Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ulaya mwaka huu wanalo. Huku USA anawakazia huku Russia anawakazia.

All NATO members are committed to maintaining sanctions against Russia for "as long as it takes," US Secretary of State Anthony Blinken said.
Muathirika mkubwa wa hii Mambo ni Germany, anaisoma number vilivyo. Kuna maamuzi huwa nayawaza nacheka mwenyewe.

Ningekuwa mie ndio Prezdaa wa Russia, hekima ningeweka kando, ningeqanyoosha sana hao kuku zao la chokaa... Siku 3 akili zao zingekaa sawa.

We ndio mzizi af matawi yanaleta jeuri yanataka kukung'oa, unayapurua unaotesha mengine, simple like that [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ingawa kihekima zaidi hao raia sasa dhaaambi kuwaadhibu kwa makosa ya viongozi wao...
 
Hivi mkataba ni lazima usainiwe?!?!
 
Wamekamatwa wamekuwa kama wamenyeshewa mvua.
Your browser is not able to display this video.


🔥🔥🔥Army special forces of the Russian Armed Forces, and a full "KamAZ" of captured Ukrainian soldiers🔥🔥🔥
 
Maji mpaka wayatamke vizuri


🇬🇧🇺🇦At least three former British soldiers are blocked at Azovstal in Mariupol.

The Daily Express reports this with reference to another ex-soldier.

The mercenary told the publication that a group of Britons headed to Ukraine before the start of the Russian special operation in order to "join the Ukrainians in the east."

Then they were assigned to the Azov Battalion*. The British had experience serving in Afghanistan, but "were surprised by the intensity of the conflict."

* A neo-Nazi organization against which a criminal case has been opened in Russia.
 
Hiki ndicho nakipendea Asia, tuseme tu Mashariki kwa Ujumla. Continents iliyo na rafiki wa kueleweka ni Asia, hawana mda wa kuingilia Internal affairs za nchi nyingine, wako bussy na Mambo yao.

Hi ipo kote ndani ya Global South East, Africa tukiwemo. Huezi kuta serikali ya Tanzania inajihusisha na Issue za ndani za majiran zake... Ila hao Rats Global North West, Kila kona ya dunia wanataka wawe wao tu wasemaji wa kila jambo... MFs

Itikadi za kikoloni hazijawaisha
 
Natamani hawa waingie humo:-
1. China
2. North Korea
3. Iran
4. Vietnam
5. India

Hapa patachimbika.
 
MKUU kama kitabu namie nijaalie

Sent using Jamii Forums mobile app
Naweka na Copy and Paste ya maelezo ya ziada kama yawaeza saidia kutoka kwa Hammaz
 
Nyaraka uliyoihitaji lilitolewa kwenye jarida la Uchumi (duniani), ni makala inapatikana ukurasa wa 45 (kama sijakosea).

Prof. aliyehusika kuandika hiyo mikala na mbobezi kwenye hayo masuala. Unaweza ukamtafuta kwenye You tube ukapata lecture zake nyingi.

Vilevile mtafute Prof. Stephen Cohen (kwa sasa ni marehemu). Amefanya mijadala mingi sana ya wazi kuhusu mgogoro huu na vuta n'kuvute ya West na Russia.
 

Attachments

Natamani hawa waingie humo:-
1. China
2. North Korea
3. Iran
4. Vietnam
5. India

Hapa patachimbika.
Sana, hasa wakifanya juhudi za kumueka North Korea na South Korea katika mahusiano ya kiungwana...

Ila US kweli konyo, angalia alivowaweka Korea North and South hawapatani, Beijing na Taipei haziivi, Russia na EU haziivi, India na Pakistan hapakaliki, Hapo Midle East Waarab na wa Persia haziivi bila kumsahau Israel.

Njoo afrika nako hivo hivo. Katika kila Conflict kuna upande yupo anachochea kuni... South kwa North, Taipei kwa Beijing n.k

Dunia inahtaji kupumua, hizo fedha za kuvuna kutoka kwa hizo Military Complex zao waangazie Ideas zingine za kuingizia fedha sio kutengeneza "crisis" kisha waingie kiwandani kuzalisha silaha.
 
Nchi za G7 zasema hazitotambua mipaka mipya iliyochorwa na Russia nchini Ukraine baada ya Russia kuikomboa mikoa kadhaa ya Ukraine na kuifanya ni nchi zinazojitegemea mpya, zenye uhuru kamili.

Russia yawajibu G7 kuwa yenyewe haijali lolote kama nchi za G7 zinatambua au hazitambui mipaka mipya ya Ukraine...Russia inachozingatia ni maoni na utashi wa raia wakazi wa ardhi hizo zilizojitenga na sasa kuwa nchi zinazojitegemea kamili.

G7 waache kubwekabweka, walizoea kujitia wao ndio waamuzi wa nchi zinginezo, leo hii wamekumbana na mbabe wao Russia, wanaishia kubwekabweka tu.

 
Hii ni aibu kubwa kwa Russia katika diplomacy, Crimea mpaka Leo hakuna Nchi imeitambua kama himaya huru. Out of 192 territories, 0 recognition apart from Russia
 


“Kaliningrad must be demilitarized”: Former Deputy Minister of Defense of Poland and one of the country’s main Russophobes Romuald Sheremetyev demands “demilitarize and rename Kaliningrad”, announced that “NATO is invading St. Petersburg” and expects that “the collapse of Russia will happen faster than expected »
 
Hii ni aibu kubwa kwa Russia katika diplomacy, Crimea mpaka Leo hakuna Nchi imeitambua kama himaya huru. Out of 192 territories, 0 recognition apart from Russia
Mtu hodari na mwenye nguvu hufanya maamuzi yake bila kutegemea sapoti ya wengine, ukiona ktk kufanya mambo yako unategemea sapoti ya watu wengine ujue wewe ni dhaifu...
 
Hivi akina coco et el wanaelewa haya makitu.
 
Pale unapotizama Life expectancy rate kisha wajiona uko nje ya range unatafuta sababu za kuwahishwa mapema. Hiki kizazi kinasumbuliwa sana na maamuzi ya Kizee kama haya.

Wakati wengine wana zeeka kwa busara nyingi kichwani hawa wanazeeka na kua kama matoto. Kwanini hakulifanya hilo enzi hizo yupo kwenye madaraka akiwa bado "mbichi" kabisa 🤣🤣🤣.

Sa hivi anakaribia kukata roho ndio anakumbuka.

Fun Fact...
ZEE la Hovyo: NATO is invading St. Petersburg...
NATO: We do not seek confrontation with Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…