mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Taarifa inasema darajani mnaleta picha za msituni [emoji23], Ok so kwa taarifa yako unadai BBC ni waongo waliosema ni 1000, media kubwa kama hiyo inashindwa kuchuja taarifa sahihi na fake ni ipi [emoji848]View attachment 2223455
Hakuna mtu aliyemsusa.... Tupo closed huu ni utaratibu wetu watu waUkraine hatuna maneno mengi kama pro Russia wengi elimu 0 alafu waongowaongo[emoji23]Ndoo maana wamekususa wenzako sababu unaongea pumba
Vifaru ni kati ya 70-100, angalia post#39,986
Wanatengeneza taarifa za uongo balaa, kama matoto vile sijui ndio kuchanganyikiwa huko... Waje TZ uku waajiri wadau wababe tuwapangie uongo wenye mashiko [emoji23][emoji23][emoji23].Hakuna daraja bali ni warusi walitengeneza daraja la muda ili kuvuka.wanajeshi elfu moja unaona kama ni jambo jepesi jepesi tu kwenye uwanja wa vita.
Kwanza ukraine wamajuaje kama wameuwa hata mtu mmoja ikiwa ilo eneo halipo kwenye himaya yao.baada ya kutokea ilo shambulizi warusi walijipanga tena na kuvuka kwenye uwo mto.
Taarifa inasema darajani mnaleta picha za msituni [emoji23], Ok so kwa taarifa yako unadai BBC ni waongo waliosema ni 1000, media kubwa kama hiyo inashindwa kuchuja taarifa sahihi na fake ni ipi [emoji848]View attachment 2223455
Umeuliza swali la kiboya sana mwenzangu, kwani hujawai kuskia kitu inaitwa drone. Sio lazima wafike kwa miguu, hapo ni drones na zile M777s walizopewa zimetumika.Hakuna daraja bali ni warusi walitengeneza daraja la muda ili kuvuka.wanajeshi elfu moja unaona kama ni jambo jepesi jepesi tu kwenye uwanja wa vita.
Kwanza ukraine wamajuaje kama wameuwa hata mtu mmoja ikiwa ilo eneo halipo kwenye himaya yao.baada ya kutokea ilo shambulizi warusi walijipanga tena na kuvuka kwenye uwo mto.
🤣🤣Umeuliza swali la kiboya sana mwenzangu, kwani hujawai kuskia kitu inaitwa drone. Sio lazima wafike kwa miguu, hapo ni drones na zile M777s walizopewa zimetumika.View attachment 2223483
Tatizo ni teknolojia, Nato wapo mbali sana katika teknolojia na ndio maana unaona ni namna gani Russia anateseka.Katika hii vita hasara aliyo ipata Urusi kwa asilia 80 imesababishwa na jeshi la anga kutotimiza majukumu yake ipasavyo.
Sijui ndani ya jeshi la Urusi kuna mamruki
Wanafanya makusudi ili kuwakomoa wana siasa ?
Maana haiwezekani nchi yenye jeshi la anga lenye ndege zaidi 4000 na herkopita zaidi ya 1000 na ambayo ni muuzaji mkubwa wa mifumo ya ulinzi wa anga duniani eti ishindwe kulinda misafara yake.
Hata wanajeshi wa ardhini wa Urusi wamekuwa hawapati msaada wa kutosha angani hasa ndege za kudondosha mabomu ili kuyadidimiza mahandaki ambayo wanajeshi wa Ukraine wana kuwa wanajificha kitu kinacho wapa faida ya kufanya Ambush za kudhutukiza na kuyarudisha nyuma majeshi ya Urusi kirahisi.
Mm ningekuwa Putin mkuu wa jeshi la anga asingekuwa na kazi.
Umeuliza swali la kiboya sana mwenzangu, kwani hujawai kuskia kitu inaitwa drone. Sio lazima wafike kwa miguu, hapo ni drones na zile M777s walizopewa zimetumika.View attachment 2223483
Kama atakujibu unitagKama usemalo Ni kweli kwnn wasiingie wamalize mchezo??urusi sio Iraq au libya,marekan anajua uingereza wanajua pia mziki na uwezo wa urusi kijeshi
Utaelewa tu..Taarifa inasema darajani mnaleta picha za msituni [emoji23], Ok so kwa taarifa yako unadai BBC ni waongo waliosema ni 1000, media kubwa kama hiyo inashindwa kuchuja taarifa sahihi na fake ni ipi [emoji848]View attachment 2223455
Wewe jamaa vipi kuna mpaka video ziko wazi zinaonesha warusi wanavyoteseka.Hakuna daraja bali ni warusi walitengeneza daraja la muda ili kuvuka.wanajeshi elfu moja unaona kama ni jambo jepesi jepesi tu kwenye uwanja wa vita.
Kwanza ukraine wamajuaje kama wameuwa hata mtu mmoja ikiwa ilo eneo halipo kwenye himaya yao.baada ya kutokea ilo shambulizi warusi walijipanga tena na kuvuka kwenye uwo mto.
Duh...ubishi huu..We sehemu ambayo kumepigwa na bomu utawezaje kuona maiti kwenye drone au unaona izo drone za kijeshi inakuja mpaka miguuni.ebu tuombe msamaha kwa kutufanya sisi kama watoto wadogo.
Ebu nitumie picha hata moja ya vita yoyote ile iliyopigwa na drone ikimuonyesha mwanajeshi kafa
Hawajui HATA idadi Hawa PRONATOAMERICA .... Kuna mwehu Mmoja alikuja na habari eti Ili Urusi kushinda Kamanda kaomba jeshi la watu kati ya 600,000 mpaka 800,000 ., Na Hawa nao wanashupalia shambulio hilo kuua watu zaidi ya 1000 hivi wanafahami watu 1000?? Tena wanajeshi wajilunde sehemu MojaVifaru 14 plus wanajeshi 1000 darajani.
An avarage of 72 personnel per Tank,
Duniani Nchi pekee yenye kifaru chenye uwezo wa kubeba wanajeshi 72 kinapatikana Russia according to Western media.
Wow! We are astonished with such an advancement. Ukraine is winning, hail to "Azov", Russia is loosing so much.
Ukiwa na mtindio wa Ubongo hizi taarifa zinafurahisha sana na Ni za kuaminika mno sio Propaganda.
Na unashupaza shingo ..unafahamusafara wa vifaru 70 !!?? Lete picha Moja hapa yenye vifaru 70 sio mnazirotate picha nakuweka vibox box wehu kabisa.....Vifaru ni kati ya 70-100, angalia post#39,986
Tuendelee na mambo mengine MKUUWe ni raia wa Nchi gani.