa kwanini ukiwa against unakula ban kwenye social medias kama twitter, fb na instagram?? Ukipost kuhusu kinachoendelea ukraine wanakuban why?? watu wengi wakahamia telegram kutoa tarifa zao.
 
Hujaelewa bado KT si masi?? KT ni kifupi cha kiloton kwa maana: mlipuko wa bomu la nyuklia unalingana na mlipuko wa tani 1,000 za baruti kali ya TNT. Kwa hiyo ni kizio cha nishati ya 4.184 terajoules. Si masi !!!
Halafu niongeze kidogo. Tulianza majadiliano kwa #38,140 ya extrovert aliyedai "angewatia mabomu 5 tu ya saturn kisha shughuli ingeisha akiwa kaua 98% ya population." kwa hiyo alijadili silaha za nyuklia.
Roketi hizo zenye kasi kubwa sana zinaweza kuongeza uharibifu kidogo ukilenga mahandaki au vituo chini ya ardhi. Hapa kasi inaongeza nguvu ya kufika chini zaidi na kutoboa saruji. Kwa silaha za nyuklia hasa ukilenga watu si kitu. Ukitaka kuua asilimia kubwa ya wananchi katika eneo fulani uwezo huu wa kuingiza bomu chini zaidi hauna maana kabisa. kinyume, utalenga kulipusha bomu yako kidogo juu ya ardhi. Na hapa, niliyosema, haidhuru kama unafikisha bomu yako ya nyuklia kwa roketi au kwa kokoteni . 2 Kt au 10 Kt ni zilezile bila kujali kasi ya kufika.
kaka arudi atumie muda kidogo kuelewa mambo.
 
Ndugu nirudie tu kukuonyesha ramani ya uchaguzi wa rais wa Ukraine mwaka 2019. Utaona maeneo penye Warusi wengi katika ukraine Zelensky alipata kura nyingi. Katika magharibi ambako watu wanaoongea Kirusi ni wachache, alipata kura chache.
Ni mantiki gani ukisema Zelensky aliamua "kuwateketeza" hao wa Luhansk waliompa kura nyingi kabisa???
Dhambarau ni Poroshenko, Kijani ni Zelensky.
Una msingi gani kudai Warusi wa Ukraine upande wa nchi yao si wengi??? Kwa elimu yako walipiga kura mara ngapi na kwa matokeo gani??

tena ukumbuke: tofauti na Rossiya ya Putin, Ukraine kuna uchaguzi huru.

 
Taarifa zingine za kuhuzunisha...

Another Baltic state suffering consequences of Russian sanctions. Estonia inflation now 18.8%.

Electricity prices risen 119% and gas by 237.2%. Gasoline by 32.5% and diesel 48.6%. Potatoes 134%, vegetable oil 57%, cereals and pasta by 38%.


Hizo asilimia ili zieleweke kwa walio wengi tufanye hivi, Lel say bei ya kila kitu tajwa hapo juu ni 1000... Kwa mfumuko wa bei kwa hizo asilimia maana ake ni kwamba.
1. Bei ya Umeme kutoka 1000 hadi 2190.
2. Gas kutoka 1000 hadi 3372.
3. Gasoline kutoka 1000 hadi 1325
4. Diesel kutoka 1000 hadi 1486
5. Potatoes kutoka 1000 hadi 2340
6. Vegetable Oil kutoka 1000 hadi 1570
7. Cereal and Pasta kutoka 1000 hadi 1380.

Hiyo 1000 nimeitumia kama Illustration kuonesha hizo asilimia zikoje. Sasa fikiria unakaa kwenye nchi ambayo individual tax inafika up to 50%... Hii ni kama mnagawana kipato na serikali yako.

Kwa wenye akili timamu mnaeza feel hali iliyopo kwa Raia wa kawaida ilivo dhidi ya maamuzi yanayofanywa na viongozi wao.

Kwa wale baadhi katika sie ambao mind zetu zimejikita na zinaamini baada ya Mungu ni Mzungu hatuezi elewana kamwe nini kile tunachojaribu kukisema.

Tunamnukuu Henry Kissinger once said kua "It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal"....

Na hiki ndicho tunachokishuhudia hivi sasa.
 
Kwa kuongezea hapa kwanini ukiwa against unakula ban kwenye social medias kama twitter, fb na instagram?? Ukipost kuhusu kinachoendelea ukraine wanakuban why?? watu wengi wakahamia telegram kutoa tarifa zao.
Yes rafiki, na hilo bado halitoshi kutia Alarm kwenye baadhi ya vichwa vya watu.

Ujue kwa mwanadam silaha kubwa aliyonayo ni akili yake. Sio Nuclear wala Hypersonic Missile kwani hizo zote ni Product ya akili yake. So once anapokuwa compromised and manipulated anakua hana tofauti na mnyama wa kufugwa anayesubiri command kutoka kwa mchunga wake.

Tumefika hatua ambayo majority katika sie tuko under control bila wenyewe kujua. Katika aspects nyingi za maisha hasa zile basic needs ziko monopolised. Kiasi cha kwamba aliye top ndio muamuzi wa kila jambo.

Our social life, yani almost everything kuanzia nini tunasikia hadi they way we think. Yah the way think?, why? Kwasababu kuna mahusiano makubwa ya kile macho yanaona na masikio yanachosikia katika uchakataji na utoaji wa maamuzi kwenye ubongo.

Kwa kifupi mfumo wote wa faham unategemea na kile kinachopokelewa na hii milango ya faham.

Hizo media kubwa ndio zile Giants tech companies zilizo under wale wale elites walioko nyuma ya US Government.

Jana kama sio juzi nilisema hapa kuhusu kauli ya H.W Bush na huyu Biden kuhusu NWO. Angalia Biden anaitisha kikao na CEOs wa kampuni zote kubwa hapo US. Kisha anawaeleza ujio wa NWO na kuwaambia kua "they" American should "take a lead"...

Ni hizo sentensi mbili tu zinatosha kukupa majibu ya nini kipo nyuma ya haya matendo yanayofanywa na hizi Taasisi tofauti tofauti kubwa duniani.

So hizo ban na kila aina ya Censorship inayofanywa ni katika mchakato ule ule wa kuhakikisha kile kinacholishwa kwenye bongo za watu kinaendelea kua under control ambayo ipo kwenye interest zao.

Wahenga wanasema "what you feed your mind become the real you" 🤗

Wacha tuendelee kujiachia Telegram tu nahisi ndio Mtandao mkubwa wa kijamii ulobaki huru hadi sasa...
 
"Kwa wale baadhi katika sie ambao mind zetu zimejikita na zinaamini baada ya Mungu ni Mzungu hatuezi elewana kamwe nini kile tunachojaribu kukisema"
 
Russia wameshaziunguza silaha za Marekani huko Ukraine kwenye stesheni ya treni karibu na mji wa Soledar.

Pia Russia wameteketeza bohari 6 za kuhifadhia silaha za majeshi ya Ukraine (makombora na mizinga) kwenye mikoa ya Luhansk, Donetsk na Kharkiv. Pia Russia wamedungua ndegevita ya Ukraine aina ya SU-25

 
nimefuatilia kidogo habari hii. Kama kawaida Mathanzua ana mwaga copy-paste yake bila kujali uwezekano wala ukweli (jinsi hufanya mara kwa mara - kumbuka hadithi zake za "Khazarian Mafia")

Basi ona hapa:

Did Russia Capture Canadian General Cadieu In Azovstal?! | Tech ARP​


Posted by Dr. Adrian Wong

8-9 Minuten



Did Russian forces capture Canadian Lieutenant General Trevor Cadieu in the cellars of Azovstal, in Mariupol, Ukraine?!
Take a look at the viral claim, and find out what the facts really are!

Claim : Russia Captured Canadian General Cadieu In Azovstal!​

Pro-Russian websites, Chinese netizens and the Chinese 50 Cent Army (wumao, 五毛) are claiming that Russia just captured a high-ranking Canadian general.
According to “rumours”, Lieutenant General Trevor John Cadieu was captured while he was trying to escape from the besieged Azovstal metalworks in Mariupol, Ukraine.
General Trevor Cadieu (Trevor John Cadieu), captured by Russian troops while trying to escape from the cellars of Azovstal, was the commander of the Canadian Ground Forces, APA reports citing Mailbd.
Seated in the catacombs under the Mariupol steel plant “Azovstal” nationalists staged a provocation, trying to hide the Canadian general’s attempt to escape. After the capture of a high-ranking foreign soldier by units of the RF Armed Forces, it became clear why so many efforts were made to save him.
A high-ranking mercenary tried to break out of the encirclement at Azovstal several times. It was for this that the West insisted on humanitarian corridors for the exit of civilians: among them, foreign specialists had to leave the catacombs.


This Chinese example even claimed that NATO lost 5-6 helicopters and a ship trying to get General Cadieu out of Azovstal.
A lot of rumors that Russia has captured a Canadian general trying to escape thru sewer tunnels. Could be a few more NATO military advisers still in the plant
They have spent losing 5 or 6 helicopters and 1 ship trying to get the VVIP out.

No Evidence Russia Captured Canadian General Cadieu In Azovstal!​

Bearing in mind that it is impossible to prove that something does not exist (Russell’s teapot), I can safely say that there is NO EVIDENCE that Russian forces actually captured Canadian general Trevor Cadieu in Azovstal.
In fact, here are the reasons why it is virtually impossible for Russia to have captured him in the Azovstal metalworks in the besieged city of Mariupol.
Fact #1 : Trevor Cadieu Retired From Canadian Armed Forces
Trevor Cadieu was originally slated to take command of the Canadian army in September 2021, but his appointment was suspended amidst “historical allegations” of sexual misconduct at the Royal Military College in 1994.
He then resigned and left the Canadian armed forces on 5 April 2022, stating :
I have opted to release (from the Canadian military) and am exploring other opportunities to contribute to the greater good.
Fact #2 : He Volunteered In Ukraine As A Private Citizen
After his retirement from the Canadian Armed Forces (CAF), several defence sources say that Cadieu travelled to Ukraine to volunteer against the Russian invasion.
This was in his personal capacity, as he had already retired from the CAF, and was now a private citizen.
Defence Department spokesman Daniel Le Bouthillier said, in a statement :
There has been no CAF support, material or otherwise, given to Cadieu since his departure as it pertains to his personal endeavours.
As he is now a private citizen, it would be inappropriate for us to comment further on his personal plans.

Read more : Did Russia Capture US General Roger Cloutier In Mariupol?!
Warrant Officer Terry Vandenberghe discusses observation and reporting positions with Brigadier-General Trevor Cadieu (right) in Williams Lake, B.C., during Operation LENTUS 17-04 on August 3, 2017. (Photo: Master Corporal Malcolm Byers, Wainwright Garrison Imaging)
Fact #3 : Russia Surrounded Mariupol Since 17 March 2022
While no one really knows where Cadieu is right now, it would be quite impossible for him to enter Mariupol, after his retirement on 5 April 2022.
That’s because Mariupol was amongst the first Ukrainian cities to be attacked by Russian forces that completely surrounded it three weeks into the war.
There was no way for Ukrainian civilians and soldiers to leave Mariupol, and no way for anyone to get into the city after it was completely surrounded on 17 March 2022.
By the time Cadieu resigned, the Russians had already captured most of Mariupol, except the massive Azovstal steel plant. It would literally take a miracle for Cadieu to get into the Azovstal plant.
Read more : Secret NATO Headquarters Under Azovstal Exposed?!
How Russian forces besieged Mariupol. Credit : BBC
Fact #4 : Cadieu Would Be Useless In Mariupol
Even if it was possible to smuggle him into Mariupol in early April, it would also be illogical to insert Cadieu into a besieged city where he can do little good.
Cadieu is a retired general whose days of firing guns from the trenches are long past. In fact, he would be more of an impediment in the defence of the Azovstal steel plant.
He would be far more useful strategising Ukraine’s defence, or acting as a military liaison with the Canadian government.
Fact #5 : Russians Would Have Paraded Captured Cadieu
If Russian forces did indeed capture Cadieu, they would have paraded him on Russian TV, just like they did with two British volunteers they captured – Shaun Pinner and Aiden Aslin.
Yet the Russians did no such thing. In fact, the only “sources” of these claims are no-name blogs in Russia, China and Azerbaijan, as well as WhatsApp and Telegram groups.
There is simply no evidence of Cadieu being captured by Russian forces, not even a picture.

Fact #6 : DPR Rep Claims Cadieu Still Holed Up In Azovstal
Official Russian news agency, TASS, reported on 28 April 2022 that Cadieu “may be holed up” in the Azovstal steel plant.
Their source was Eduard Basurin, the spokesman for the People’s Militia of the Donetsk People’s Republic (DPR), who gave no evidence for his claim.
In fact, Basurin appeared to be making up that claim based on the Canadian Defense Ministry announcing that Cadieu was resigning.
Information appeared now and then that one of former Canadian army generals may be holed up there [in the Azovstal steel complex].
He first seemed to get out of sight and then the Canadian Defense Ministry issued a statement that this general gave a notice that he was resigning from the army and moving to Ukraine. Perhaps, it [the UN] is trying to rescue him.

As I pointed out earlier, it would be impossible for Cadieu to be present in Azovstal, unless he went AWOL from the Canadian Armed Forces and entered Mariupol before 17 March 2022.
Also, there were several ceasefires during which civilians managed to escape. Cadieu was not amongst them.
More importantly, Basurin confirmed that Russian forces did not capture Cadieu.
Variants of this FAKE NEWS are now being shared in pro-Russia and pro-CCP websites and groups.
Please help us FIGHT FAKE NEWS by sharing this fact check article out!


Kwa hiyo: Mathanzua fake kama kawaida
 
Tulia we Pro Nato dawa iwaingie vizuri.
 

Nchi nyingi sana hazion umuhim wa NATO sema ni suala la muda tu. Hivi kweli nchi 30 mnasumbuliwa na Taifa moja ambalo ni maskini?? hii ni aibu sana kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…