Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Utamaduni ni zaidi ya Lugha...Msaidie ufaransa wana lugha yao, uk, hispania, urusi kwa uchache atutajie lugha ya us kwa kifupi ni taifa lisilo na utamaduni
Hakuna mkataba kama huo, hutaweza hata siku moja kuonesha picha ya viongozi wa Russia na Finland wanasaini huo mkataba...Does it matter?! Issue ni kuwa kwa Sasa upo mkataba wa Finland kuwa neutral..
Hivi upo... How is the progress ya phase 2Severdonesk is loading wazee
Wewe jamaa unaongea kama vile Dunia haikuona Cold warNimewaza sana maamuzi ambayo Russia anaweza kuyachukua juu ya matakwa ya Nordic countries (Finland & Sweden) kijiunga na Nato. Finland ana share mpaka mkubwa sana na Russia zaidi ya kilomita 1200, ni sawa na kutoka Dar mpaka mwanza, au dar mpaka sumbawanga.
Hali hyo itafanya vikosi vya Nato kuisogelea mno urusi, na ikitokea vita basi urusi atakua na hali ngumu sana kwa mashambulio ya ghafla ya Nato.
Kwa kuzingatia hayo sioni jinsi urusi atakubali unyonge huo, na poa sidhani kama ataenda vita vya moja kwa moja kama ilivyo Ukraine. Nahisi urusi atatumia njia shortcut na ya kikatili sana ambayo labda dunia hatushahudia kuzizuia hizi nchi kujiunga NATO
Leo maafisa wa urusi wameikumbusha Finland juu ya mabomu ya 'sarmat' hivyo Finland anapaswa kufikiri mara mbili.
West sio wa kuwaamini sana, walimsonga sana Zelensky. Mpaka leo Zelensky anapokea kipigo na hajajiunga Nato wala EU. Na mbaya zaidi anaelekea kupoteza majimbo ya nchi yake. Wanadanganywa na misaada ya juvenile ambayo mpaka sasa wanashindwa kuwarudisha warusi kwao, achilia mbali kurudisha najimbo yao.
Waswahili husema kuchamba kwingi mwisho kushika mavi, Finland na Sweden wanapaswa kutuliza 'kalio' la hasha watalazimika kukalia vichwa... na hapo watakua wamechelewa.
The irreplaceable
Watu wanafikiri utamaduni ni kuvaa kacha za mmaasai!Nacheka sana mtu akisema USA haina utamaduni. Hakuna Nchi inayoigwa kwa tamaduni zake kama USA. Utamaduni sio kuvaa ngozi za ngombe.
Kama nchi imepigana zaidi ya miaka 8 na ikashindwa kuteka hata kijiji unategemea watu wasilalameke?Kwako kipigo cha mbwa koko ni kipi kati ya vifo vya wanajeshi 58,000 wa US ukilinganisha na wapiganaji milioni 1.1 wa Vietnam Kaskazini ?
Marekani iliondoka Vietnam kwa sababu raia wake waliichoka hiyo vita na ilikosa ushawashi kwenye siasa za nchi hiyo.
Mjinga mwenyewe.mtu.akiwa na.mawazo yasio yako unaona sio heee sawa something is loading kaa hapo na ukifikiri dunia imelala babaWewe umekiona ila URUSI hajakiona, UJINGA mzigo kweli.
Hujui kitu, USA Vietnam alikua third party. Waliokua wanapigana nii North na South. Nikikumbuka vizuri bunge la Amerika haliku declare War. Kilichowatoa huko ni kukosa support ya raia kutoka nyumbani.Kama nchi imepigana zaidi ya miaka 8 na ikashindwa kuteka hata kijiji unategemea watu wasilalameke?
Kwani hata Urusi ukiisha huu mwaka ajaweza kuiteka Dombas unadhani atakuwa na kipi cha kufanya tofauti na kukubali kushindwa na kukimbia?
Kama ni hivyo Urusi amesha shinda vita sasa maana waukraine walio uawa ni zaidi ya Warusi.
Lakini hajakuita mjinga [emoji23] kasema tu Ujinga mzigo....Mjinga mwenyewe.mtu.akiwa na.mawazo yasio yako unaona sio heee sawa something is loading kaa hapo na ukifikiri dunia imelala baba
Hizo pesa zote hujaongeza zile Aid toka nje, Na hajafanya chochote zaidi ya kushinda vita yake Kwenye social networks ila field hali ngumu mno tena mno.Do you remember way back when a "Hero" of our fellow here alipodai kua atapigana with Russia for 10yrs? Oh yes we heard it well, we can see now his Progress within first 3 months, We do hope he can make it for 10yrs holahola...
View attachment 2225144 "Give money"
Finance Minister of Ukraine Serhiy Marchenko said that the country has already spent 245.1 billion hryvnias (about $8.3 billion) on military operations.
At the same time, according to Marchenko, the government collected only 60% of the planned tax revenues for April, in May-June this figure may drop to the level of 45-50%.
"Kyiv needs foreign financial support, as Ukraine is forced to send billions of dollars for emergency expenses. According to the Ministry of Finance, $5 billion a month is needed to finance the state budget," the minister stressed.
Nota Bene [emoji404] Hizi wet dream haziwezi kukuacha salama as long as you are an adult...
What a move to the "winning side", It's much adorable [emoji18].
Ukipata muda tafuta sababu ya vita ya Iddi Amin kwenye open source. Declassified docs
Halafu uje tena.
Vita ya Ukraine na ya Vietnam ni kama inafanana Marekani ilipeleka wanajeshi kuisaidia serikali iliyo kuwa inaunga mkono ubepari ili iweze kujitenga na serikali ya kikomonisiti iliyo kuwa inaungwa mkono na Usoviet.Hujui kitu, USA Vietnam alikua third party. Waliokua wanapigana nii North na South. Nikikumbuka vizuri bunge la Amerika haliku declare War. Kilichowatoa huko ni kukosa support ya raia kutoka nyumbani.
Kama nchi imepigana zaidi ya miaka 8 na ikashindwa kuteka hata kijiji unategemea watu wasilalameke?
Kwani hata Urusi ukiisha huu mwaka ajaweza kuiteka Dombas unadhani atakuwa na kipi cha kufanya tofauti na kukubali kushindwa na kukimbia?
Kama ni hivyo Urusi amesha shinda vita sasa maana waukraine walio uawa ni zaidi ya Warusi.
Nafikiri Finland imejiandaa na lolote.Finland inataka kujiunga na NATO, nayo itavamiwa na Urusi kama Ukraine??
Maoni yako na yaheshimiwe ila hayabadili uhalisia kwamba mimi sio mmarekani, muingereza, mjerumani wala mfaransa. Sina mahaba na hizo nchi na sikubaliani na Puttin.Watu walio nyutro huwa ni wanafiki sana, mara nyingi huwa wako upande muovu ila kwa sababu ya kutanguliza maslahi au aibu wanashindwa kujitambulisha na upande mmoja.
Vita ya Ukraine na ya Vietnam ni kama inafanana Marekani ilipeleka wanajeshi kuisaidia serikali iliyo kuwa inaunga mkono ubepari ili iweze kujitenga na serikali ya kikomonisiti iliyo kuwa inaungwa mkono na Usoviet.
Na sasa Urusi imepereka wanajeshi Ukraine kusaidia wanao taka kujitenga kwa hiyo yote ni yale yale.
Ikitokea Urusi akashindwa kuifanya Dombas kuwa huru basi atahesabika ameshwindwa vita ,kwa mantiki hiyo Marekani alishindwa vita kwa sababu serikali aliyo enda kuipigania ilisambaratika.