bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
Na kukuweka sawa swali la pili sikuulizwa Mimi, na nikisema ni mjibie basi nitasema Russia hakutoa muda wa kukamilisha vita yake, Kama vile ambavyo hata nyie hamjuiTunachosema sisi ni kwamba, Russia objectives zake kafanikisha ama bado? Kwanza sidhani hata Kama mnajua malengo yao
Is that not enough to show how unazungumzia kitu usichokifaham?
Can you answer please the second question katika maswali uliyoulizwa?
Do you have a time frame of Operation ambayo unaitumia kama reference ya kuelezea kushindwa kwa Jeshi la Russia Ukraine?
Unajua miaka 20 ni umri wa mtu kuzaliwa hadi kufikia utu uzima? Can you tell us how Taliban survive a war against those "Rich Nations" miaka yote 20?
All Intels of 30 Nation from NATO didn't able to break Taliban in 20yrs. Kwani Taliban alikuwa akipokea msaada kutoka kwa nani?
Hey, uko ready kubishana kwa hoja?
Nimekujb, pia naomba ujibu yangu[emoji3]Maswali yote niliyokuuliza hujayaona eh?
Discuss like a matured one, jibu maswali then uulize maswali.
Acha kuzunguka zunguka kuonesha udhaifu if really you are capable of arguing.
Hana majibu [emoji41]Maswali yote niliyokuuliza hujayaona eh?
Discuss like a matured one, jibu maswali then uulize maswali.
Acha kuzunguka zunguka kuonesha udhaifu if really you are capable of arguing.
naomba link nami nione bossYaani nipo Group moja la Telegram la mjeda aliopo Kazini kwakweli kunatisha yaan Wanajeshi wa Ukrein wanachapika vibaya
Maiti ni nyingi mno
kila siku Nivideo watu wamepewa shaba
No nmejibu hilo swali japo hukuniuliza Mimi,Hana majibu [emoji41]
Sawa na kumkuta mtoto anakula mchanga umuulize kwanini unakula mchanga naye anakuuliza kwanini nisile mchanga [emoji23]
bobby_Barbosa_9 punguza mahaba rafiki... Ila tarh 28 ntakuunga mguu tukalishabikie chama letu tuchukue kikombe [emoji23]
Kwendraaa [emoji23][emoji23] kusema Ukraine is winning ni kujitoa ufaham mzee...No nmejibu hilo swali japo hukuniuliza Mimi,
Karibu Liverpool, mi nakushangaa huku upo team itakayoshindwa vita[emoji3]
kuna NORDSTREAM 1 na NORDSTREM 2 ZOTE zinapita bahariniInapitia Nchi zipi?
Waonevu huwa hawadumu rafiki yangu hiyo iko hivyo.Kwendraaa [emoji23][emoji23] kusema Ukraine is winning ni kujitoa ufaham mzee...
Ila 28 yoyote atakayeshinda kwangu sawa tu maana wote wawil team zangu [emoji23] ingawa kama Liver akikosa Ubingwa EPL bora achukue hicho kikombe.
Wajiandae zaidi kabla hawajafilisika ..
US imetenga kitita kingine hadi kieleweke [emoji1][emoji1]
View attachment 2221438
Habari ninazo zipenda hizi[emoji16]Welcome to NATO Finland, Putin war in Ukraine is a massive Flop.
NATO continues to expand in Eastern Europe.
EU has reduced russian energy dependence.
NATO countries have increased their defense budget.
View attachment 2221521View attachment 2221522
US hapigani vita vya kipuuzi kama vya Syria
Acha kujifariji Marekani ameshindwa vita nchini Afghanistan tena mbaya zaidi imeshindwa na wahuni wavaa makubazi.Et iliwachukua miaka 20 hahah,
Sasa miaka 20 nyuma Taliban alitolewa kwenye madaraka, kwahyo kwa hesababu rahisi haikuchukua hata mwaka US ku take over[emoji16]
Kaja regain power mwaka jana after us ku remove their troops,
Sasa tusubiri tuone Russia atachukua muda gani! View attachment 2221514
rwanda wanafikiri kuwapokea hao wakimbizi itawapa status aliyopewa israel miaka ile.....Hili jambo kweli hata mimi nimelisikia.Hata hivyo kwa nini Rwanda wakubali upuuzi huu is a trillion dollar question.Kwanza kanchi kenyewe kadogo.Nahisi Kagame kakatiwa kitu.Yaani haiingii akilini kabisa,mwenzio kitu kakikataa halafu wewe unakikubali!Kwanza wewe hujiulizi,kwa nini yeye akikatae akusukumie wewe?Ni uzuzu of the highest order frankly.African leaders,shida tupu,yaani hawajali maslahi ya nchi zao kabisa.
Stupid mkubwa,Unaempigania ameanza kulia Lia huku πWewe ndo mpuuzi una reply vitu usivyojua
Jack posebeic - Republican, Far right, neo-nazi, white supremacist, Neo fascist. Automatically ataiponda serikali,
Na hamna kitu watafanyaUturuki/Ottoman pia alishawahi kutawala sehemu kubwa duniani, Roman pia waajemi/persian uk ss hv kolo tu.
Hata hao Manhattan project utaalamu waliuiba kutoka kwa hitler ujerumani. Kwa sasa hivi nchi iliyopiga hatua kwenye silaha za nyuklia kuliko yote duniani ni Urusi. Russia has a nuclear superiority of 27 to one against British we unaongea nn!? Katika kila silaha moja ya nuclear bayo Uk wanayo urusi wanazo 27 na mimd you za urusi ndio kubwa na more advenced. Achilia mbali umiliki wa silaha bali pia kwenye deliverance urusi hana mpinzani hakuna taifa lenye maendeleo ya makombora kama urusi duniani hii. Uka ni katoto flani hivi kakupuuza
Kwa nini NATO wanahofia direct confrontation na Urusi!? Wao si ndio wapo wengi!? 1 vs 30!? Mnasingizia ustaarabu kwani mlichofanya Syria, Libya, hamkujua kwamba dunia imestaarabika!? Nyie (NATO) ni waoga PERIOD!!! na uoga wenu unastaajabisha pale mnayemuhofia yuko peke yake na nyie mpo wengi. Bunch of cowards! Kibaraka wenu anapigwa, nchi imeharibiwa wanajeshi wameuawa raia wamekimbia miji imekaliwa kinguvu na NATO wapo tu walichokifanya hakina tofauti na kutemea mate nyumba inayoungua eti kuizima. Spitting to a bushfire ain't gonna work uncle sam!
Us yupo wapi Syria!? [emoji1787] unachekesha. Syria yupo Assad bwana tena kwa hisani ya Putin na haendi popote any time soon! Na Venezuela yupo maduro. Crimea imekwenda, Donbass inakwenda na miji mingine nje ya donbass nayo itakwenda. Ukraine haitajiunga NATO na mateka wa kimagharibi hasahasa wa uingereza waliokamatwa donbass na mariupol hawaachiwi. Gesi mtanunua kwa rubo na hamna kitu mtafanya
Who is a looser now [emoji1787][emoji1787][emoji1787]