Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Save your time and energy ndugu,

Ni ngumu kumuelezea mtu ambae kwenye mawazo yake kashafanya maamuzi.

Pili katika operations zote hawajui sababu zake, ndio maana ni rahisi kuweka conclusion
 
Ndugu, kwenye swali lako la 2,

Kuna sehemu nimeonesha hadi no of troops zilizotolewa na nchi nyingine mbali na US, najua hakuwa US pekee.

Na najua Russia anapitia vikwazo vingi sn tofauti na US kwa Afghanistan ndio maana inaniwia vigumu kusema Russia atashinda hii Vita.

Nchi nyingi ziko nyuma ya Ukraine hata wale marafik wa Russia hawako pamoja na Russia, Kama ulivyokuwa kwa US na washirika wake...

Na kuna watu wanapata kabisa nguvu ya kusema Russia anaweza ku fight na NATO kwa ujumla, seriously! Ni ngumu sana
 
Hawa ndio wale wanaokesha Twitter wakiimba Slava Ukraine huku nyuma maajabu wanayoyafanya ni ya Sayari ya Jupiter. Kila Crisis huwa ni Manufaa kwa baadhi ya walio in power.



During the 2 months of the war, the Kyiv elites took out of the country jewelry and currency in the amount of 2.6 billion euros.

The main backbone of those who save assets are members of the government and Ze-administration, as well as people's deputies.

Such data are contained in a classified report of the State Bureau of Investigation. According to the Bureau, the "servants of the people" carry mostly gold, diamonds and currency (dollars, pounds sterling and euros). In rare cases - works of art and antiques.

And these are official (that is, included in the declarations) data, and there are also “gray schemes” that are not included in the statistics.

In addition, over the past month and a half, Ukrainian elites have withdrawn 2.6 billion euros from banks. The National Bank of Ukraine was even forced to impose restrictions on cross-border transactions of citizens in order to prevent the outflow of capital from the country under martial law.

At the same time, SBI analysts note that huge funds are withdrawn through bitcoins, and the movement of this money cannot be tracked.
 
Pia swala la ugaidi wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa na ndio lilikuwa lengo lao hasa,

Pia swali mkuu, unafikiri kwanini Russia hapati misaada ama support kwa rafiki zake!
 
Hivi ni tukio gani la ugaidi walilitekeleza Taliban kwenye ardhi ya US?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Hawa Warusi wanakuwa wajinga, wanavukaje bila air cover hata ya recon drone?
 
Mkuu hao hawana haja ya kuelimika. Wao wanaimba mapambio kuisifu Marekani.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 

Again, maelezo mengi full of balderdash. So that's how you wish ingekuwa right [emoji848]?...

1. Invalid question, NATO wasn't the main belligerent, otherwise Russia inge veto hiyo UN resolution. Instead rephrase swali lako liwe 'How long did Libyan Rebels took to overthrow Gaddafi'


Coco like Coco, enough is enough.

Good luck... [emoji119]
 
Kama upo 'objective' utajua Russia kwa uwezo wake wa kijeshi anaweza kukamilisha operation yake hata kwa vikwazo alivyowekewa na misaada ukr anayopewa. Msaada wa usd 800m ulifika ukr lkn haukumzuia russia kuichukua mariupol. Ingekuwa ni total war leo tungekuwa tunaonhea mengine.

Marafiki wa Russia ambao hawako pamoja nae unaowasema ni wepi!? Ukiwa unajibu hapa kumbuka kuzingatia Russia anao marafikia sio 'misukule'. Rafiki yako anao uhuru wa kuamua kukusapoti au la, rafiki ambaye hana uhuru huo bali yeye ana option ya kukusapoti tu huyo ni msukule!

Russia anaweza kupigana na NATO wote wala sio jambo la kupiga ramli wala hesabu nyingi. Kupigana ni suala moja na kushinda ni suala jingine. Kutoka kwenye midomo yao wenyewe ni NATO ndio wanasema hawajafanya 'baadhi ya mambo' ili kuepusha direct confrontation na Urusi. Mfano kufanya military intervention kwenye special op ya ukr. USA na Poland (Nato member) walihofia kupeleka silaha ndegevita mig 39 za poland ukr kwa madai ya kuepusha 'direct confrontation' na urusi.

Hawataki direct confrontation unafikiri kwa sababu gani!? Wanajua vita baina yao (NATO VS RUSSIA) haitakuwa nyepesi. Kama umesoma hesabu unajua kitu ambacho hukifanyi ni kile ambacho uwezekano wa kupata matokeo chanya ni mdogo 'probability less than 0.5'.
Zingatia urusi ni nchi moja na NATO 30

Baada ya vita
  • Ukraine haitajiunga Nato
  • Donbass haitorudi na baadhi ya mikoa mingine ya ziada
  • vikwazo vitaondolewa
Nani atakuwa kapoteza sasa
 
Hawa Warusi wanakuwa wajinga, wanavukaje bila air cover hata ya recon drone?
Urusi ni Taifa lililoendelea Lakini Bado Kuna rushwa sana.Usikute ni upigaji mpaka jeshini askari wanakuwa na zana duni.Halafu waliidharau UKRAINE ndio kimewapata hicho!
 
Pia swala la ugaidi wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa na ndio lilikuwa lengo lao hasa,

Pia swali mkuu, unafikiri kwanini Russia hapati misaada ama support kwa rafiki zake!
Russia haitaji msaada wa kijeshi wala wa kifedha

Silaha zenyewe za kutoka west walizopewa Ukr Urusi wakizikamata wanazitoa kwa wapiganaji wa dpr na lpr wao hawazihitaji!

Ugaidi umepungua!?
 
1. Marekani aliishambulia Taliban kwamadai ya kumuhifadhi Osama. Wakati wao ndio waliompeleka kule. Wakamfadhili silaha na fedha ili kupambana na Russia. Kama anavyofanya kwa Ukraine. Taliban hawakuwa na uwezo wa kumkamata Osama kwani alikuwa na jeshi lenye nguvu na zana kali za kivita. Ilikuwa uonevu kuwataka Taliban wakapambane na Osama wakati wamarekani wakijua silaha walizompa na fedha alizonazo hawataweza.

Ni uongo na uzushi kudai Taliban hawajafanya ugaidi kwenye ardhi ya Marekani tangu washambuliwe. Ukweli Taliban hawakuwahi kufanya shambulizi lolote kwenye ardhi ya Marekani. Hata vita walivyowatoa kamasi US hadi kukimbia ilikuwa ni baada ya US kuwashambulia.

2. Ukiingia kwenye 18 za waafghanistan jua lazima utakimbia. Wale wanapenda vita. Na ni aibu kwao kushindwa. Bora uwauwe wote kuliko kunyoosha mikono. Ndio sababu Russia alijiondoa. Marekani pamoja na kutumia mama wa mkombora yote bado kashindwa na kukimbia. Tena kwakuwakabidhi Taliban serekali yao.

3. Hakuna ugaidi wowote alioupunguza Marekani. Ndani ya miaka hiyo unayoitaja,Kenya wameteseka na mashambulizi ya kigaidi. Tanzania wamepambana na hatari za kigaidi kule Handeni,Amboni,Kibiti na mpakani na Msumbiji. Pia Kongo wamepitia madhila hayo. Msumbiji hadi kuomba msaada wa nje. Marekani hakuzuiya chochote. Unajua kwanini!? Kwasababu yeye ndio muanzilishi na mfadhili wa makundi hayo ili aibe rasilimali za nchi hizo.

4. Baada ya Russia kuingia kuyadhibiti makundi ya kigaidi,kuanzia kule Syria, dunia imepata kiasi utulivu.
Na hii ndio imekoleza chuki ya US kwa Russia kwani anamuharibia dili zake za kuiba rasilimali za wengine

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Hoja zako na za Galip Vrl ni kubwa mno kuliko uwezo wake,hataweza kujibu nakuambia.
 
Amka kumekucha. Na kama unaota unajisaidia,tafadhali chukua tahadhari

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Mzee kinachoendelea Yemen kule ni mfano tosha ya kuwa muda mwingine umoja sio nguvu maana mataifa karibu yote yanawasaidia upande wa serikali iliyopo Aden huku upande mwingine ukisaidiwa na Iran ambaye ana vikwazo kila sehemu.

Toka 2015 mpaka leo hii mapigano ni makali sana na na bado jeshi la serikali inayosaidiwa na Iran lina miliki maeneo mengi muhimu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Pole sana Ask Q

Ngoja nikupe mfano wa hawa watu.

Simba alishinda kipindi cha kwanza 2 bila dhidi ya Ndanda mpira ukaisha kwa 4/2 Ndanda akiibuka mshindi.

Washabiki wa Simba sasa...

[emoji95] Sie target yetu ilikuwa kushinda kipindi cha kwanza tu.

Kisha wamuiliza kwani mpira ni First Half? Anabadili jibu.

[emoji95] Kwanza hatukwenda kikosi kamili.

Unauliza tena vipi mlishinda match?

[emoji95] Sie tulitangulia kufunga, dak ya 6 tu tulikuwa tunaongoza.

Khaa, unauliza tena we jamaa mmeshinda match?

[emoji95] Kile kilikuwa kikosi B, Sakho hakucheza.

Eeeeee unamtia kofi kwanza, nakuuliza hivi mlitumia dk ngapi kucheza, na je mlishinda Match?

[emoji95] Tulicheza dk 20 tukashinda goal 2.

[emoji23][emoji23] Unamwongeza kofi lingine, so mpira ni dk 20 au?

[emoji95] Hapana tulicheza dk 20 tukashinda match kisha tukatumia dk 70 kuzunguka na mpira [emoji41]

Wakati huo Ubao full time unasoma 4-2 FT wakiwa wamechapwa kisawa sawa.

Huo ndio mfano wa Pro NATO mahaba kama yote m@mae [emoji23][emoji23][emoji57][emoji57]

NB washabiki wa Simba mnisamehe nimetoa mfano tu sina maana nyingine mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…