TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Announcing the “special military operation” on February 24, Putin said that Moscow should not repeat the mistakes of the Soviet leadership of 1940-1941. Back then, he explained, the USSR tried not to provoke Nazi Germany by “refraining or postponing the most urgent and obvious preparations it had to make to defend itself from an imminent attack.” As a result, the president continued, the moment was lost and the country was not prepared to counter the invasion.Leo kasema kwamba watu wa Magharibi wanataka kumletea chochochoko, ila leo kaongea na adabu kidogo. 😂 😂
Kura baada ya uvamizi......2014!!! 😂 😂 😂The official result from the Autonomous Republic of Crimea was a 97 percent vote for integration of the region into the Russian Federation with an 83 percent voter turnout and within the local government of Sevastopol there was also a 97 percent vote for integration of the region into the Russian Federation with an 89 percent voter turnout.
This happened during the Crimean status referendum of 2014 , the referendum was held on March 16, 2014.
===
Leta swali lingine, Ingawa wewe unatakiwa ujibu swali la sheria ipi ilikiukwa wakati Crimea na Sevastopol wanajiunga na Shirikisho la Russia.
Habari za jioni Mkuu. Unaendeleaje muda huu? Vumilia utapona, Mkuu.Kura baada ya uvamizi......2014!!! 😂 😂 😂
Shukrani google....
Ni kweli penyewe1. Russia ni taifa kubwa kuliko Ukraine, kiuchumi, kijeshi hata na kiushawishi.. so Russia by default anauwezo wa kuishambulia Ukraine kuliko yeye kushambuliwa.
2. Ukraine kwenye hii vita yeye amevamiwa, hajawahi kurusha hata jiwe Urusi, anachofanya yeye ni kujilinda na hataki kuwa chini ya ushawishi wa Russia na siasa zake.
3. Russia 24 Feb aliivamia Ukraine kwa kila njia unayoijua wewe kwenye vita na Putin akataka Askari wa Ukraine wajisarimishe na kuipindua serikali
4. Licha ya ugumu wote huu Ukraine ameweza kuilinda nchi yake, Russia alipeleka msafara wa vifaru km zaidi ya 64 lakini wote ulirudi nyuma, Leo ni karibu mwezi tangu Russia atangaze phase II lakini progress ni very sluggish , why Ukraine wasisifiwe kwa hili?
Yaana Urusi avamie (2014) halafu iitishwe kura ya maoni ili jimbo lijitenge!! Nawe unashangilia...Habari za jioni Mkuu. Unaendeleaje muda huu? Vumilia utapona, Mkuu.
Akikujibu nitag mkuu....Yugoslavia ilivamiwa na baba yako sio?
We jamaa unajitia mjuaji sana.
Hakika amefeli pakubwa sanaaaaa yaani Hadi aibu....Twende taratibu, hivi vita vilianza 2014 na sio mwaka huu kama unavyodhania.
Ukraine kipindi hicho iliiongozwa na kibaraka wa Kremlin kwa jina Viktor yanukovych. Waukraine wakamuondoa madarakani kwa sababu alikataa kutia saini mkataba wa kuingia EU. Jamaa akasepa Moscow ambako anaishi mpaka Leo.
Putin alipoona hivyo, mbio mbio akaivamia Crimea akidai ni yao akisahau kwamba Crimea Tatars ndio wazawa halisi ambao walifurushwa 1945 na Joseph stallin.
Sasa baada kuona hakufanywa lolote 2014 alipovamia Ukraine na 2008 alipoivamia Georgia, akaona ajaribu kuteka Ukraine nzima apachike kibaraka mwengine lakini sote tumejionea alivyofeli.
Acha nijikomentie haiwezekani siku nzima nikose mtu ata mmoja aliyeni-quoteWacha wee
Kama ni hivyo basi yote kafeli.2 na 3
Hv ww dada hv huwa unacomment ukiwa umelewa ama umevuta!Macho kodo kwa sababu we thought for now ana EU yote kokononi mwake kumbe bure kabisa hata majimbo mawili hajapata .Sasa kama Ukraine inamwendesha puta .Yeye na USA bure kabisa (Maana nisipoweka USA kuna watu wangeniambia US walishindwa sijui wapi) Putin naye kaput tu kusumbua tu watu.
ndani ya Israel zipo jamii mbali na wayaudiKwa kifupi wewe mtoa mada leo hii ni Mkristo kwasababu Wayahudi walimkataa Yesu, ukachukua nafasi yao. Sasa naposkia watu wana funga na kuomba kwaajiri ya Israeli, sjui wayahudi nasikitika mnoo!
Ndiyo; kashaanza anza kuwa na adabu.Leo kasema kwamba watu wa Magharibi wanataka kumletea chochochoko, ila leo kaongea na adabu kidogo. 😂 😂
Yaani nchi imemegwa hivi halafu Kuna wehu kama huyu wanasema Urusi kafeli na anachapika .... Wajinga ni wengi sana hii nchi ...na huyu ni waziri mkuu wa wajinga.
Sasa hivi yupo kwenye hayo majimbo anawatoa Ukraine utake usitake subiri wanatangaza Uhuru wa hizo majimbo pili NATO wanauawa Sana huko na Ukraine haitajiunga NATO Kwa hiyo kafanikiwa kuzuia NATO kuchukua Ukraine.Kama ni hivyo basi yote kafeli.
Kwa hiyo mbwembwe za kujaribu kwenda mji mkuu zilikuwa za nini ?Sasa hivi yupo kwenye hayo majimbo anawatoa Ukraine utake usitake subiri wanatangaza Uhuru wa hizo majimbo pili NATO wanauawa Sana huko na Ukraine haitajiunga NATO Kwa hiyo kafanikiwa kuzuia NATO kuchukua Ukraine.
Hizo ni silaha ganView attachment 2217156View attachment 2217158View attachment 2217159View attachment 2217160
[emoji120]THANK YOU NATO[emoji120]
Taken as trophies from the[emoji1255] in the Izyum region.
LPR and DPR are becoming more armed thanks to the WEST...
Wakali wa physics kazini ....nilisoma na mkali mmoja wa phy na chem kwa jina la bakari ruhiso siku hizi ni nesi yupo anaganga zake njaaHaya chukua uzito wa kinzhal ambao ni 4300 kg yenye speed ya 10 Mach, halafu onesha kuwa nguvu (momentum) inayochangiwa na speed hiyo ni kidogo tu kama ulivyoropoka huko mwanzo
View attachment 2217169