Russia focused on Kharkiv withdrawal - Ukraine
In its daily update, the Ukrainian military said that Russian troops are focused on withdrawing troops from the city of Kharkiv.
Efforts focused on maintaining occupied positions and supply routes, the general staff of the armed forces said.
Russia's "main goal is to establish full control over the territory of Donetsk, Luhansk and Kherson oblasts and ensure the stability of the land corridor with the temporarily occupied Ukrainian Crimea," it said on Facebook.
Article share tools
INASIKITISHA SAANAHakuna shida c wewe ndio ulikoboa [emoji23]
Kuna Mwanajeshi mmoja wa western alikuwa amenda wasaidia wa Ukraine kwenye vita anasema ukweli Russian wana wapiga sana Ukraine na Western wanaficha
Kharkiv haina issue. Mapigano ya hapa ingekuwa zaidi ya Mariupol. Second largest city ambayo ingabadili hii vita mazima. Sasa Odessa ikae chonjo.Russia focused on Kharkiv withdrawal - Ukraine
In its daily update, the Ukrainian military said that Russian troops are focused on withdrawing troops from the city of Kharkiv.
Efforts focused on maintaining occupied positions and supply routes, the general staff of the armed forces said.
Russia's "main goal is to establish full control over the territory of Donetsk, Luhansk and Kherson oblasts and ensure the stability of the land corridor with the temporarily occupied Ukrainian Crimea," it said on Facebook.
Article share tools
Sio ana kashakimbia tayari[emoji28] [emoji28]
Unakubali Russia amakimbia?
Mmegeuka watabiriPutin hana muda mrefu wa kuendelea kuwa madarakani.....soon kuna mabadiliko ya utawala yatatokea na Kiongozi mpya atakayeingia hawezi kuwa na siasa kali kama za Putin maana russia ipo hoi kwa sasa ili kuwaplease wananchi kiongozi atakayeingia atajikuta hana budi kukubaliana na masharti kadhaa ya jumuia za kimataifa. Kwa kifupi upo sahihi Putin hii vita hashindi hata afanyeje. Kadiri muda unavyokwenda ndivyo russia anazidi kupoteza Kyiev alishafurushwa, leo Kharkiv kafurushwa jana platoon yake nzima wamekufa kifo kibaya yaan ni majanga baada ya majanga. Yaan muda unavyozidi kwenda hakuna advancement yoyote ya maana Putin anayofanikiwa na ni kama vile kategewa kadiri muda unavyoenda ndivyo anavyozidi kupewa kichapo taratiibu na anajikuta hana namna lazima arudi nyuma.
Hao jamaa wakupuuzwa kwamba wao wanajua kuliko biibiisii amaNi leo mzee ndio unatambua hili au wafaham toka mwanzo? Dah [emoji23] Ase njooni mshuhudie huku mzee wetu leo kaamua atueleze ukweli [emoji119][emoji847]
abdulqadirj
Jesus Mlokozi
Champagnee
Bwana Utam
wa kupuliza
triga
babu na mjukuu
1954
Mtoto wa nzi
DeepPond
Sikirimimimasikini
lee van cliff
ras jeff kapita
NYUNDO YA MOTO
Ask HQ
zipompa
DINHO
Liwagu
bibingi
manning
MR MAJANGA
kilwakivinje
Na wadhamini wa haja [emoji23] mdogo angu Coco Master na Shabiki mwenzangu bobby_Barbosa_9
Coding [emoji23]If Year == 2022 and page == 2022:
Print("Russia is winning n")
else:
Print("ukrUkra is winning !")
Poland haikusema kitu kama hiki. Unaamini feki zilizosambazwa hapa??Poland alisema anaingia west ukraine kwa ajili ya operation yake amefikia wapi??
[emoji23]Unaona
Wala sijakupa ripoti toka RT CTGN au SPUTNIK
Nimenukuu tokea hapo BIIBIISII nanaendelea tena kukuuliza
Kati ya wewe na biibiisii wanaosema wamekufa watu elf moja nani wakuaminiwa!!?
Ama unapingana na biibiisii kwamba hawajafa watu elf moja !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndio zao.Mafanikio ya Ukraine wamechukua Luhansk, Donesk, Kharson, Kharkiv, Mariupol na sasa wanaelekea Moscow.... Urusi wamefurushwa ... Wamemaliza silaha ma chakula pia wanajeshi wamegoma Amri ya kupigana vita..... Hureeeeeeee hureeeeee hureeeeee Ukraine.
Eeeh mrusi mwenzanguCoding [emoji23]
Misaada ya Marekani kwanza ni hewa.Na ikitoka huwa inaliwa na wajanja.Uliza kule Iraq na Afghanistan.America inafilisika Yuko njiani kukata misaada Kwa Ukraine.
Ukraine says [emoji1]Majeshi ya Urusi yanakimbia Kharkiv baada ya kupewa kichapo cha mbwa koko
Ukraine says Russian forces withdrawing from Kharkiv — live updates | DW | 14.05.2022
Tunaposema USA kwa Russia ni mchumba muwe mnatuelewa.Mlokoz, mm sina tatizo na yote unayoyaeleza isipokuwa sijataka tu yawe sehemu ya mjadala kwa sababu historia, nia, maono na upana wa sababu za matukio yanayotokea ni mapana sana kuyaunganisha na tukio la Urusi na Ukraine katika umoja wake.
Wewe jieleze kile kinachokufanya ufurahi ila unyonge wa USA na ukubwa wa Russia hauna maana kwako wewe Mtanganyika hata ukiwahusudu kwa kiwango kikubwa.Tunaposema USA kwa Russia ni mchumba muwe mnatuelewa.
Analytical mind ni kuongea uhalisia. Political mind ni kupaka rangi hata kitu ni kibaya. Mimi naongea facts from evidences. Kama na wewe upo na hizo information zilete. Scientific objections hazinaga kitu cha upande.Personally napenda ku appreciate maoni ya watu coz one head can't contain all intellectuals. Nashukulu kuna direct nijielimishe niwazo zuri ila napenda kukushauri nawewe ujifunze namna bora ya kufanya analysis. Analytical mind sio kama wewe hauna objective information umechukua upande tayari umekosa scientific credibility.
Sisi watu wa falsafa na mantiki huwa tunaona ukweli wa jambo kwa haraka.Inakuwaje leo Ukraine inatangaza kukimbia kwa jeshi la Urusi na hawajawahi kukubali kuwa mji huo umetekwa na Urusi.Majeshi ya Urusi yanakimbia Kharkiv baada ya kupewa kichapo cha mbwa koko
Ukraine says Russian forces withdrawing from Kharkiv — live updates | DW | 14.05.2022
kaka unaishi katika dunia ya ajabu....1) Wanajaribu kutuma silaha huko Ukraine lakini zinaishia mikononi mwa warusi. Ni kujitoa ufahamu tu ya mufikiri eti NATO wakianzisha vita na Urusi watashida.
2) Urusi ni taifa lenyenguvu sana. Technology yao ni ya kiwango cha juu. USA ya miaka ya nyuma siyo hii ya sasa. Imejaa maigizo. Ndio maana kwa sasa huko USA mambo yanaongewa tu lakini utelezaji ni sufuri. Demokrasia imeifanya nchi hiyo iwe dormant.
3) Hivi unajua kwamba only china has the vision kwamba kufika 2030 magari ya madogo nchi nzima yatakuwa yanatumia umeme!?
4) China kwa Urusi ni mtumwa. Na huyo china yupo kuwagonga wa magaribi kiuchumi. Na kwa mgogoro huu wa Ukraine utaiweka china juu sana kiuchumi.