Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakati Putin anaachana na Kiev na kwenda kusini mashariki,kuna watu walisema hajui anachotaka,hii ni kutoka Kiev penyewe,ndio maana Zelensky anapambana kufa kopna kuirudisha bandari, yaani Puti kawashika pabaya.
Yaani hilo onyo halina kichwa wala mkia hata kidogo.Kuanguka kwa uchumi wa Ukraine wakati anaendelea kupigana.Nani atajali.Na kuhusu njaa dunia nzima hili ndilo la kuhofia.Basi onyo litolewe kwa wote wanaopigana.

Sio kuilaumu Urusi peke yake huku mataifa ya Ulaya na NATO kila siku yanatoa matamko ya kuongeza misaada kwa Ukraine.
 
Haya makenya hata kiswahili hayajui
 
Urusi hii Vita, hatoisahau, na kamwe hatoshinda hii vita
Kushinda anaweza kushinda ila kutamgharimu. Wanajeshi 8000 kama mercenaries wanaingia Ukraine na vifaa. From 19 may kutakuwa na hatari .
Shida iliyopo hii ni vita endelevu na mzee mzima USA ndani ya nyumba. Russia asipomal8zana nawale jamaa ndani ya handaki within this three days anaweza akapapoteza pale. Ana front zaidi ya tano anybody akave.
Kibaya toktok nyingi sana ambazo anaonyesha location aliyepo at any time t.
 
nilichogundua upande wa Russia kuna nondo za kutosha, huku Ukraine wakileta habari za hisia/huruma
in all Nato wanasound kishoga humu kuanzia miandiko hadi kauli zao.
[emoji23]

Weeee unatusema sie Pro NATO wazee wa kuita Chungwa kua Limao.

"Ukraine is winning"
"More weapons please we run out of ammunition"
M@+ae mara ooh "Russia is advancing we call the world to stand with us kumpiga Russia..."

Ukraine is winning, Glory to Ukraine.

A is B, B is M and M is D... Yet A is not D. Hao ndio Ukraine na dada zake kutoka Magharibi ya mbali.
 
[emoji23] [emoji23] basi anaakili nyingi, kwakipigo anachopata lakini bado anakariri maneno anayo andikiwa kamanikweli siamini.

Namuonea huruma sana.
Akili wapi kwani waandshi wa habari wamekariri taarifa yote nzima [emoji23]... Unaniangusha jomba.

Anasoma kwenye teleprompter yule akiwa ana shoot video zake za masikitiko.
 
Atashinda vipi ikiwa bado hapati mafanikio mara anaridishwa nyuma nk..

Saizi analaumu NATO kwa kutoa mafunzo na silaha kwa Ukraine
 
Mjamaa una njozi tamu sana nakuombea uendelee kulala hivyo hivyo maana utakapo amka utakuwa very disappointed. Utakuta vitu ni tofauti sana na ulivyoota
 
Sio wewe tu unayejiuliza hilo swali bali wachambuzi wengi wanajiuliza juu ya ufanisi wa jeshi la anga la Urusi kwenye hii vita
Kuna mtu anajaribu kucheza na akili za watu, hilo tukio linaleta maswali mengi kuliko majibu!

Kwanza, hao wanajeshi walipanda wote kwenye hilo pantoni kwa wakati mmoja pamoja na vifaru na magari yao na vifaa vingine,!?

Pili, hawakuwa na ulinzi wowote huko Urusi wanapotoka Wala Ukraine wanapokwenda?

Tatu, na Kama wengi walijirusha mtoni na kufa maji inaama wengi wao hawakuweza kuogelea au huo mto una Mamba wengi, Viboko, Papa au nyangumi waliowameza!?

Mambo Kama hayo huwatokea born town wanapokwenda picnic na wanafunzi wanapokwenda kutalii na sikwawanajeshi waliopo vitani!

Idadi iliyotajwa ni kubwa Sana haikubaliki.
 
Wanajeshi elfu 1000 na vifaru 70 si msafara wa zaidi ya kilometer 1.sasa icho kivuko kilikuwa na urefu gani ?
 
Acha tuone
Ingawaje kuna maoni mchanganyiko humo ndani
Ila yameeleweka!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…