Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

UKRAINE inamegwa utamu sana yaani daah
RUSSIA kweli TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angemuua tu nayeye[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha wakafe UMBWA hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kabisa hata kuchambua
 
Kwanza tofautisha bokoharam ambayo haina hata ndege ya maksratasi na nchi kijana
Tuletee video jamaa wakiwa wanapigana na RUSSIA wakiwa juu ya hizo jeneza zao basi!!!
Wakiwa uwanja wa vita

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli huna kitu ila ubishi na ushabiki. Nionyeshe jeshi ambalo halitumii pikipiki!
Kampuni ya Kalashnikov inajenga pikipiki ya umeme kwa ajili ya jeshi la Urusi
.
Marekani wameagiza pikipiki ya umeme.
Maana pikipiki hizi - mbali na matumizi ya kawaida jeshini- zinawezesha makundi madogo maalum kutekeleza kazi kimyakimya na haraka.
Makelele matupu . . .
 
Sielewi. Habari ya mwisho kuhusu Snake Island ni shambulio la ndegevita 2 za Ukraine zilizoshambulia kituo cha Warusi huko (ajabu kwamba waliweza kufika mbali vile na ajabu kwamba Warusi hawana ulinzi huko).
Jamaa wa Ukraine walitumia drone wakapiga kisiwa wakadhoofisha mfumo wa anga wa Russia kisha wakatuma ndege vita SU 27 na boti vita na helcopter na askari wa mwavuli vyote vikateketezwa usiku wa jana

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Alafu hiyo mbinu wamepewa na NATO .niliona sehemu nikacheka sana [emoji28]
 
Intel Slava Z:
[emoji635][emoji1255][emoji779]️Ukraine lost 14 planes and helicopters while trying to capture Snake Island - Russian Defense Ministry

[emoji635][emoji1255][emoji779]️ Over the past three days, the Kiev regime has lost 30 military unmanned aerial vehicles in the area of Snake Island, of which nine are Bayraktar TB2

official representative of the Russian Ministry of Defense Igor Konashenkov.
 
[emoji635][emoji1255] Russian security forces discovered two more caches with machine guns, pistols and grenades left by the Ukrainian special services for sabotage in the Kherson region. The weapon was found thanks to the information of a former Ukrainian policeman - the commander of a special forces company of the main department of the national police of the Kherson region, Lieutenant Colonel Mykola Salamakha. Tayari baadhi ya polisi wa Ukraine washajua zelensky ni rais wa mchongo tu
 
T-14 Armata - kifaru cha paredi
Wakati wa paredi ya 9 Mei mjini Moscow tuliweza kuona tena vifaru 3 vya aina T-14 Armata.
Kifaru hiki kilitangazwa na kusifiwa tangu kilipoonyeshwa mara kwa kwanza mwaka 2015.
Lakini hakikuonekana vitani.
Wakati ilipotangazwa viongozi wa kijeshi wa NATO walionyesha hofu kuwa kifaru hicho kitakuwa tatizo yaani data zake zilionyesha ina faida juu ya Abrams ya Marekani na Leopard II ya Ujerumani.
Sasa hofu hizo zimepotea - kwa sababu hali halisi T-14 Armata haipo. Au tuseme: inapatikana mara 20 hivi, si zaidi.

Urusi imeshindwa kukitengeneza. Kwa nini?
Baada ya mashambulio ya kwanza mwaka 2014 (Luhansk, Donetsk na Krim) nchi za magharibi zilianzisha vikwazo vya kwanza dhidi ya Urusi.
T-14 Armata iliundwa kwa tekinlojia ya kisasa kabisa - ambayo haipo Urusi penyewe, walinunua sehemu muhimu Marekani au EU. Vipuli hivi havipatikani tena kwa Urusi.
Basi nakala 20 zimepatikana - hakuna nyongeza.
Kifaru cha paredi.
Kweli Urusi si Zimbabwe!
 
Alafu hiyo mbinu wamepewa na NATO .niliona sehemu nikacheka sana [emoji28]
Sidhani wamepewa na NATO. Walitumia mbinu huohuo wakati walipozamisha manowari ya Moscow: walituma kwanza droni upande wa mbali wa nchi, manowari ilianza kufyatulia risasi dhidi ya droni. Halafu ilipigwa kwa roketi kutoka nchi kavu.
Nilimsikia jenerali wa NATO aliyesema Ukraine walibuni njia nzuri kutumia vifaa vichache walivyo navyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…