Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna cha kujiandaa kwa lolote, Urusi haijaivamia Ukraine kwa sababu inataka kujiunga NATO.

Hakuna kiongozi wa Ukraine aliyewahi kutangaza nchi yao ina nia ya kujiunga NATO. Putin ameivamia Ukraine kwa sababu bado anazo ndoto na jinamizi la USSR ya kale na hivyo anaona Ukraine ni nchi muhimu kufanikisha hilo.
Nafikiri Finland imejiandaa na lolote.
 
N
kweli kila wakat na zama zake huyo hajui history ya Dunia kulikuwa Babylon, Persia, Mongolia, Roman, Ottoman hizo zote zilikuwa empire hatari Sana kila mmoja kwa wakati wake
 
Atajua mwenyewe, Akishindwa akarudi kwenye mipaka yake itapendeza.
 
Tupe source vinginevyo ni propaganda za RT na Tass.
SOMA HII na wala haikuandikwa na Tass.Imeandikwa huko huko kwao ili kilio kisikike vizuri.

They criticised the Ukrainian government for celebrating the evacuation of several dozen civilians over the past few weeks, while failing to prepare Ukraine over the past eight years for what they say was an inevitable war with Russia.

Hayo maneno ya kamanda na zaidi ya hayo ni maneno ya majuto na kuanza kukwaruzana na kamanda mkuu wa jeshi la Ukraine.Anashangaa ati serikali inashangilia kuokoa watu kadhaa tu kutoka ndani ya mahandaki wakati serikali hiyo hiyo imeshindwa kuwaandaa wananchi wake kwa vita ilionesha dalili kutokea tangu miaka 8 iliyopita.

Watu na majeshi inaonesha walishaona dalili mbaya kwa uchokozi wao dhidi ya Urusi.
 
Huwa kuna jambo linanifurahisha hapo [emoji23] kila kona US alikoshindwa utasikia eti ooh alikuwa third party... sasa kama that z case, kwa hiyo US haijawah kupigana abadani sasa.

Historia inasema kapigana vita virefu zaidi ikiwa cha pili baada ya Afghanistan.. Coco kama koko akiwa na mahaba yake anakujuza yanayotoka kisogoni mwake kufurahisha nafs yake.
 
Wanaweza kuwafanyia haya wakimbizi weupe wenzao, how about black? A "cursed race" as they used to call on us.

Why Spain refuses to help Ukrainian refugees?

"There are compassionate people in this country who place Ukrainians in their families and feed them at their own expense for some time, but there is no help from the state. There are no benefits, no food, no work."

This topic is discussed in the telegram channel "Refugees Ukraine Alicante Spain".

I qoutes some of their conversation, read it.

“I am with my children in Bilbao, we live in a family for 2 months. Our tie (migrant card) is still not ready. They don’t give benefits, but they can offer language courses and the sphere of confectionery. Education is 2 years, they don’t give food, the family buys everything ... The bank does not give a card without a tie, there is no work, no benefits, we live in a family, but they will not keep us all the time. Tell me, who knows?

“My advice to you: better go to Germany then. If you don’t have money, then you shouldn’t rely on anyone, unfortunately.”


Nitaendelea kuwafahamisha yasiyosemwa, keep telling the untold. Seing how they don't give a f#¢+ to the normal Citizens just more weapons so they can feed themselves to Hell.
 
huo ndo utamu wa Vita,unapiga na kuteka territory, baadae jamaa wanakimbia na kurudi kujipanga ,wanarusi na kutembeza bullets mpaka unaikimbia territory,unaona haiwezekani unajipanga upya ,unarudi na battalion yako unatembeza bullets, plus missiles na kuacha vumbi limetimka!

NATO, awamu hii wamempata mbabe wao, ngoja tuone huu mchezo
 
Kajifunze kwanza vita vya Vietnam ilikuwa kati ya nani na nani na nini kilitokea baada ya Marekani kuondoka.

Marekani haikuenda Vietnam kuteka vijiji. Kwa nini hamsumbui vichwa kujielimisha hata kidogo kabla ya kurukia mambo msiyojua vizuri!
Kwa hiyo alienda kucheza ngoma sio?
 
Walitayarisha na wakapata kibaraka makini sana.
 
Simba kumla mbuzi wala sio habari, sasa itokee mbuzi amle Simba NI habari kubwa sana, hayo maneno siyo yangu ni ya Nyamizi

Mimi kazi yangu ni kusoma comments
 
Kwani itakuwa mara yao ya kwanza kupigana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…