Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jomba unakaza kweli as if upo uko kwenye kitengo kimoja wapo hapo kweye serikali ya Ukraine. Hii mgogoro unazidi kuwavua nguo na kuwaonesha mlivyo weupe. Kwanini usiwe kama mwenzio tu huyo Tsh ubaki kukekemea uvamizi kama kitu hukijui chimbuko lake mh?

Ule uwezo wenu wa kuchambua na kufatilia mambo mnaojitapa nao humu JF mmeupeleka wapi? Yani namna mnavyotumia nguvu nyingi kubadili uhalisia hadi mnatia mashaka ase [emoji23]

Haya bas tufanye hao wanaozungumzwa hapo ni dada zetu wa kule mbagala sio Ukraine, huyu Ukraine hajawah kabisa kutaka kujiunga NATO wala hao waliokuwa wana train jeshi hilo miaka 8 yote sio NATO bali mgambo wa Suma JKT.

Vp umefrah eeh?
 
Akisha kunywa vodka anahisi hizo nnchi bado ni za rusia.

Ukweli ni kwamba nnchi hizo hazitaki ushirikiano na masikini ambaye kila senti anayo pata ni kutengeneza machuma ya kuua watu na nyingine ni kuwapa ma oligarch

Rusia ni failed state
 
Tofauti ni kwamba USA haikupigana moja kwa moja Vietnam kama Russia anavyopigana Ukraine. Katika vita vyote vya marekani alivyopigana direct, serikali zote zilianguka tena ndani ya muda mfupi.

Sidhani kama North Vietnam wangeweza kuhimili full war na Amerika ndani hata ya mwezi mmoja.
Hapo Ukraine, Russia kaingia mzima mzima na serikali bado imesimama. Ili wafaulu kumega ardhi inabidi kwanza waiondoe serikali ya zelensky.
 
Marekani haikwenda Vietnam kuisadia serikali ya kibepari kujitenga. Vietnam ilikuwa na serikali mbili kwa muda kabla hata vita kati ya Kaskazini na Kusini havajilipuka na Marekani kuingilia kati.
Baada kuingilia kati ni kipi kilicho tokea?

Acha kujitoa ufahamu Marekani alienda kuondoa ukomonisti ndani ya Uveitam lakini alikumbana na maafa ambayo hatayasahahu.
Kama alivyo enda Afghanistan kuiondoa kuiondoa Talban madarakani lakini kaondoka na kuiacha Talban madarakani.
 
Nilichojifunza kupitia hii Special Military Op. ni kwamba:

Maisha mazuri waliyonayo nchi za ulaya yanatokana na unyonyaji wanaoufanya sehemu zingine. Maisha ya ulaya yanabebwa Sana na upatikana wa resources za Bei nafuu/rahisi.

Russia imekuwa inawapatia Cheap Gas, Oil, Industrial minerals, ili limezifanya nchi za ulaya kuwa competitive kwenye uzalishaji wa goods or services.
 
This is what it's, kama huelewi hutoelewa kamwe. Hasira za kucheleweshewa mtonyo 😂, Kidding.
An 18-year-old American shot people in a store in Buffalo. 10 people were killed, mostly blacks.

In social networks, they noticed that before the crime, the killer posted an occult symbol of the sun on his page. Exactly the same as on the emblem of the Ukrainian neo-Nazi battalion "Azov".
 
Marekani kwenye vita ya Vietnam alipoteza zaidi ya wanajeshi 58,000 na ndege zaidi ya 5000 sasa tuambie hao wanajeshi walikuwa wameenda kufanya nn?
 
Unajua maisha mazuri Ulaya yalianza lini na lini Russia ilianza kuzalisha gesi na mafuta?

Hiyo gesi, mafuta na rasilimali za Russia wanazichukua bure?

Endelea kubaki na mawazo yako ya hovyo ya siasa za ujamaa. Nchi zinakuwa dola zenye nguvu kwa sababu ya teknolojia, mtaji na biashara huru.
 
Hivi ni kwanini baadhi ya member wa JF wana special identification? Unakuta hadi tarehe ya kuzaliwa kawekewa kwenye profile yake bila kusahau occupation!
Hii imekaa vipi?
 
Jiridhishe na taarifa zako
 
Hujui kitu, USA Vietnam alikua third party. Waliokua wanapigana nii North na South. Nikikumbuka vizuri bunge la Amerika haliku declare War. Kilichowatoa huko ni kukosa support ya raia kutoka nyumbani.
Hata wewe pia hujui kitu.

Unapoizungumzia Indochina lazima ujue Hali ilivyokuwa kabla ya kuingia kwa Mmarekani.

Uchambue vita ya ufaransa na kupigwa kwao, kwa aibu.

Uje kuchambua mkataba ulitiwa sahihi kati ya Ho Chi Minh na Serikari ya vibaraka wa South Vietnam.

Uje kuelezea kuingia au kujihusisha kwa Wamarekani na sababu zilizowalazimisha.

Kupigwa kwa Mmarekani ndani ya uveti, na kuvunjwa kwa serikari Yao waliyoiweka ya vibaraka.

N.B Ile vita Haina uhusiano hata kidogo na operation inavyoendelea Sasa Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…