Yaani nyie vijana mnashida sanaurusi uwezo wa kumpiga uk hana kashindwa kuimaliza ukraine mwezi wa tatu huu itakuwa uk ambaye ameshawahi kutawala robo tatu ya dunia? na ambaye ana ugunduzi mwingi duniani tena wa kutisha tunaousoma toka primary? mbona silaha za uk za msaada zinaharibu vifaru vya urusi na hana la kufanya, halafu urusi anatishia nyuklia as if anayo yeye wakati uk us na canada kupitia manhattan project walishakuwa na hizo kitu kitambo tu na live test ikafanyika japan na urusi mwenyewe kapata ujuzi wa nyuklia kwa wizi wa taarifa from us.
Kabla hata vita havijaanza Nato walishasema hawatopeleka majeshi yao ukraine kwa kuwa hiyo itakuwa ni direct confrotation na russia na kwa kuwa tupo kwenye civilized world hawataki hilo litoekee.
Hivi huyo urusi si meli yake maaufu imelipuliwa na kyev si katimuliwa?
Russia kama ana ubavu avamie NATO members
Huko syria mpaka sasa us yupo ananyonya tu oil
ww ulisikia ni mwezi gan?Una uhakika june watajiunga?? Kila siku mnapeleka siku mbele
NATO wako smart mjomba sio ukitaka tu muda huo huo wakuungeHizo process zinachukua muda gani?
Mie niliota Zelensky kakamatwa na Spetsnaz kapelekewa st Petersburg.Dah!..Kila mchangiaji akiandika alichokiota kuhusu huu mgogoro kutatosha kwel?...huenda ndoto zikapingana...😂😂😂..
Bwana Utam STRUGGLE MAN lee van cliff
Russia hana akili hiyo kwa sababu Putin peke yake ndiye ana_dictate mambo. Huwezi kufanikiwa kwa kujifanya mjuaji wa kila kitu.Mtizamo wangu mimi, ulilosema kuhusu finland na sweden ni kweli West wanamtafuta sana Russia lengo Kuharibu mahusiano ya Russia na mataifa mengine.
Uzuri ni kwamba sahv dunia sio ile ya zaman ambayo tuliaminishwa Saddam husen, gadafi nk ni magaidi na watu tukaamini sahv dunia imebadilika kinachoendelea Ukraine hata west wamepata somo.
Mtizamo wangu Russia huwa hatabiriki kabisa atakachofanya atapeleka nyuklia pale kaliningrad so ulaya hawatakua na amani kutokana na location ya hili eneo.
Pili kuna uwezekano Russia akaweka base zake Mexico, Venezuela hawa ni maadui sana wa marekani akifanya hivo utaona kama US atakubali. Russia ni taifa lilobarikiwa watu genius sana huwa wanawaza mbali sana ni suala la muda tu. Comeback yao huwa si ya kitoto kuna ambaye alifikiria Russia angekuja na Ruble?? wote humu ndani tulikua suprised.
Huo ndo mtazamo wangu .
NATO wako smart mjomba sio ukitaka tu muda huo huo wakuunge
vitani , elewaaSpecial force nyingi tu wanatumia pikipiki. SEAL nao pikipiki wanazo. Delta force pia zipo...
Russia hana akili hiyo kwa sababu Putin peke yake ndiye ana_dictate mambo. Huwezi kufanikiwa kwa kujifanya mjuaji wa kila kitu.
Hii nayo ni pumba kweli kweliPumba nyingine hii hapa
Nakazia hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Uturuki/Ottoman pia alishawahi kutawala sehemu kubwa duniani, Roman pia waajemi/persian uk ss hv kolo tu.
Hata hao Manhattan project utaalamu waliuiba kutoka kwa hitler ujerumani. Kwa sasa hivi nchi iliyopiga hatua kwenye silaha za nyuklia kuliko yote duniani ni Urusi. Russia has a nuclear superiority of 27 to one against British we unaongea nn!? Katika kila silaha moja ya nuclear bayo Uk wanayo urusi wanazo 27 na mimd you za urusi ndio kubwa na more advenced. Achilia mbali umiliki wa silaha bali pia kwenye deliverance urusi hana mpinzani hakuna taifa lenye maendeleo ya makombora kama urusi duniani hii. Uka ni katoto flani hivi kakupuuza
Kwa nini NATO wanahofia direct confrontation na Urusi!? Wao si ndio wapo wengi!? 1 vs 30!? Mnasingizia ustaarabu kwani mlichofanya Syria, Libya, hamkujua kwamba dunia imestaarabika!? Nyie (NATO) ni waoga PERIOD!!! na uoga wenu unastaajabisha pale mnayemuhofia yuko peke yake na nyie mpo wengi. Bunch of cowards! Kibaraka wenu anapigwa, nchi imeharibiwa wanajeshi wameuawa raia wamekimbia miji imekaliwa kinguvu na NATO wapo tu walichokifanya hakina tofauti na kutemea mate nyumba inayoungua eti kuizima. Spitting to a bushfire ain't gonna work uncle sam!
Us yupo wapi Syria!? [emoji1787] unachekesha. Syria yupo Assad bwana tena kwa hisani ya Putin na haendi popote any time soon! Na Venezuela yupo maduro. Crimea imekwenda, Donbass inakwenda na miji mingine nje ya donbass nayo itakwenda. Ukraine haitajiunga NATO na mateka wa kimagharibi hasahasa wa uingereza waliokamatwa donbass na mariupol hawaachiwi. Gesi mtanunua kwa rubo na hamna kitu mtafanya
Who is a looser now [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tuonemuda utaongea
Alisikika andunje mmoja wa BokoRussia ipo hoi huko Ukraine, huo uwezo wa kuivamia Sweden itaupata wapi ?
Huu pia nao ni uchambuzi.Mtizamo wangu mimi, ulilosema kuhusu finland na sweden ni kweli West wanamtafuta sana Russia lengo Kuharibu mahusiano ya Russia na mataifa mengine.
Uzuri ni kwamba sahv dunia sio ile ya zaman ambayo tuliaminishwa Saddam husen, gadafi nk ni magaidi na watu tukaamini sahv dunia imebadilika kinachoendelea Ukraine hata west wamepata somo.
Mtizamo wangu Russia huwa hatabiriki kabisa atakachofanya atapeleka nyuklia pale kaliningrad so ulaya hawatakua na amani kutokana na location ya hili eneo.
Pili kuna uwezekano Russia akaweka base zake Mexico, Venezuela hawa ni maadui sana wa marekani akifanya hivo utaona kama US atakubali. Russia ni taifa lilobarikiwa watu genius sana huwa wanawaza mbali sana ni suala la muda tu. Comeback yao huwa si ya kitoto kuna ambaye alifikiria Russia angekuja na Ruble?? wote humu ndani tulikua suprised.
Huo ndo mtazamo wangu .
Acheni kulalamika
Nyie watu bana huko juu umelalama kwa RUSSIA kuiba tech hio USNa Ukraine yupo Zelensky na anampelekea moto putin hatareee na meli kailipua na Kyiev kamfurusha na wenye hela yaan western washampiga vikwazo vya nguvu urusi kabaki analialia tu.
Na urusi anaihara NATO hatareee ndo maana hataki ukraine ijiunge NATO maana anajua hatari yake. So kama manhataan waliiba germany so ni akili ya western hapo inatawala tena ya jews.
We unacheze na nchi kama US ambayo ina kambi za kijeshi nchi mbalimbali inafadhili miradi mingi ya maendeleo duniani. Haya Finland inayo inataka kujiunga NATO......
Mbona hii picha ni ya zamani sana?Aisee jana jamaa wamechakazwa vibaya mno, hebu cheki hapa vifaru kibao nyaka nyaka
View attachment 2223004