Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Uswizi yaamua kutofautiana na Marekani+NATO, yaziachia mali za Russia ilizozizuia kutokana na mzozo wa Ukraine...Serikali ya Uswizi imesema haiwezi kushikilia mali za Russia kibubusa, wakati hakuna sababu zozote za msingi za kufanya hivyo.
Taasisi ya kimarekani yalalamikia msimamo huo wa serikali ya Uswizi na kuiita Uswizi kuwa muwezeshaji mkubwa wa harakati za Putin. Serikali ya Uswizi imekemea upotoshaji huo, na Rais wa Uswizi ameitaka serikali ya Marekani kurekebisha huo upotoshaji alipozungumza na waziri wa mambo ya nje wa Marekani
View attachment 2222496 View attachment 2222497
Kwani mkuu kabla ya vita ulikuwa unajua kama Hunter Biden alikuwa na maabara ya kibailojia Ukraine????Je ulielewa kwamba hakuna mpango wa aina hii? Ilikuwa wazo la wanasayansi kadhaa waliopendekezwa kulifanyia utafiti kwenye mwaka 1994. Una habari yoyote kwamba nje ya majadiliano walichukua hatua zozote za utekelezaji? Chanzo unachotaja kinasema mpango haukufuatiliwa.
baba tayari majeshi ya NATO yameanza kupiga jaramba, mambo ni mataaaam hatareee.
Wacha tuone ujeuri wa Putin na hizo anatamba nazo what called nuclear weapons as if wengine hawanazo.
Lengo Siyo kuishusha Russia Ila lengo ni kuimaliza Russia kabisa ikiwezekana kila wilaya iwe nchi na kuipiga marufuku kumiliki nuclear,Waziri wa mambo ya nje wa Russia ameionya Finland kwamba iwapo itajiunga na NATO ,Russia haitasita kuchukua hata za kijeshi.
Linkhttps://edition.cnn.com/2022/05/12/europe/finland-leaders-join-nato-intl/index.html.
Hapo hapo Finland keshasaini mkataba baina yake na UK endapo atashambiliwa na nchi yoyote UK ataingia direct kumsaidia Finland katika kipindi chote akijiandaa kujiunga NATO.
Binafsi sipendi vita maana ni maisha ya watu,ila kuna dalili tosha hii vita lengo kubwa ni kuiangusha Russia, tunamlaum Putin ndie kaanzisha ila kuna namna mtego ulitegwa Russia akanasa nachoomba Putin apunguze jazba maana Finland ni mtego mwingine,ukizingatia wameshamchosha kiuchumi ,ajikite kuyabeba hayo majimbo mawili apite hivi hawa jamaa siyo ,wanamuundia propaganda kila kukicha .
Kati ya pigo kubwa la Urusi ni hili maana wanasema zaidi ya zanavita 73 zimeharibiwa na inakadiriwa zaidi ya watu 500 hawajulikani walipo baada ya shambulio
Uvamizi wa nchi isiyo na uwezo kijeshi ni jambo la kulaani. Mara nyingi huwa na element za kutaka kuiba rasilimali. Mengine ni visingizio vya uvamizi ili kuhalalisha.Jana niliwambia watanzania kwamba chuki zenu kwa amerika zinawafanya muunge mkono adui zenu.
Ukiwauliza kwanini mnatetea uvamizi wa Ukraine wanakwambia kuna Us bio Labs humo ndani jibu la kitoto sana ukiniuliza.π
Sasa Jana embassy ya Russia Kenya imetoa list ya Nchi 25 ambazo wanaamini kuna US bio Labs. Kati ya hizo Nchi Tanzania na kenya ziko ndani. Hii ni uchokozi wa wazi kabisa sijui H.E Samia suluhu anasemaje.
Bwana Utam Russia inaanza lini special operation Tanzania.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 2222618
Asante, lakini hii habari sijui. Nadhani hata wewe huijui. Inaonekana ulisikia kitu, je ulihakikisha ukweli wake? Hunter Biden ni mwanasheria, hana elimu ya biolojia wala maabara, ameshtakiwa kusaidia kampuni ya gesi ya Ukraine kufanya biashara na Marekani....Kwani mkuu kabla ya vita ulikuwa unajua kama Hunter Biden alikuwa na maabara ya kibailojia Ukraine????
Hahaha,waoga mpaka waungane ndo wapigane na mwanaume mmoja[emoji635][emoji635][emoji123]
Nijuavyo Mimi Russia haiwezi kuondoa majeshi huko Ukraine. Eneo la mashariki la Ukraine Sasa ni la warusi..Mbona mnaogopa kuusema ukweli?
Russia aondoe majeshi yake yote ndani ya Ukraine hapo ndipo vita itakapokwisha. Mrusi yeye nani mpaka aachiwe nchi ya watu. Mimi naona sasa ni wakati muafaka kwa Urusi kulipia kile alichokifuata.
Taarifa za SkyNews,CNN,BBC,Aljazeera msiwe mnatuletea hapa,it's fake news,tafuteni independent news.Mainstream Media ina conflict of interest in the Ukranian War,sio neutral in the conflict.Putin ndo maana anatumia dumb bombs maana anakula hasara ya wajeda
Hizi nchi zote za Africa mashariki ziko pamoja na US kwa kujua ama kwa kutokujua... Kwa kutaka ama kwa kutokutaka.Jana niliwambia watanzania kwamba chuki zenu kwa amerika zinawafanya muunge mkono adui zenu.
Ukiwauliza kwanini mnatetea uvamizi wa Ukraine wanakwambia kuna Us bio Labs humo ndani jibu la kitoto sana ukiniuliza.π
Sasa Jana embassy ya Russia Kenya imetoa list ya Nchi 25 ambazo wanaamini kuna US bio Labs. Kati ya hizo Nchi Tanzania na kenya ziko ndani. Hii ni uchokozi wa wazi kabisa sijui H.E Samia suluhu anasemaje.
Bwana Utam Russia inaanza lini special operation Tanzania kuondoa mashoga dar es salaam na bio labs
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2222618
Kinyume chake. Hujafanya homework, ndugu. Kuni ni muhimu nchini Finland, ninakuta takriban asilimia 25 ya mahitaji yao ya nishati. Ila si kuni kama hapa, haichomwi kati ya mawe matatu chini ya sufuria; wanavyao vikanza vya hali ya juu wakitumia ubao kwa maumbo tofauti...Hapa atabisha tena π atakuuliza kwani Finland hakuna kuni....
Dadeki ushauri wangu achana nae tu faya yako. Huyo Mzee atakupotezea mda bro
Taarifa za SkyNews,CNN,BBC,Aljazeera msiwe mnatuletea hapa,it's fake news,tafuteni independent news.Mainstream Media ina conflict of interest in the Ukranian War,sio neutral in the conflict.
Pumba nyingine hii hapaUnajua kama hamjui taktik za vita Bora mnyamaze, target ya Mrusi ilikuwa kuteka miji ya east Ukraine. Ile msafara ulikuwa ni kutia pressure Wana target ya kuivamia Kyeiv lakini Nia ya Mrusi ilikuwa sio Kyeiv na angeitaka angeibeba Kuna sehemu Ukraine alijipanga kama Malurpol mbona kaiteka.
Kama umelala basi endelea kulala utamka tu, we hujui eastern Ukraine ndio Kila kitu afu Kuna Sheria Kisha toa Mrusi Jana ukimrushia Scud tu anakupiga Nuclear sababu wanajitea Kwa kusema National Security Yao IPO hatarini, hapo Ukraine IPO kwenye hatari kutoweka kwenye map. Pia Nchi ambazo zinaleta hatari kwake hata USA na Muingereza wako hatarini pia.
Kule USA Wamarekani wanalia wanasema Biden kawaingiza kwenye vita,Jana USA wanasema Russian wamejipanga vita ya mda mrefu na ndio nilicho kuwa nawambia humu Kila vita ikichukua mda ni faida Kwa Mrusi.
USA walidhani Mrusi atapigana Siku Tatu au maximum mwezi sa kaukalia moto alidhani atakuta majivu.
Nakubaliana na wewe aachane naye huyo jamaa...Mimi namuona huyo jamaa kuwa sworn propagandist..Hapa atabisha tena π atakuuliza kwani Finland hakuna kuni....
Dadeki ushauri wangu achana nae tu faya yako. Huyo Mzee atakupotezea mda bro
Siwezi kusema haiwezekani unachowaza, lakini sina uhakika. Bila shaka Ukraine isingejitetea hadi leo jinsi ilivyo kama NATO isingetuma kiasi kikubwa cha silaha.Sema NATO na Urusi,sio Ukraine. ukweli ni kwamba,bila Msaada wa pesa, silaha, intelligence assistance ya NATO na wanajeshi wa Uingereza,marekani na Poland, Ukraine isingekuwa inazungumziwa mpaka sasa,huo ndio ukweli na unajua Ila kwa sababu waafrika akili zetu ni nyeusi kama ilivyo ngozi yetu,mmekalia ujinga wa kujiliwaza.
Taarifa za SkyNews,CNN,BBC,Aljazeera msiwe mnatuletea hapa,it's fake news,tafuteni independent news.Mainstream Media ina conflict of interest in the Ukranian War,sio neutral in the conflict.