Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huna akili ndio maana unaongea kama mtoto mdogo na hujui lolote kuhusu vita coz hata maelezo yako hayaelezi vita in its technical sense, unajifanya unaelewa sana as if una mafunzo yoyote ya kijeshi, ungekuwa ni military analysist tungeona ujengaji wako wa hoja, ungekuwa ni reporter tungeona captions zako zenye picha na video. Wewe unaonekana bado mtoto mdogo na kama ni mtu mzima basi kuna tatizo kichwani mwako. Huna objective information rather unalopoka tu kama kichaa wakati hata uwezo wa kushika hata fimbo upambane na mbweha huwezi.
 
Jamii Forum kuna burudani sana😀
 
Jamii Forum kuna burudani sana[emoji3]
Usimkejeli alicho kisema kina mantiki kibwa sana nchi ikisha kuwa na silaha za nyukilia hauwezi kuiletea mazoea ya *******.
Hivi unadhani Ukraine ingekuwa na silaha za nyukilia Urusi ingethubu kufanya huu uvamizi?
Asinge thubutu hata siku moja angeishia kupiga kelele tu kama Marekani alivyo ufyata kwa N.korea.
 
Yugoslavia ilivamiwa na baba yako sio?

We jamaa unajitia mjuaji sana.
 
Acha kupotosha.
 
Sijamkejeli RTI

Tofauti ya kusoma na kusikiliza au kutazama ni kwamba unaposoma yule character unamtengeneza kwa namna yako mwenyewe.

Mfano: Ukiangalia filamu ya jitu la kutisha unakuwa unaliona linavyotisha huna cha kupunguza au kuongeza, Ila ukisoma kitabu cha jitu la kutisha mtunzi atakupa mwongozo wa lilivyo halafu wewe utaliumba hilo jitu akilini kwako na kwako linaweza likatisha kuliko lile ambalo mtunzi alilidhamiria au lisitishe kabisa. Its all on you.

Sasa mm nasoma namna watu wanavyoumba uwezo wa Russia na Nato ndani ya fikra zao ndo maana nikasema JF kuna burudani.
 
Acha kupotosha.
Twende taratibu, hivi vita vilianza 2014 na sio mwaka huu kama unavyodhania.
Ukraine kipindi hicho iliiongozwa na kibaraka wa Kremlin kwa jina Viktor yanukovych. Waukraine wakamuondoa madarakani kwa sababu alikataa kutia saini mkataba wa kuingia EU. Jamaa akasepa Moscow ambako anaishi mpaka Leo.
Putin alipoona hivyo, mbio mbio akaivamia Crimea akidai ni yao akisahau kwamba Crimea Tatars ndio wazawa halisi ambao walifurushwa 1945 na Joseph stallin.
Sasa baada kuona hakufanywa lolote 2014 alipovamia Ukraine na 2008 alipoivamia Georgia, akaona ajaribu kuteka Ukraine nzima apachike kibaraka mwengine lakini sote tumejionea alivyofeli.
 

Kwa reply kama hii inaonesha wewe ubongo wako ni zero kabisaa. Ungekua ulikuja kwa hoja ningekujibu kwa hoja kwakua ulikuja na vihoja na mimi nakujibu kwa vihoja. Ndio ninamafunzo ya jeshi ndani ya 821KJ wewe ndugu yangu mafunzo yako ulipatia wapi??

Ulisema Russia ni bingwa wa Propaganda nikakuuliza naomba uniambie hizo propaganda ni zipi ili humu ndani JF nasisi tuzijue ndugu yangu na sio kubwekabweka kama mbwa koko. Naomba hoja zilizoshiba na mifano halisi.
 
waziri wenu wa ulinzi kama ana majonzi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…