Urusi njaa kali na anaibebea kwenye mfuko wa rambo[emoji56][emoji12][emoji12]Ahlan wa sahlan,
Ukiwauliza wenyewe humu watakwambia urussi imeivamia Ukraine kwa sababu ya kutaka kujiunga na NATO, sio kweli kabisa.
Ingekua kweli Urussi ingeanza kuivamia Estonia, Latvia na Lithuania waliojiunga na NATO mwaka 2004
Alikuwa analalamika ujinga tu![emoji12][emoji12]Urusi kavumilia sana, hizo zilizojiunga akawa analalamika na kupeleka malalamiko yake UN ni kuonyesha uvumilivu mkubwa sana, sasa kama Ukraine ingejiunga nayo ingelikua ni kuzungukwa na maadui, pia kuna mkataba umevunjwa ndio maana kashindwa kuvumilia, akaona huu utakua ujinga
Maneno ya kwenye kanga Kwan hizo nuclear weapons wanazo wao tu?Aisee ! Hii kauli ya hatari. NATO inaonekana hawajaelewa somo. Sasa sijui wanataka waambiweje.
Mimi nikadhani utasema maneno ya kwenye mabango ya maroli. Wenye kalamu inayoandika na ina wino mzuri usoma umbo lililofungwa na kanga hawasomi maneno ya kanga, Mkuu. Ha ha haaaa! Asubuhi njema.Maneno ya kwenye kanga Kwan hizo nuclear weapons wanazo wao tu?
Mie kwa kweli Hadi nimeingiwa na huruma.Aisee askari wa Ukraine walipata tabu sana
Kudadadeki🇷🇺President of the Russian Space Agency: “If there is a nuclear war, we will wipe out NATO countries from the world in 30 minutes.”
Hawa ndo wale watoto wa 'xaxa'uclain ndio lugha gani hii hebu acheni upuuzi wa kuharibu lugha
Yaani hii kauli ni Kali na ya moja kwa moja.Aisee ! Hii kauli ya hatari. NATO inaonekana hawajaelewa somo. Sasa sijui wanataka waambiweje.
Urussi kuivamia Ukraine ni kutokana na kibaraka wao kuondolewa madarakani na nafasi yake kuchukuliwa na raisi Pro- western. Wao walitaka kuitawala Ukraine kana kwamba bado iko USSR na hili ndilo lengo la Putin kwa nchi zote zilizokua kwa huo muungano.Kuvamia 2014 ni mkwara kuwa wasithubutu kujiunga, taari ilikua anataka kujiunga ndio maana kavamiwa