Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Yote haya naelewa ila nataka wakijiunga NATO nijizwe MKUUHata katika hali ya kawaida nadhani mchakato si chini ya mwaka achilia mbali katika mazingira yaliyopo.
Nimependa sana hii lugha "kudunguliwa"
Kwanza Huwa nawashangaa wano Mjibu huyoHuenda mnabishana kujifurahisha but this man called Mwanamkiwi is beyond that.
He's too frustrated, you can read his mind throughout all of his writings.
Ndio maana hata hao WESTERN hawajui lengo la PUT INUjue Putin hajui hata anachopigania ujue .Mara NATO ,mara Cremia,Luhansk nk anataka yawe huru ,mara yajiunge na Urusi ,mara serikali ya Ukraine iondoke ,mara Ukraine intergenerational referendum, mara maramara yaani hajui hata anachokitaka kwa hii vita .Na uwezi kuwapa watu uhuru au kuchukua nchi za watu kwa vita.Mashabiki wa Putin msaidieni kwa hili
Matope tu hata Panya Road wetu na bangi zao wanajua wanachokitakaNdio maana hata hao WESTERN hawajui lengo la PUT IN
jamaaa akili kubwa sanaa!!!!!
PUT IN anachokitaka utakijua ngojea apite na ODESSA kwanza!!!Matope tu hata Panya Road wetu na bangi zao wanajua wanachokitaka
Usisahau kuweka neno "kwapamoja' utaharibu hesabuKwa hiyo Urusi iliwapiga marekani, Ukraine na Uingereza !!? 🇷🇺😆
KambaWatu hawajui kuwa vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi .Na ninachokiona USA walitaka hii vita ipiganwe at any costs ili ku stabilise uchumi wa dunia baada ya COVID Kuna mmarekani mmoja ameniambia uzuri nyie mnaangalia vita kwenye majengo,wakimbizi,vifaru nk wao wanaangalia kwa mtazamo tofauti na effect yake na what CIA is doing behind the scenes itaonekana after 6months onwards.
Russia anapambania ODESSA na Nato wanajua maana yake ndio maana wakafanya mpango wa pata potea ili kukomboa snake Island . Black sea ni muhimu sana ili uwe na control yake na bandari ya ODESSA muhimu ukaxontrol snake Island. NATO hawajakosea kuvamia bali case kama hizo kosa la mtu mmoja au bahati tu kwa upande wa pili mmekwisha. Utaona Russia kalegeza Kharkiv ila anaitaka Oddessa hakuna cha zana za kilimo mbolea wala kuuza ngano . uN imetabiri njaa kali Ukraine miezi michache ijayo. Utaelewana tuUsisahau kuweka neno "kwapamoja' utaharibu hesabu
Kherson is goneUjue Putin hajui hata anachopigania ujue .Mara NATO ,mara Cremia,Luhansk nk anataka yawe huru ,mara yajiunge na Urusi ,mara serikali ya Ukraine iondoke ,mara Ukraine intergenerational referendum, mara maramara yaani hajui hata anachokitaka kwa hii vita .Na uwezi kuwapa watu uhuru au kuchukua nchi za watu kwa vita.Mashabiki wa Putin msaidieni kwa hili
Ndugu warus wa kagongwa, vipi Putin kashamalizana na wanao toa msaada Ukraine?
[emoji1][emoji1][emoji1]Ingekua picha tupu bila maelezo, wangedai ni za Russia.
Russia are starving [emoji23]...
Hio kauli anayozungumza jamaa ingezungumzwa na mswahili hapa angeulizwa kwa hiyo wewe ndio unajua kuliko wao? Wewe ndio unajua ila hao think tank wa US na Eurupe kwa ujumla hawalioni hilo?
Na mengine mengi ya kejeli [emoji119]
Ingekua picha tupu bila maelezo, wangedai ni za Russia.
Russia are starving [emoji23]...
Hio kauli anayozungumza jamaa ingezungumzwa na mswahili hapa angeulizwa kwa hiyo wewe ndio unajua kuliko wao? Wewe ndio unajua ila hao think tank wa US na Eurupe kwa ujumla hawalioni hilo?
Na mengine mengi ya kejeli [emoji119]
Ni wewe hujui unachoongea...Ujue Putin hajui hata anachopigania ujue .Mara NATO ,mara Cremia,Luhansk nk anataka yawe huru ,mara yajiunge na Urusi ,mara serikali ya Ukraine iondoke ,mara Ukraine intergenerational referendum, mara maramara yaani hajui hata anachokitaka kwa hii vita .Na uwezi kuwapa watu uhuru au kuchukua nchi za watu kwa vita.Mashabiki wa Putin msaidieni kwa hili
Uvamizi wa Urusi Ukraine umehamasisha Finland kujiunga na NATO . Asilimia 76 ya raia wameafiki nchi kujinga na NATO haraka iwezekanavyo.
Finnish support for joining NATO has jumped to a record 76% in the latest poll as Russia’s invasion of Ukraine pushes the non-aligned Nordic nation closer to the defense pact.
Support for the North Atlantic Treaty Organization is up from 62% in March and from 53% in February, according to a poll published by Finland’s public broadcaster YLE. The survey of 1,270 respondents showed that 12% of Finns oppose NATO membership, down from 16% in March and 28% in February.
Oyaaaa [emoji23] mji wa Kherson unajiandaa kupiga kura ya kujiunga na Urusi rasmi[emoji116][emoji116]
#Breaking The Kherson region will appeal to Putin to let them join Russia -say the deputy head of the military-civilian administration Kirill Stremousov.