jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,452
Habari njema sana kwa sisi warusi wa nyakatoWizara ya Ulinzi ya Urusi iliharibu maghala ya vifaa vya kijeshi vya Marekani na Ulaya kwa kutumia makombora ya majini ya "Kaliber", na kuripoti kujisalimisha kwa wanamgambo 265 wa Kiukreni kwenye mtambo wa "Azovstal".
Urusi imetangaza leo, Jumanne, kulengwa kwa shehena za silaha za Marekani na Ulaya, karibu na mji wa Lvov, magharibi mwa Ukraine.
Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema katika taarifa yake: "zimekuwa zikilengwa na kuharibu shehena za silaha za Amerika na Ulaya karibu na jiji la Lvov kwa makombora.
Kulingana na taarifa hiyo, makombora ya Jeshi la Wanaanga ya Urusi yaligonga base mbili za command na kituo cha mawasiliano, pamoja na kikosi cha 30 cha mechanized katika mkoa wa Bakhmut, maeneo 28 ya mkutano wa kijeshi, na bohari mbili za Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine.
Marekani hutoa idadi kubwa ya siraha za kijeshi katika nchi za Ulaya zikiongozwa na Ujerumani na Uingereza silaha hizo za kisasa upelekwa Kyiv.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa wanamgambo 265 wa Ukraine, wakiwemo 51 waliojeruhiwa vibaya, walijisalimisha na kuweka chini silaha zao, baada ya kunaswa katika kiwanda cha Azovstal huko Mariupol.
Urusi ilitangaza jana, kufikia makubaliano na jeshi la Kiukreni katika eneo la kiwanda "Azovstal" ili kuwahamisha waliojeruhiwa kwa taasisi za matibabu katika Jamhuri ya Watu wa Donetsk.
Pia, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilionyesha kwamba vikosi vyake viliua, wakati wa saa 24 zilizopita, "zaidi ya wanamgambo wa itikadi kali 470, na kuharibu vitengo 68 vya vifaa vya kijeshi."
Wale WaUkraine walikua wakiwapata warusi wanawauwa mojakwamoja, sasa sidhani kama watakua na wafungwa wa kutosha kubadilishana na hawa magaidiAisee! hii vita ni mbaya na haina maana yoyote. Hasa ukiwaona wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye Kiwanda cha Chuma (Azovstal Stell Plant) unaona huruma sana.
Yaani wamechoka sana, walikuwa hawana nguvu tena ya kupigana zaidi ya propaganda za wakubwa wao. Mbaya zaidi Urusi wamesema hawatawachukulia kama "prisoners of war" badala yake watawachukulia kuwa ni magaidi (Terrorists) watahukumiwa Urusi na wakipatikana na hatia watanyongwa.
Ingawa Ukraine wameiomba Urusi wabadilishane wafungwa wa vita, Urusi wamegoma. Tumwombe Mungu atusaidie kusitisha vita hii isiyo na maana yoyote.
Jeshi la Urusi limeonesha kuwa ni jeshi la kiungwana sana hapa duniani.View attachment 2228388View attachment 2228389View attachment 2228390
NO,THIS IS NOT A SCHOOL BUS,BUT WESTERN MEDIA WILL SHOW THEM AS SCHOOL BUSES...
EXPECT WESTERN MEDIA TITLE "STUDENTS ARE BEING EVACUATED FROM AZOVSTAL TO CONTINUE THE STUDIES IN SIBERIA WINTER CAMPS"
TPcChanzo?
Picha ya kwanza,Putin anamwambia,"unajua Sasa hivi tayari Dunia imeshaelewa kuwa NATO ni mazuzu".#Caption Challenge to Pro Russia,
Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.
Picha ya kwanza
View attachment 2228449
Picha ya pili
View attachment 2228451
Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.
This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni π€
Sana ,Ingekuwa hao ni Urusi wamedakwa,hizo kelele huko BBC ingekuwa balaaa!
Mashoga yamebaki kulialia tu.
Hii nayo ni ajabu nyingine kwa kweli.Duniani kuna vituko sana.
Yaani haiogopi Urusi lakini wakati huo ana haha kujiunga na NATO kwa sababu ya kuogopa kuvamiwa na Urusi.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€π€[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja nijaribu
Caption ya kwanza...
Putin: Unawasikia hao Morons bwana Mdogo 'Sanctions you get sanctions everyone gets sanction', wanawashwa eh?
Medvedev: Ha ha Bro dawa yao ndogo, tuwawekee vikwazo kwenye vikwazo vyao ili waweke vikwazo huku hivo vikwazo vikiwa back fire wenyewe.
Naongezea kidogo...
Putin: Good Idea, ndio maana nikakufanya uwe naibu mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi. Uko smart, Sasa tuanze na Ruble.
Medvedev: Smart as you, our hero, Viva Z viva V, Viva Babushka, Viva Urrraaa... Ruble ni pigo kwao kuliko all sanctions combined.
Version ya Pili.
Putin: Hawa jamaa ndio walikuwa hawataki kulipa kwa Ruble?
Medvedev: Ha ha umewashika pabaya Bro...
Version ya Tatu.
Putin: Kijana wangu unawakumbuka hawa umoja wa wakina mama kabla ya hii operation? Walisema watachukua Drastic Against us kama tukifanya hivo.
Medvedev: Ndio Mr, President. Kitu kikubwa wanachoweza kujishaua nacho hawa ni Sanction, bahati mbaya this time around wanajichapa vikwazo wenyewe.
Pale kuna makubaliano yaliyokwisha fikiwa kati ya Urusi na Ukraine kwa kuratibiwa na UN.Hii ya Wanajeshi 265 wakiwemo majeruhi 51 waliokuwa Azovstal Steel Plant imeoneshwa kwenye TV ya Aljazeera na kwenye media mbalimbali. Ila Ukraine wanaposema wamewaua Warusi 1,600 sijaona uthibitisho wowote. But all in all hii vita si ya kushabikia ni muhimu ikasitishwa ili kuiokoa Dunia na hali mbaya ya uchumi.
π€π€π€Labda wewe na familia yako ,usitu semee tusio yataka binafsi Mimi siungi mkono ,na nipo nyuma ya jemedari Putin ,
Tatizo western wanahangaika sana. sana wameifanya ukraine kama laboratory yao.Aisee! hii vita ni mbaya na haina maana yoyote. Hasa ukiwaona wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye Kiwanda cha Chuma (Azovstal Stell Plant) unaona huruma sana.
Yaani wamechoka sana, walikuwa hawana nguvu tena ya kupigana zaidi ya propaganda za wakubwa wao. Mbaya zaidi Urusi wamesema hawatawachukulia kama "prisoners of war" badala yake watawachukulia kuwa ni magaidi (Terrorists) watahukumiwa Urusi na wakipatikana na hatia watanyongwa.
Ingawa Ukraine wameiomba Urusi wabadilishane wafungwa wa vita, Urusi wamegoma. Tumwombe Mungu atusaidie kusitisha vita hii isiyo na maana yoyote.
Hiyo mbinu inaitwa mfecane ufe njaa au uje mikono kwa kichwa usachiwe kama umefumaniwa na mke wa fundi ujenziView attachment 2228348View attachment 2228348
Ngoja nisome kitabu changu the art of war nijue mbinu gani imetumika