Katunge World Wide
JF-Expert Member
- Apr 27, 2022
- 235
- 327
Kwann hakuvamia kipindi cha baridi sasa?Kwa mujibu wa taarifa toka Ukraine wanasema kuwa Urusi inarefusha maksudi vita ili vifike majira ya baridi muda ambao wanaamini kuwa mataifa ya ulaya yatake yasitake yatalazimika kuzungumza na Urusi tu.
Nani alaumiwe?? Russia mwenyewe..amembwela mbwela ssna na hii vita ya Ukraine alitakiww kupindua yule kenge muda mrefu avunje kabisa mawasiliano hakuna hata ndege kutua.
Definition of punching bagNa Putin kamuambia nini? sababu kuna mtu kaniuliza unajua Rais wa Finland alichoambiwa? Yaani leo Putin anapigiwa simu kupigwa biti? wonders will never end?
Putin has become a punching bag now. even Finland.
Amina mchungajiMethali 27:22
Mtwange mpumbavu katika kinu pamoja na nafaka, lakini hutafaulu kumtenganisha na upumbavu wake.
Mnahangaika kaka hata maandiko yamesema .... Mi ndio maana nabaki kuwa kubalia na kuhyper taarifa zao...
Vinateketezwa na chuma hizi hapa πView attachment 2226014
Russia kama Russia. Vitu ambavyo hamjawahi kuvisikia
The EW vehicle mercury-B in the LPR. This system is used to jam or interfere with radio frequencies.
Huwa sijadiliani na watu wasio na akili kama wewe. Nyie wakenya mnashida gani lakini!?
Lazima atambwela maana anachezea kichapo sio Cha Nchi hii πNadhani wa
Nani alaumiwe?? Russia mwenyewe..amembwela mbwela ssna na hii vita ya Ukraine alitakiww kupindua yule kenge muda mrefu avunje kabisa mawasiliano hakuna hata ndege kutua...Sasa Yeye anabweka tu wao wanafanya kweli Watamzunguka hapo jirani..Labda aende Cuba au Venezuela akatege mizinga na yeye...
Utajadiliana vipi wakati mnachezea vichapo huko? π€£π€£πHuwa sijadiliani na watu wasio na akili kama wewe. Nyie wakenya mnashida gani lakini!?
Hapana huko Ulaya baridi imekwisha Machi, sasa inaelekea kuwa kile wanachoita joto (ingawa Ukraine na Urusi joto linaweza kutokea kabisa! kwa miezi kadhaa). Ukraine baada ya mwisho wa baridi ambako ardhi yote inaganda kuna majira ya kinamasi ambayo yanaathiri vita kwa sababu vifaru na magari huzama kwenye matope yakiondoka kwenye barabara na kuvuka mashamba au misitu.Kwann hakuvamia kipindi cha baridi sasa?
Unaamini kweli jenerali yeyote ni msaada kuwafundisha askari jinsi ya kushika bunduki???View attachment 2226019
Unconfirmed: SURRENDERED:
Azovstal
US General Eric Olson
British Lieutenant Colonel John Bailey
and
4 NATO military instructors.
There is news of Canadian French Turkish officers still hiding inside tunnels
TUBU KWANZA DHAMBI YAKO YA UONGO NDIO UJE KUJADILIANA NA MIMI.Unaamini kweli jenerali yeyote ni msaada kuwafundisha askari jinsi ya kushika bunduki???
Russia ana nuclear bombs stockpile kubwa na vilevile ana best means of delivering (hypersonic missile).View attachment 2226006
Nuclear arsenals in Europe. Letβs hope these numbers stay right where they are.